The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

mbona tunadanganywa sana sie wagema ulimbo kila kukicha ni UONGO kwa kwenda mbele piganeni mkichoka pumzikeni wapuuzi sana nyie mnaorusha propaganda zenu zisizo na mbele wala nyuma
Kuna watu waongo sana Daudi mchambuzi na Gamba la Nyoka wameamua kutuletea habari na picha za Jumatatu na video za zamani kujiridhisha nawashauri wafuatilie LIVE news. Gamba la Nyoka hiyo bendera yako ya kujichongea haisaidii, hata kama mnampenda mtu lakini kuna wakati unafika unatakiwa kusema ukweli. Ndio maana mnatuletea mida ya uongo.

Ukweli ni kwamba 90% ya Tripoli iko mikononi mwa waasi kilichobaki ni mapigano ya kusafisha mji. Mapigano makubwa yanatarajiwa kutokea kwenye stronghold ya gaddafi mji alikozaliwa gaddafi kilomita kama 200 kutoka Tripoli na sasa waasi wako half way wanaelekea huko, inasemekana kuna maelfu ya askari wa gaddafi wamekimbilia huko na kama mnafuatilia leo mji huo umeshambuliwa na jet za Uingereza kuwapunguza nguvu kabla askari waasi wa miguu hawajafika huko.

mkiambiwa mtoe ushahidi na maelezo kuwa hapo ni kwa Gadaffi kila mmoja wenu ataingia chini ya Meza kwa kukosa jibu.

Msipende kuwaamini sana hawa mbwa koko wa Magharibi.
Tazama walishasema kuwa wamemuua mtoto mmoja wa Gadaffi na kisha mtoto akaonekana.
Then tangu vita imeanza basi wao kila baada ya siku kadhaa wanatangaza kuteka miji ya Mislata na Zawia.
Kama hiyo haitoshi majuzi wakatangaza kuwakamata watoto wa Gadaffi na mwisho wa Siku Gagulo zinawapwaya kwa kuona nguli bado yuko ngangali.

ni wavivu wa kufikiri na waoga wa kutafiti ambao wanaweza kuamini habari za Libya zinazotolewa na vyombo vya Habari vya Magharibi pamoja na Nguruwe.

Nani mwongo aliyesema mtoto wa gadafi kakamatwa kauawa na wameshateka tripoli kesho wanahamishia makao tripoli uwanja wa tripoli bado si salama nk. One qn Je walimkamata mtoto wa gadafi akawatoroka?.

hivi mkuu bado unaamini, ghadafi aliwaua waandamanaji kwa ndege za kijeshi?. Kweli aljazeera wamelisuka na zengwe na wamewaconvice wengi.

Hivi wewe unaamini maneno ya ocampo kwamba Ghadafi aliwapa wanajeshi wake viagra ili wawabake wanawake wanaompinga?

Hebu wewe jiweke katika viatu vya ghadafi then utwambie:, ghadafi alisema anapambana na alqaeda, na extremists, mwanzoni watu walimpuuza, lakini leo hii tunakubali kwamba kumbe kweli alqaeda wamo, je ungekuwa wewe ni amiri jeshi mkuu wa majeshi ya libya ungeacha nchi itekwe na alqaeda au ungepambana nao?

Hebu jivike joho kidogo la ghadafi kama kiongozi wa nchi unayeona kwa uwazi kabisa kwamba nchi yako inavamiwa makusudi kabisa ili kucontrol mafuta ya nchi yako, utasurrender, na kuwaacha wafanye wanavyotaka?.

Mkubwa, wewe ungekuwa na option gani, pale ambapo unakuwa umekubali ceasefire mara kibao lakini adui hataki?, utafanya nini?.

Najua jibu lako lepesi ni "ningejiuzulu", lakini je kujiuzulu kwako kungezuia wavamizi kutimiza lengo lao la kuidhulumu nchi?

Gamba la Nyoka ishu ni kuwa kwa mtu yeyote anayetumia kichwa kubebea masikio ni lazima atampinga Gadaffi.

Lakini kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuponda anachokifanya Gaddafi.

sio Libya tu, bali ni kwa nchi yoyote Duniani endapo kuna muasi atajitokeza basi anatakiwa ateketezwe na kupotezwa kabisa.
Leo hii hao wanaowaunga mkono waasi wa Libya wajaribu kufanya upumbavu ule hapa kwetu na ndio watamjuwa Baba Ridhiwani kama ni shupavu au anachekacheka tu.

nato kwanza walivunja sheria iliyowekwa ya No Fly Zone.
Kisha kama hiyo haitoshi basi wakawaunga mkono waasi ambao ndani yao wapo Al-qaeda.
Sasa jiulize kama si unafiki wa Mjaluo Obama ni nini basi?

