The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Kaka ilo nalo ni neno mkuu, hizo nchi zingine Marekani wana maslahi napo kaka, na hata wakiuwa na kuvamia nchi nyingine Marekani na NATO hawata tia neno mkuu...!

Tupo pamoja kaka.

Kuna habari za kuuwawa kwa Khamis Gaddafi.Source ni CNN.Pia confirmed kuwa familia ya Gaddafi iko Algeria.Akiwemo mtoto wake wa kike aliye mjamzito.
Huyu jamaa naye ameshakufa mara elfu moja. Only this year Khamis died on these dates; 27 Feb, 6, 21, 26 March, 15, 21, 30 April, 5 May and 29 Aug 2011. Anyway, inawezekana safari hii ikawa ni kweli!

Rebels confirm Gaddafi son Khamis is dead

August 30, 2011 - 7:14AM

A rebel minister said a son of Muammar Gaddafi, Khamis, whose death was announced several times since Libya's conflict erupted but was never confirmed, was killed south of Tripoli and buried on Monday.

"One of the rebel leaders confirmed to me that Khamis was killed somewhere near Tarhuna, about 80 kilometres south of Tripoli," the opposition justice and human rights minister Mohammed al-Allagy told AFP.

"He may have been killed in battle. The rebel leader said he had been buried."

The rebels said on Sunday that Khamis may have been killed the day before in a clash between their fighters and pro-Gaddafi forces.

Rebel military spokesman Ahmed Omar Bani said Saturday that Khamis could have been one of several people killed when rebel fighters in Tarhuna intercepted a military convoy with several "brand new Mercedes vehicles".

"As our fighters were trying to block the passing of the convoy, they were violently attacked and shot at," said Bani.

"The brigade in Tarhuna responded and hit two vehicles in the convoy, killing their occupants.

"We faced strong resistance (from the pro-Gaddafi convoy) to protect these two cars which is why they were totally destroyed and burned with their occupants caught in the crossfire," he told reporters in Benghazi.

Bani said "it is very difficult to identify the charred bodies, but the soldiers captured on the spot told us that they were bodyguards of Khamis Gaddafi."

Khamis, 28, the youngest son of Gaddafi, commanded a brigade seen as the most effective and loyal force of the Libyan leader.

Rebel fighters captured its base south of Tripoli in fierce fighting on Saturday.

© 2011 AFP

NB: Hawa rebels nao ni waongo sana!u

Mkuu maswla ya Libya wameamua walibya wenyewe na hakuna mtu ambaye anaweza kubadilisha matukio... Nakumbuka sana mwaka 1998, Vita ya Kosovo kulikuwa na wanajeshi wenye asili ya Serbia walikuwa wakijiandikisha kwenda kupigana vita kutetea Serbia ya Milosevic baada tu ya kuanguka kwa Ujamaa wa Tito (Yugoslavia). Hawa mashujaa na wana mageuzi walitoka nchi zote za magharibi wengine toka Marekani na hata Canada tena wakionyeshwa hadi Airport kwa sifa na ujasiri dhidi ya wananchi wa Bosnia na Croetia.

Kufikia mwaka 1999 unyama walokwisha ufanya hawa waserbia, ilibidi UN na NATO kuwageuka kwa sababu ushahidi ulikuwa mkubwa dhidi ya majeshi ya Milosovic kuua raia wasiokuwa na hatia kabisa. Na ilichukua miaka miwili baadaye dunia kuweza kujua kwa uhakika kilitokea nini na kwa uhakika it was too late kufuta mabaya na jinsi Waserbia walivyoweza kuwateketeza wananchi wa Bosnia pasipo sababu kabisa.. NATO, na UN knew what was happening lakini kutokana na chuki ya Ujamaa na Uislaam hakuna mtu alofanya lolote wakati Bosnia wakiwa massacred. Sintyashangaa kabisa kama weusi nchini Libya wamekuwa lebelled na kufanyiwa unyama kwa sababu ni weusi tu.

Unafiki sii mzuri , tukumbuke miezi miwili iliyopita sio CNN wala BBC walikuwa wakirusha matangazo yao kuhusu Libya kutokana na lawama za unyama wa hawa wanamapinduzi walivyokuwa wakiua raia kwa sababu tu waliunga mkono upande wa pili..Na ilifikia kiasi ambacho UN wenyewe walitaka kuwatema lakini wakatokea wana Mapinduzi wengine kutoka West ambao waliingia Tripoli.. Na ndio tumeona tena matangazo lakini huwezi kusikia tena unyama walioufanya hawa jamaa..Kama Chadema itakuja ishinda CCM itatokea na hadithi zake zitaandikwa upya. Lakini hatuwezi kushabikia unyama unaofanywa na hawa Walibya dhidi ya watu weusi kwa sababu tu wanakisiwa kuwa mamluki wa Ghadaffi..

Mkuu yaani unataka kusema kuwa raiya wenye rangi nyeusi wote ni mamruki?

Yaani hakuna wanafunzi wa kutoka nchi zingine za Kiafrika?

Hakuna wananchi ambao wamekwenda kule kufanyakazi kwenye makampuni ya mafuta, kazi za ujenzi na nyingine kama hizo?

