Hapo kwenye red sijaelewa, au unatumia miguu kutype?

Rebel wamechezea kichapo toka kwa askari wa Gaddafi na kuamua kuiachia mji wa Sirte alikozaliwa Mkuu mwenyewe Gaddafi

ambulance zilionekana zikibeba rebel waliouawa na waliojeruhiwa kwa wingi mno

nilitabiri vita ya libya itachukua miaka kumalizika

utabiri wangu mwingine Gaddafi atapigana na kuchukua tena madaraka

utabiri mwingine rebel wataenda tena kujipanga na watapigana tena na watachukua madaraka

kwa ujumla Libya haitakaa irudi kwenye amani yake ya mwanzo

Pro Gaddfi forces are running out of supplies, let alone finances and arms.
Remember the world needs Libya's oil for the life to go on.
Serikali ya mpito inatambuliwa hadi UN na zile mali zilizokuwa zimezuiwa wameruhusiwa kuzitumia, wana support ya NATO and people.
So, your prophecy is wrong Director1!
Natabiri,natabiri,natabiri. Vipi umebeba mikoba ya Shk Yahaya mkuu?Rebel wamechezea kichapo toka kwa askari wa Gaddafi na kuamua kuiachia mji wa Sirte alikozaliwa Mkuu mwenyewe Gaddafi

ambulance zilionekana zikibeba rebel waliouawa na waliojeruhiwa kwa wingi mno

nilitabiri vita ya libya itachukua miaka kumalizika

utabiri wangu mwingine Gaddafi atapigana na kuchukua tena madaraka

utabiri mwingine rebel wataenda tena kujipanga na watapigana tena na watachukua madaraka

kwa ujumla Libya haitakaa irudi kwenye amani yake ya mwanzo
Sijaelewa unalia nini.Mtazamaji alikunyima nini?
Hapo kwenye red sijaelewa, au unatumia miguu kutype?
Mh .. The Party ....?? Yes ...Has just begun! BAD NEWS FOR The LIBYANS... is anyone believed things would be that straight forward .. hahh !!Rebel wamechezea kichapo toka kwa askari wa Gaddafi na kuamua kuiachia mji wa Sirte alikozaliwa Mkuu mwenyewe Gaddafiambulance zilionekana zikibeba rebel waliouawa na waliojeruhiwa kwa wingi mnonilitabiri vita ya libya itachukua miaka kumalizikautabiri wangu mwingine Gaddafi atapigana na kuchukua tena madarakautabiri mwingine rebel wataenda tena kujipanga na watapigana tena na watachukua madarakakwa ujumla Libya haitakaa irudi kwenye amani yake ya mwanzo