Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu EMT
Tumwagie hapa kidogo ukweli unaoufahamu wa Libyan uprising.
General Wesley Clark on 9/11 n Libya, Libya was already planned, Iran next.. - YouTube
2011-03-01 French, English and US Special Forces Enter Libya to Reinforce Uprising #Libya #Feb17
Libya is not a people's revolution | Thom Hartmann - News & info from the #1 progressive radio show
108morris108's Channel - YouTube
Ok, It is Ajazeera now talking about the Evils of Ghadaffi...
Hizi commitees ndio direct democracy au spying units?HTML:Mkuu Nonda kwanza ikumbukwe Gaddafi alivyoingia tuu madarakani ali create revolutionary committees ili kufuatilia kwa karibu yoyote alikuwa anampinga.
Mkuu wewe unampinga kwa sababu hana uhusiano mzuri na nchi za Magharibi?I am sure wapo watu wangeanza kulalamika kama the West wasingeingilia kati wakatiHTML:Mkuu I am 100% sure ungemtetea pia Mubarak kama angekuwa na uhusiano mbaya na nchi za magharibi. I am 100% sure usingemtetea Gaddafi kama angekuwa na uhusiano mzuri na nchi za magharibi.Human Rights Watch shows that Gaddafi was not deliberately killing civilians. - YouTube. Human Rights Watch shows that Gaddafi was not deliberately killing civilians., page 1 Walikaa kimya Rwanda tukapika kelele kama nini.HTML:Gaddafi alivyoanza kuwaia Walibya wenzake.HTML:Sikubalini na baadhi ya mambo ambayo yamefanywa na West, lakini itabakia kuwa Gaddafi alikuwa dikteta.
Mkuu EMT Walibya walipata bahati sana kupata "dikteta Gaddafi", Ninatamani kama na sisi Tanzania tungepata dikteta kama yeye. Leo nchi yetu ingekuwa na maendeleo kama ya Libya kabla ya Uharibifu wa NATO.
Mkuu historia ya mzungu, wazungu kwa jamii na mataifa mengine umeisahau au ni katika kukidhi haja ya mjadala huu tu. Vipi utalinganisha uovu wa wazungu,NATO na US na ubaya ,uovu wa Gaddafi?HTML:Maovu yanayodaiwa kufanywa na West kamwe hawezi kusafisha uovu uliofanywa na Gaddafi kwa miaka 42.
Mkuu kwa kifupi, pamoja na kuwa na almost kila kitu, Walibya walikuwa hawana uhuru wowote kama unaojivunia wewe. Uhuru ulionao ndio unaofanya kuwepo kwa JF. Ndio uhuru unaokuwezesha kukaa mbele ya computer yako comfortably ukicheza na hiyo keyboard the way you like it
Mkuu EMT. domokrasia bila ya shibe, afya njema, makaazi? Ningefurahi hata sisi TZ tungeanza na maendelo ya elimu, makazi,lishe bora kama walivyopitia Libya halafu ndio tungeanza harakati za uhuru wa kukaaa kwenye key board na kucheza nayo comfortably.
Ieleweke pia kuwa Libya walishaanza political reforms,kutanua wigo wa uhuru wa kusema na mageuzi ya kikatiba. Kwa kifupi NATO na US hawakuweza kuvumilia kuona hayo na yale ya uanzishi wa mfumo wa fedha wa Afrika ukichukua mkondo wake.Kama alivyosema Mthuya kwenye threads nyingine ni Heri uishi maisha ya shida uwe huru kuliko kuishi maisha ya raha na kuwa mtumwa wa fikra. Wapo ambao wata buy maisha ya raha na kuwa mtumwa wa fikra, lakini Walibya wameyaishi hayo maisha kwa miaka 42 na kuyachoka.
Mtoto akililia wembe......watuulize sisi TZ....tuna uhuru wa kupayuka tutakalo, hasa tukiwa kwenye keyboard..lakini ufisadi na umasikini una sky rocket!
Pro Gaddafi rally in Sirte 2nd September 2011!
Tripoli nako ilikuwa hivi hivi lakini baadaye hao hao wakamgeuka Gaddafi. Sijui itakuwaje Sirte waasi wakiingia mjini!
Mkuu hii square ni ile ya Qatar au Tripoli?
Kwako pia, mkuuKuhusu Libya walishaanza political reforms nakubaliana na wewe.Mtoto wa Gadaffi alikuwa mstari wa mbele kwa hili. Nafikiri hata Ph.D yake ilikuwa kwenye mambo ya demokrasi kama sijakosea. Lakini baba yake akamtolea nje kiana kwa kuja na idea hii: Gaddafi offers oil and power to people - Times Online. Lakini nimefurahishwa wewe kukubali kuwa Libya walishaanza political reforms, kutanua wigo wa uhuru wa kusema na mageuzi ya kikatiba. Hii inaovyesha unakubali kuwa kulikuwa hakuna uhuru kule.
Mkuu, nimewahi kusikia kuwa "there is always a room for improvement...hii haimananishi kuwa kitu kinachotakiwa hakipo, ila huonekana kuwa hakitoshi.Ni kawaida ya binadamu.Mkuu tunaposema alichelewa ni sawa na kuhalalisha uhalifu wanaoufanya US-NATO around the world..kila nchi ,jamii ina haki ya kubadilika kutokana na "pace" yake, vyenginevyo ni upandikizaji wa serikali vibaraka tu. There was and there is a better way of helping Libyans to achieve reforms kuliko hii ya "ku-bomb" libya and regime change.Mistake aliyofanya Gaddafi ni ku delay hizo reforms. Hakusoma alama za nyakati. Angezifanya mapema wala haya yasingemkuta.
Ni wazi kuwa hii issue ya Libya inatugusa sote, vyenginevyo wewe na mimi na wengineo tusingejadiliana kuhusu issue hii, hata kama haituumi lakini ni mjadala mzuri kuona vipi watu wanaitazama issue moja kutoka angles tofauti.It is not personal!Sure, kama Walibya wamelilia wembe kinachotuuma nini?Hapa zipo ripoti kuwa kule Qatar imejengwa replica ya Green square for propaganda purposes.Mkuu kuhusu hiyo video ulitaka nikuwekee zile za TV ya Russia? Maana nikiweka ya BBC, Sky au hata ya TBC1 unaweza kuuliza swali lile lile. LOL.
Weekend njema Mkuu
Mkumbuke kuwa sababu moja ya hawa waasi kumkataa Gadhafi ni eti kuwa Gadhafi anaharibu mali ya Libya kwa kuigawa hovyo bila mpango.
Gadhafi mali ya Libya kaigawa wapi zaidi ya kusaidia Waafrika wenzake?