Coz alituambia al-qaeda ni watu hatari na kisha leo hii al-qaeda ni watu wema kwa kuwa tu wanamtoa Gaddafi....

kawadanganye wavivu wa kufikiri na kuchambua habari.
Gadaffi ni Rais wa libya na ni mwenye afya tele.
Hizo porojo za nato pamoja na makahaba wenzao zimeshpitwa na wakati.
Live Long Gadaffi

kawadanganye wavivu wa kufikiri na kuchambua habari.
Gadaffi ni Rais wa libya na ni mwenye afya tele.
Hizo porojo za nato pamoja na makahaba wenzao zimeshpitwa na wakati.
Live Long Gadaffi

Hapo red/underlined inaonyesha msimamo wako upo dhahiri!

Col "Mene Mene Tekeli na Peresi"

Kweli nimeamini mwanaume asiyetahiriwa akili zake ni uharo tu.
Gang Chomba nina hakika kwamba nimetahiriwa kabla hujazaliwa. Ukitaka ushahidi nitafute nitakupa. Lugha chafu ka hizi hazikufishi mbali mbele ya WaNaUumE!

Nani mwongo aliyesema mtoto wa gadafi kakamatwa kauawa na wameshateka tripoli kesho wanahamishia makao tripoli uwanja wa tripoli bado si salama nk. One qn Je walimkamata mtoto wa gadafi akawatoroka?.
Hizi siyo siasa za Tanzania kuwa mtaficha matokeo ya NEC hadi yabarikiwe na ikulu na kutangazwa na TBC na HabariLeo, hii ni vita kila kitu kiko wazi, mwambieni huyo mtoto wa Gaddafi ajitokeze sehemu ile ile aone. Waasi waliaza Bengazi km.1000 kutoka Tripoli mkasema hawawezi kufika Tripoli leo wako chumbani mwa Gaddafi bado mnabisha, tunawaambia tena leo waasi wanaelekea Sirte alikozaliwa mnakataa ahh!! the choice is yours.....NATO attacks pro-Gadhafi forces near Sirte

TRIPOLI (AP) - British warplanes struck a large bunker in Moammar Gadhafi's hometown of Sirte, his largest remaining stronghold, on Friday as NATO turned its attention to loyalist forces battling advancing Libyan rebels in the area.

Safi AU, heko sana ingekuwa heri kwenu kuikataa kabisa UN na kama biashara tufanye wenyewe kwa wanyewe pamoja na china. kwa upande wa pili kama rebel wana control tripoli inakuwa je wanawazuia imigrants, harafu pocket fighters watapeleka je watu ktk visiwa vya italia?

jionee mwenyewe source bbc, wanadaganya hadi wanasahau walichodaganya.

• 1411:

The African Union will not explicitly recognise Libya's rebel council, Reuters quotes a western diplomat as saying.
• 1406:

"We have terrible messages in our possession and they will be made public soon," Avvenire quoted Mr Frattini as saying. "We have proof of orders given by Gaddafi's government to transform Lampedusa into an inferno: 'Put thousands of desperate people on boats and throw the island into chaos.'"
• 1402:

There were reports earlier in the year that Libyan authorities were either turning a blind eye to migrants setting out across the Mediterranean, or actively encouraging them. Now a report in the Italian newspaper appears to back up such claims, with Foreign Minister Franco Frattini saying Col Gaddafi wanted to turn the island of Lampedusa into an "inferno".

Joe DeCapua , VOA
August 26, 2011

The Arab League Thursday recognized Libya’s rebel Transitional National Council (TNC) as the country’s legitimate government. It said it’s time Libya once again had a permanent seat on the league’s council.
Libya’s representative to the Arab League said the country would take part in a ministers meeting on Saturday.

Too much, too soon?
“I think that it’s premature. The government of Libya under Gadhafi is not completely overthrown as yet. Gadhafi is still at large. And the United Nations has not officially recognized a new government for Libya. And I think it’s premature for individual states or even groupings like the Arab League to take that step,” said Na’eem Jeenah, executive director of the Afro Middle East Center in Johannesburg.
He said the question remains as to exactly whom the Transitional National Council represents.
“It’s a council that was formed in the east in Benghazi. When it was formed and up to recently, and I would say up to now, it still represents groupings of people in the east. Even the so-called rebels in the west, like the people who rose up in Tripoli, etc., are not necessarily accountable to or within the constituency of the Transitional National Council,” said Jeenah.

So long and goodbye
The Arab League’s recognition of the TNC may simply be a signal that it’s glad to see Mr. Gadhafi go.
“I think that’s a big part of it,” he said, “Remember that they were very quick to come out against Gadhafi when the uprising began. There’s no real love lost between Gadhafi and almost all the heads of state in the Arab League.”
Jeenah said Mr. Gadhafi had two main problems with the league.
“One was his kind of policy of, as far as they were concerned anyway, turning his back on the Arab world and turning towards the rest of Africa. He was kind of regarded either as something of a traitor or as a maverick, who just looked to where his bread was buttered politically,” he said. The other problem was the Libyan leader’s personal style.
“It’s very difficult to expect the Emir of Qatar, for example, to like you very much when in a public forum you loudly call him a fat man and things like that. Or call the King of Saudi Arabia stupid. It was that kind of interpersonal relations that he really messed up,” he said.

