X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,605
- 1,843
Kaka ilo nalo ni neno mkuu, hizo nchi zingine Marekani wana maslahi napo kaka, na hata wakiuwa na kuvamia nchi nyingine Marekani na NATO hawata tia neno mkuu...!Umesema mwenyewe KAMA ni mamluki lakini ukweli blacks has been Subjected to Racial Profiling..
Na haikuanza jana, na kwa uhakika kuna uwezekano gani wesui ndio wawe mamluki wa Ghadaffi kuliko waarabu wenye wenyewe. Mbona hatua hizo hizo zisifanyike kuwatafuta waarabu wenzano tena wengine wamejiunga na upande wa Mawanapinduzi mara tu Majeshi yalipoingia Tripoli..
Ghadaffi kesha ondolewa in power, kinachotakiwa ni kuiweka nchi ktk hali ya usalama zaidi lakini sii kwa kuwakusanya weusi kwa madai ya kuwa mamluki na ati sasa hivi Libya ni nchi mpya, inatungiwa Constitution na UN na kadhalika. Kuna uwezekano mkubwa wa Libya mpya kujitoa hata ktk AU na kujiona wao waarabu zaidi kwa sababu wanaungwa mkono na Saudia pamoja na nchi mamluki wa Marekani..Ghadaffi katawala miaka 42 je hao wa Saudia, Bahrain na huko Qatar wametawala miaka mingapi?
Tupo pamoja kaka.