Hata sikuelewi, kwani Libya kuzisaidia nchi za Kiafrika ndio inawafanya wawe weusi?.. Unataka kunambia Libya walitupa Tanzania misaada kwa sababu sisi ni weusi au?.. vipi mkuu wangu nini point yako.
Ghadaffi secret Polisi huwezi kuifahamu na hata wao Marekani walishindwa kuijua vizuri na kuivunja, leo wewe uje na habari kuwa walikuwa weusi wakiingia nyumba za watu kuua!. Halafu kwa akili yako hawa Lebels wanaweza kutoka huko walikotoka na kuingia Tripoli wakawakuta secret service Agents bado wameduwaa barabarani bila silaha wala kujitetea ili hali maaskari na walinzi wote wa Ghadaffi wamesha ingia mitini? hivi kweli inaingia akilini mwako mtu aliyekuwa trained kuwa a secret service anaweza kukamatwa akitembea na kanda mbili mtaani!..
Acheni ujinga wa kueteta vitu ambavyo havina hata maana.

Ushuzi mtupu.

Hao waasi watamaliza kuni kwa kuchemsha mawe...

hizo porojo na propaganda zimeshatangazwa sana kiasi kwamba hata wewe sheikh wangus umegundua uongo wa hao maswahiba zako lakini kuwasema na kuwalaumu hadharani ndio huwezi...ndoa inakufunga, ila ukweli unaujuwa.

Hii story ina mashaka makubwa, kumbuka kuna wengi sasa watatumia opportunity hii kusema uongo wote dhidi ya Gadafi ili waweze kuonewa huruma na Western countries. Sikatai ameunguzwa lakini kusema ameunguzwa eti kwa sababu alikataa kumpiga mtoto haingii akilini.Labda aseme ameunguzwa kwa kumpiga mtoto lakini si namna hiyo.. Za kuambiwa changanya na za kwako!

Daima watu weusi ni wa kubaguliwa tui. We chunguza ile mahakama ya kudumu ya jinai (ICC) iliyoundwa mwaka 2002 (ile ya akina Ocampo). Tangu ilipoanza kazi hadi sasa, jumla ya watu 26 waliotuhumiwa nayo ni wa kutoka Afrika tu. Hakuna mtu wa kutoka Ulaya au kwingineko hata mmoja.

NB: Msichanganye hii ICC ya Ocampo na zile mahakama maalum zilizoundwa na UN -- ya ICTR (Rwanda) au ile kuhusu wahalifu wa iliyokuwa Yugoslavia, au ile ya Sierra Leone au Cambodia -- zote hizo siyo za kudumu, zina muda wake wa kumaliza kazi.

Walibya gani wamepigana na Gaddafi au umepigwa upofu na huoni NATO walichokuwa wanakifanya? Mkuu kwa hiyo unataka NATO waje waipige CCM kwa kuwa imekaa madarakani miaka 50!!

Bahati yako kuna kitu kinaitwa ban. Lakini wewe ni dhahiri unawashwa. Ningekuwa mumeo ningekukuna ipasavyo na kuutawanya huo ushuzi wako. Mazafaka!

Kumbe ur problem is Gadafi not Rebel or NATO. tHanks for confirming taht you have been deceived several times by being spent agent of thier propaganda linking thier falsfied news without further analysis.

Kumbe ur problem is Gadafi not Rebel or NATO. tHanks for confirming taht you have been deceived several times by being spent agent of thier propaganda linking thier falsfied news without further analysis.
Can you read? Where did I say my problem is Gadafi and not Rebel or NATO! Of course I do not support Gaddafi but that does not mean am an agent of the rebels or NATO. Don't you have an independent mind? Unamaana kama wewe sio mkristu basi ni lazima uwe muislam? Wacha mawazo ya kitoto aisee! If you are for Gaddafi that is your own problem, usitake kila mtu kufikiri kama unavyofikiri. Huo ni udikteta wa kimawazo.

Labda ni macho yako yaliyofumba. Kwa kukuongezea mchezo wa propaganda: hivi sasa rebels wanasema kuna wafungwa wapatao hamsini elfu hawajulikani walipo! Ukitaka propaganda zaidi nitakupa tu Mkuu. Usiwe na wasi wasi!
Yaani watu wafikiao jimbo zima la uchaguzi ni wafungwa!

poor african tutamalizana wenyewe wakiwamaliza weusi watageukiana na kutafutana tofauti zao usishangae wakaanza kuwaua wasiofuga ndevu dhambi hii itawatafuna daima!!!!!

Tripoli residents rang in the end of Ramadan with celebratory gunfire and fresh signs of economic life early Tuesday, though even rebel claims of the death of one of Moammar Gadhaf's most notorious sons were tempered by continuous fighting and challenges around Libya.Hours earlier, Mahdi al-Harati -- the vice chairman of the rebel's Military Council, the military wing of the National Transitional Council -- told CNN that Khamis Ghadafi died after a battle with rebel forces Sunday night in northwest Libya, between the villages of Tarunah and Bani Walid.
Khamis, who headed the 32nd brigade charged with protecting the Gadhafi family, was taken to a hospital where he died from his injuries, the rebel commander said. He was then buried in the area by rebel forces, according to al-Harati.CNN

poor african tutamalizana wenyewe wakiwamaliza weusi watageukiana na kutafutana tofauti zao usishangae wakaanza kuwaua wasiofuga ndevu dhambi hii itawatafuna daima!!!!!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…