African Union
Mr. Gadhafi once proposed that countries on the continent form a United States of Africa. Now that his days appear to be numbered, Libya’s relationship with the AU may never be the same.
“I think that the relationship will change quite significantly. I think that the importance that Gadhafi had given to the African Union and to the African continent will be reduced. And in general there will be much more of an emphasis on being part of the Arab League and the Arab world and developing stronger relations with other Arab states and with Europe,” he said.
The AU’s response to the Libyan situation may have sealed its fate.
“With the Arab League having come out so strongly against Gadhafi in favor the rebels,” he said, “there’s been a kind of stronger relationship and camaraderie that’s developed with other Arab states. The African Union, on the other hand, as far as the rebels are concerned, were not very helpful and didn’t come out in clear support of the rebel groups as many Arab states did,” he said.
Under Gadhafi, Libya was a major financial backer of the AU. Jeenah expects that to change.
“I think it’s going to be a problem, at least financially. Libya itself had been contributing about 15 percent of the AU’s budget. And it has also been paying the dues of a number of other countries that had defaulted. Well, it won’t stop completely because I think that Libya will remain a member of the AU and will continue paying its dues. But those dues will be much smaller than 15 percent of the budget,” he said.
Jeenah thinks it will be difficult for the AU to make up for the expected shortfall.

Hizi siyo siasa za Tanzania kuwa mtaficha matokeo ya NEC hadi yabarikiwe na ikulu na kutangazwa na TBC na HabariLeo, hii ni vita kila kitu kiko wazi, mwambieni huyo mtoto wa Gaddafi ajitokeze sehemu ile ile aone. Waasi waliaza Bengazi km.1000 kutoka Tripoli mkasema hawawezi kufika Tripoli leo wako chumbani mwa Gaddafi bado mnabisha, tunawaambia tena leo waasi wanaelekea Sirte alikozaliwa mnakataa ahh!! the choice is yours.....NATO attacks pro-Gadhafi forces near Sirte

JE MTOT WA GADAFI ALIKAMATWA?????? au hakukamatwa. Maana mulikuwa munawarusha watu ili waone gadafi kashindwa ili waanze kurecognize Rebels. Mambo ya Tanzania yapo kwa sababu wengi wao wanakuunga mkono wewe. Mbona NATO hakuja bali alisema uchaguzi ni wa haki, think Big western wanakutumia. kwa kesi yetu si tushakuwa maboya hapa unless tubaidili mindset zetu.

Fainali kwa AU na nchi nyingine za ki afrika zilizokuwa zinategemea misaada ya hali na mali kutoka kwa serikari ya Gadhafi inayoelekea kupinduliwa

JE MTOT WA GADAFI ALIKAMATWA?????? au hakukamatwa. Maana mulikuwa munawarusha watu ili waone gadafi kashindwa ili waanze kurecognize Rebels. Mambo ya Tanzania yapo kwa sababu wengi wao wanakuunga mkono wewe. Mbona NATO hakuja bali alisema uchaguzi ni wa haki, think Big western wanakutumia. kwa kesi yetu si tushakuwa maboya hapa unless tubaidili mindset zetu.
Kukamatwa kwa mtoto zilikuwa medani za kivita ulikuwa uongo uliotengezwa kupumbaza watu imeshapita let us concentrate on the current situation unaonaje who is winning the war Gaddafi?

mkiambiwa mtoe ushahidi na maelezo kuwa hapo ni kwa Gadaffi kila mmoja wenu ataingia chini ya Meza kwa kukosa jibu.

Msipende kuwaamini sana hawa mbwa koko wa Magharibi.
Tazama walishasema kuwa wamemuua mtoto mmoja wa Gadaffi na kisha mtoto akaonekana.
Then tangu vita imeanza basi wao kila baada ya siku kadhaa wanatangaza kuteka miji ya Mislata na Zawia.
Kama hiyo haitoshi majuzi wakatangaza kuwakamata watoto wa Gadaffi na mwisho wa Siku Gagulo zinawapwaya kwa kuona nguli bado yuko ngangali.

ni wavivu wa kufikiri na waoga wa kutafiti ambao wanaweza kuamini habari za Libya zinazotolewa na vyombo vya Habari vya Magharibi pamoja na Nguruwe.
It is very hard to support a losing team...achana naye utakufa bure kwa pressure.

_54806211_burn.jpg

_54804279_012718173-1.jpg

_54804277_012718294-1.jpg

_54805691_tent.jpg

_54804995_012718189-1.jpg

Hii familia ina deserve kuwa navyo hivi vitu kwani wamekuwa madarakani zaidi ya miaka hamsini hivyo haishangazi....wapo viongozi bongo wana zaidi ya hicho tunacho ona hapo na wameapata madaraka miaka na tisini na sita "1996 kuja 2009.

pamoja na udikteta na Ufisadi uwezi linganisha Libya na Bongo, pia alikuwa alama ya umoja na mkongwe Afrika aliyepanika kuifanya afrika kuwa moja, kitu ambacho ni adimu kwa viongozi wa kiarabu

NENDA GADDAFI ILA WEWE NI MWAMBA...

Kweli mwamba kwani alimsaidia iddiamin dadaa kutupiga sio bora bora apigwe kitanzi kabisa kama sadam

Back
Top Bottom