The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Nonda,
Kwetu si wabongo bado tupo Gizani. hasira za umaskini wenu tunadhani zinaletwa na maraisi wetu kumbe ni uwezo wetu mdogo wakujua dunia yaendeshwaje. Hizi democrazy hata USA hazifanyi kazi, katika chaguzi zao kura ya mwananchi wa kawaida ila uzito gani ukilinganisha na wale masenator>?
 
Nimejiuliza Waliokuwa wakimshangilia Ghaddafi kabla ya wapinzani wake kuiteka Tripoli sasa hivi wako wapi? na wale wanaowashangilia waasi sasa hivi walikuwa wapi? ni wale wale wakazi wa Tripoli ambao sasa hivi wanapiga mateke na kukanyaga picha za Ghadaffi au wametokea Benghazi?!!?. Waafrika VIGEUGEU au HAWANA UHURU!!!!?[/QUOTE]

Mkuu, kwani unahakika kama hao wanaowashangilia Rebels hawafanyi hivyo kwa ajili ya woga tu???

Dokumenti zilizoachwa kwenye ofisi za kijasusi za Ghadaffi zinaonyesha kuwa CIA, MI16, Mossad, Canadian Intelligency, Egyptian Intelligency wote walikuwa wanafanya kazi kwa karibu na serikali ya Col. Ghadaffi.

Kielelezo ni bwana Belhaj kiongozi wa jeshi la Rebels hapo Tripoli amabaye alikamatwa na CIA akateswa sana kwenye jela za siri za Marekani baadaye akarudishwa kwa siri Libya ambaka alisota ndani maiaka saba kabla ya kuachiwa na Saif al Islam (Mtoto wa Ghadaffi)....

Kuna mengi sana Libya zaidi ya media propaganda.
 
Hapo ndio utajua kuwa West hawana rafiki wa kudumu, wanachojali ni maslahi yao tuu Rebels waangalie sana hili!
 
Hawa wamarekani wanaharibu nchi za watu,sijui sasa watahamia wapi
 
Mali ya Libya inatakiwa igawiwe Libya, sio nchi nyingine za Kiafrika.
Mkuu.
Unakumbuka kuwa kuna Millenium challenge fund?
Bajeti yetu inategemea wafadhili kwa asilimia ngapi?

Au watoa " misaada", "ufadhili", "mikopo" na watoa 3% na 10 % wawe ni wazungu tu?

Gaddafi exit: Africa is headed for tough times - The Razor: Cutting Edge Uganda News, Business and Sports

As Qaddafi is ejected off the African stage, his financial legacy lingers - The National

Gadafi aliamini katika distribution of wealth na kujenga nguvu ya Afrika na kutanua wigo wa maingiliano,ushirikiano, miundo mbinu na mawasiliano baina ya nchi za kiafrika.

Ndio maana narudia rudia kusema kuwa kama tungekuwa na Gaddafi watano Afrika basi hawa US-West na international bankers wao wangetuheshimu.
 
Hii inanikumbusha hadithi alonisimulia bibi yangu miaka 25 iliyopita ya simba na kundi nyumbu 10. Umoja wetu Waafrica ndo utatuokoa dhidi ya ukoloni mpya unaokuja kwa kasi ya ajabu. Sijajua bado kama mapinduz ya Libya ni ya Walibya wenyewe au kuna mkono toka nje.
 
Mkuu.
Unakumbuka kuwa kuna Millenium challenge fund?
Bajeti yetu inategemea wafadhili kwa asilimia ngapi?

Au watoa " misaada", "ufadhili", "mikopo" na watoa 3% na 10 % wawe ni wazungu tu?

Gaddafi exit: Africa is headed for tough times - The Razor: Cutting Edge Uganda News, Business and Sports

As Qaddafi is ejected off the African stage, his financial legacy lingers - The National

Gadafi aliamini katika distribution of wealth na kujenga nguvu ya Afrika na kutanua wigo wa maingiliano,ushirikiano, miundo mbinu na mawasiliano baina ya nchi za kiafrika.

Ndio maana narudia rudia kusema kuwa kama tungekuwa na Gaddafi watano Afrika basi hawa US-West na international bankers wao wangetuheshimu.

Mkuu gaddafi watano wanaondikiwa speeches na Uingereza? Gaddafi watano ambao intelligence agencies zao are a trusted and valued ally of both MI6 and the CIA? Gaddafi watano ambao Marekani would abduct suspected Islamic militants and handing them over to their intelligence? agencies The CIA also sent the questions they wanted Libyan intelligence to ask and, from the files, it's very clear they were present in some of the interrogations themselves.

The papers discovered outline the rendition of several suspects, including one that Human Rights Watch has identified as Abdel Hakim Belhaj, known in the documents as Abdullah al-Sadiq, who is now the military commander of the anti-Gaddafi forces in Tripoli. The Americans snatched him in South East Asia before flying him to Tripoli in 2004.

The documents also reveal details about the UK's relationship with the Gaddafi regime. One memo, dated 18 March 2004 and with the address "London SE1", congratulates Libya on the arrival of Mr Belhaj.The UK intelligence agency apparently helped to write a speech for Col Gaddafi in 2004, when the government of Prime Minister Tony Blair was encouraging the colonel to give up his weapons programme.

