Nimejiuliza Waliokuwa wakimshangilia Ghaddafi kabla ya wapinzani wake kuiteka Tripoli sasa hivi wako wapi? na wale wanaowashangilia waasi sasa hivi walikuwa wapi? ni wale wale wakazi wa Tripoli ambao sasa hivi wanapiga mateke na kukanyaga picha za Ghadaffi au wametokea Benghazi?!!?. Waafrika VIGEUGEU au HAWANA UHURU!!!!?[/QUOTE]
Mkuu, kwani unahakika kama hao wanaowashangilia Rebels hawafanyi hivyo kwa ajili ya woga tu???
Dokumenti zilizoachwa kwenye ofisi za kijasusi za Ghadaffi zinaonyesha kuwa CIA, MI16, Mossad, Canadian Intelligency, Egyptian Intelligency wote walikuwa wanafanya kazi kwa karibu na serikali ya Col. Ghadaffi.
Kielelezo ni bwana Belhaj kiongozi wa jeshi la Rebels hapo Tripoli amabaye alikamatwa na CIA akateswa sana kwenye jela za siri za Marekani baadaye akarudishwa kwa siri Libya ambaka alisota ndani maiaka saba kabla ya kuachiwa na Saif al Islam (Mtoto wa Ghadaffi)....
Kuna mengi sana Libya zaidi ya media propaganda.
Hapo ndio utajua kuwa West hawana rafiki wa kudumu, wanachojali ni maslahi yao tuu Rebels waangalie sana hili!
Mkuu.Mali ya Libya inatakiwa igawiwe Libya, sio nchi nyingine za Kiafrika.
Mkuu.
Unakumbuka kuwa kuna Millenium challenge fund?
Bajeti yetu inategemea wafadhili kwa asilimia ngapi?
Au watoa " misaada", "ufadhili", "mikopo" na watoa 3% na 10 % wawe ni wazungu tu?
Gaddafi exit: Africa is headed for tough times - The Razor: Cutting Edge Uganda News, Business and Sports
As Qaddafi is ejected off the African stage, his financial legacy lingers - The National
Gadafi aliamini katika distribution of wealth na kujenga nguvu ya Afrika na kutanua wigo wa maingiliano,ushirikiano, miundo mbinu na mawasiliano baina ya nchi za kiafrika.
Ndio maana narudia rudia kusema kuwa kama tungekuwa na Gaddafi watano Afrika basi hawa US-West na international bankers wao wangetuheshimu.
....Hawa wamarekani wanaharibu nchi za watu,sijui sasa watahamia wapi
Mkuu..Unakusudia kusema kuwa speeches zote alizohutubia Gaddafi zimeandikwa na Uingereza? Hata hizi "speeches" anazozitoa sasa akiwa mafichoni?Mkuu gaddafi watano wanaondikiwa speeches na Uingereza?
Mkuu ,unamjua kiongozi yoyote Afrika mabaye anaweza kutupa matumaini ya kuiunganisha Afrika na kujaribu kuikinga Afrika na "ufedhuli, wizi na utanda wizi wa US-NATO na bankers wao? Au unakusudia kusema tukubali yaishe? Kwa maneno mengine tukubali kuwa US-NATO na international bankers ni "wateule wa mungu" ambao wamepewa haki ya kuwatawala wengine na kuwaibia mali zao?Gaddafi watano ambao intelligence agencies zao are a trusted and valued ally of both MI6 and the CIA?
known in the documents as Abdullah al-Sadiq, who is now the military commander of the anti-Gaddafi forces in Tripoli. The Americans snatched him in South East Asia before flying him to Tripoli in 2004.The papers discovered outline the rendition of several suspects, including one that Human Rights Watch has identified as Abdel Hakim Belhaj,
Mkuu, Umewahi kusikia vyombo vya habari vya US-NATO kusema kitu,jambo lolote zuri juu ya mtu,kiongozi wanaetaka aonekane kuwa ni "shetani"? "monster"?....au unasahau kuwa kuna uwezekano wa kupandikiza ushahidi ili story inoge kwa wale wanaopenda waliokwisha amini propaganda za US -West? Wanachojaribu US-West sasa ni "kum-demonise" Gaddafi to the extreme ili malengo yao yafanikiwe kwa urahisi. Umesahau ushahidi alioutoa Collin Powel ya Weapons of mass destruction" pale UN?
Tumeshagundua mengi ila mengi pia tutayaona baada ya "operation protect civialians" itakapokamilika.
Tutagundua mengi
Hata Bongo, polisi magamba ni wataalamu wa kupandikiza ushahidi. Likumbuke hili halafu digest mambo yanavyotokea Libya na propaganda na public opinion shaping inayofanywa na US-NATO.
Pia ni vyema niseme, sina maana wala nia ya kusema kuwa kila alilofanya Gaddafi ni zuri au kuwa Gaddafi hakufanya makosa.He is not an angel!
Lakini kwa record ya maendeleo ambayo ameifikisha Libya na kumnufaisha kila mwananchi, hili haliwezi kufutwa katika kumbukumbu hata kama US-West wangependa itambulikane hivyo. Domokrasi litakapokuwa limechukua nafasi yake Libya, tutakumbushana yaliyotokea Iraq, Afghanistan...unakumbuka Chavez pia walimtupa nje kwa "mapinduzi" ya siku tatu?
Tutagundua mengi! Mkuu.
Katika ambayo, yameshagundulika ni kuwa US-NATO wali-instigate rebellion Libya na kuwapatia silaha rebels akiwemo huyo Benhaj. Pia inajulikana tayari kuwa nchi za NATO-US zilikuwa na agents wao kabla ya kuanza "protest" aka uprising hapo Libya...lakini la kuhuzunisha sana ni kuanzishwa kwa Benki ya International Bankers (benki kuu mpya ya Libya) katika wiki chache tu za uprising huko Benghazi.
Mengine ni kutumika kwa collective punishment kwa raia, kuharibu miundo mbinu, kukata umeme, maji kutengeneza "humanitarian crisis" ili kuwafanya wananchi wakubali yaishe na NATO-US kufanya propaganda kuwa Gaddafi na Gaddafi forces ndio wanafanya uhalifu huo.