The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Hawa wageni wanamletea mkosi mwenyeji wao - Rais wa Algeria. Tuhesabu siku kabla waarabu wa Algeria hawajamtolea uvivu unless awatose mapema.

Halafu hawawezi kwenda safe heaven ya madikteta Saudi Arabia.

utitiri unaonekana kuua jogoo libya, nasubiri kujua wale ma- body guard mademu itakuwaje.

wamewachuuza wenzao kuwa wangefia tripoli,

tetetetetete, magaidi bana utawajua,

alikuwa anasema tokeni, chukua siraha mkawahi ahera,
eti wakifa wanakwenda ahera wakati yeye kufa hataki pamoja na uzee wake.

Wale wataolewa tu na hivi hawajui wanaume....wataenda wapi na kung fu zao???waolewe tu watulizane enzi kula bata zimeisha!!!

X-PASTER, revenge soothes the soul of the oppressed, na yeyote alipizaye kisasi anaona haki hawezi kupata.
Ndiyo maana hata hao mnaowaita waasi wakimpata Gaddafi au wanae pamoja na hao wanajeshoi wa kukodi watawapa staha yao na si kusubiri hicho unachoita 'justice' (nafikiri ya ICC).
Kwa hiyo, yanayowakuta hawa wanajeshi waliokodiwa na Khamis Gadafi ni mavuno waliyopanda wenyewe, binafsi I don't sympathise with them.

What a shame to Africa we have to rely on the west do decide our political and economic destiney. NATO took their oppotunity to bring down one of the world most stable country and her prominent leader for their economic gains just because His majesty Col M. Gaddafi could not agree with their ideology of divide and rule. Now they ave recognized the NTC a group corrupt leaders made of ex Gaddafi's goverment. They have sold Libya and Libyan apple to the west starting with the thousands who lost their lifes due to NATO booming, they have supplied hundreds of thousands guns and bullets to unqualified millitia men who will soon turn to each other, and they have taken control of their one and only commodity OIL for their failing economic gains. Now what is left is to keep supporting of any coming opposation in the name of democracy to distablelise any leaders who will have a vision like that of His Magesty COL M Gaddafi. May Allah keep him save.

yutong, umemifurahisha sana, ningeweka 'like' km ningekuwa kwenye komputer.
Viongozi wa Afrika wengi sasa hawalali hadi wanafikia point ya kumfukuza balozi wa Libya akishusha bendera ya Gaddafi na kupandishwa ya 'waasi'
Membe kwenye BBC ananung'unika utafikiri Gaddafi ni ndg yake, lakini hii ni hizo senti ambazo wamefaidi, wanaendelea kufaidi na sasa wanaona upepo umebadilika. Nasikia Membe kamwita balozi wa Libya ifisini kwake.
Haya yanaweza kuwa maelekezo ya JK?

Duhu, bahati tunabishana kwenye mtandao. Ingekuwa tumekutana kijiweni tungekabana mashati na kutoana macho. Kisa Gaddafi!

[h=4]Rebels to demand handover of Qaddafi relatives[/h]
Ahmed Jibril, an aid to rebel National Transitional Council head Mustafa Abdul-Jalil, said if the report of Qaddafi relatives in Algeria is true, "we will demand that Algerian authorities hand them over to Libya to be tried before Libyan courts."

Ahmed Bani, military spokesman of the council, said he was unsurprised to hear Algeria had welcomed Qaddafi relatives. Throughout the six-month Libyan uprising, rebels have accused Algeria of providing Col. Qaddafi with mercenaries to curb the revolution.

Al Arabiya

wamewachuuza wenzao kuwa wangefia tripoli,

Huyu gadaffi si alisema atafia libya kumbe anaipenda familia yake! Mmmhh nilidoubt toka siku alipotoa statement ya kupigana hadi kufia libya, kufa hafi ila kamwaga vumbi la mbio

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…