Tutagundua mengi
 
Halafu cheki article hii inavyomexonerate jamaa kiakili huku wakidownplay ushirikiano wa usa na alqaeda huko libya, kwa kusisitiza ushirikiano wa cia na libya ya ghadafi. These people are the masters of deception.
By the way lifg ilikuwa katika listi ya un kama terrorist organization
 
Mkuu gaddafi watano wanaondikiwa speeches na Uingereza?
Mkuu..Unakusudia kusema kuwa speeches zote alizohutubia Gaddafi zimeandikwa na Uingereza? Hata hizi "speeches" anazozitoa sasa akiwa mafichoni?
Gaddafi watano ambao intelligence agencies zao are a trusted and valued ally of both MI6 and the CIA?
Mkuu ,unamjua kiongozi yoyote Afrika mabaye anaweza kutupa matumaini ya kuiunganisha Afrika na kujaribu kuikinga Afrika na "ufedhuli, wizi na utanda wizi wa US-NATO na bankers wao? Au unakusudia kusema tukubali yaishe? Kwa maneno mengine tukubali kuwa US-NATO na international bankers ni "wateule wa mungu" ambao wamepewa haki ya kuwatawala wengine na kuwaibia mali zao?

The papers discovered outline the rendition of several suspects, including one that Human Rights Watch has identified as Abdel Hakim Belhaj,
known in the documents as Abdullah al-Sadiq, who is now the military commander of the anti-Gaddafi forces in Tripoli. The Americans snatched him in South East Asia before flying him to Tripoli in 2004.

Mkuu, Umewahi kusikia vyombo vya habari vya US-NATO kusema kitu,jambo lolote zuri juu ya mtu,kiongozi wanaetaka aonekane kuwa ni "shetani"? "monster"?....au unasahau kuwa kuna uwezekano wa kupandikiza ushahidi ili story inoge kwa wale wanaopenda waliokwisha amini propaganda za US -West? Wanachojaribu US-West sasa ni "kum-demonise" Gaddafi to the extreme ili malengo yao yafanikiwe kwa urahisi. Umesahau ushahidi alioutoa Collin Powel ya Weapons of mass destruction" pale UN?


Tutagundua mengi
Tumeshagundua mengi ila mengi pia tutayaona baada ya "operation protect civialians" itakapokamilika.

Hata Bongo, polisi magamba ni wataalamu wa kupandikiza ushahidi. Likumbuke hili halafu digest mambo yanavyotokea Libya na propaganda na public opinion shaping inayofanywa na US-NATO.

Pia ni vyema niseme, sina maana wala nia ya kusema kuwa kila alilofanya Gaddafi ni zuri au kuwa Gaddafi hakufanya makosa.He is not an angel!

Lakini kwa record ya maendeleo ambayo ameifikisha Libya na kumnufaisha kila mwananchi, hili haliwezi kufutwa katika kumbukumbu hata kama US-West wangependa itambulikane hivyo.
Domokrasi litakapokuwa limechukua nafasi yake Libya, tutakumbushana yaliyotokea Iraq, Afghanistan...unakumbuka Chavez pia walimtupa nje kwa "mapinduzi" ya siku tatu?
Tutagundua mengi! Mkuu.

Katika ambayo, yameshagundulika ni kuwa US-NATO wali-instigate rebellion Libya na kuwapatia silaha rebels akiwemo huyo Benhaj. Pia inajulikana tayari kuwa nchi za NATO-US zilikuwa na agents wao kabla ya kuanza "protest" aka uprising hapo Libya...lakini la kuhuzunisha sana ni kuanzishwa kwa Benki ya International Bankers (benki kuu mpya ya Libya) katika wiki chache tu za uprising huko Benghazi.
Mengine ni kutumika kwa collective punishment kwa raia, kuharibu miundo mbinu, kukata umeme, maji kutengeneza "humanitarian crisis" ili kuwafanya wananchi wakubali yaishe na NATO-US kufanya propaganda kuwa Gaddafi na Gaddafi forces ndio wanafanya uhalifu huo.
 
Wamarekani hawaaribu nchi zetu. Tunaziharibu wenyewe kwa msaada wa hawa jamaa. Kama tungejari maslahi ya watu wetu kwanza, wamarekani wangetupatia wapi?
 
A person who does not give his name for fear, reports that tonight or tomorrow Aljazira TV network will give the false story with photos of the Libyan leader's death.
2011 septembre « Allain Jules 04/libye-ils-vont-annoncer-la-capture-de-kadhafi /
The events occur:
1. Tonight Walit Beni NATO bomb
2. The mercenaries come into assault on the city.
3. The rebels announced that the Libyan leader has been captured and killed in the assault.
4. The goal of this new scam is to induce the Libyans to surrender.

This person reports direct sources that a group of well-trained professionals trying to "finish" with all members of the family of the leader. According to this person who has no wish to give his name, this group has orders to leave no one living family member, including children.

Beni Walid families are living terrible moments totally besieged without water or food.

source. Leonor en Libia

Libye – Ils vont annoncer la capture de Kadhafi… « Allain Jules

Kifo cha Gaddafi "hollywood" part!

Libyan govt forces identify Gaddafi whereabouts-TV

Forces of Libya's National Transitional Council have identified the whereabouts of ousted leader Muammar Gaddafi, an Al Jazeera television correspondent reported on Sunday.
The reporter quoted the head of the military council in Tripoli, Abdul Hakim Belhadj, but Al Jazeera did not identify the location.

http://af.reuters.com/article/libyaNews/idAFWEA299320110904




 
Back
Top Bottom