The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Rebel wamechezea kichapo toka kwa askari wa Gaddafi na kuamua kuiachia mji wa Sirte alikozaliwa Mkuu mwenyewe Gaddafi

ambulance zilionekana zikibeba rebel waliouawa na waliojeruhiwa kwa wingi mno

nilitabiri vita ya libya itachukua miaka kumalizika

utabiri wangu mwingine Gaddafi atapigana na kuchukua tena madaraka

utabiri mwingine rebel wataenda tena kujipanga na watapigana tena na watachukua madaraka

kwa ujumla Libya haitakaa irudi kwenye amani yake ya mwanzo

Pro Gaddfi forces are running out of supplies, let alone finances and arms.
Remember the world needs Libya's oil for the life to go on.
Serikali ya mpito inatambuliwa hadi UN na zile mali zilizokuwa zimezuiwa wameruhusiwa kuzitumia, wana support ya NATO and people.

So, your prophecy is wrong Director1!

si muda mrefu mtaanza kuwalaumu nato watakapoanza majaribio ya silaha zao, utasikia unmaned plane, tomahawk, cobra helicopter, cruise missile, tornado n.k maneno ya kujifariji tuache kama gadafi alishindwa kuitete tripoli hana chake atang,oka. binafsi namuonea huruma gadafi.

Pro Gaddfi forces are running out of supplies, let alone finances and arms.
Remember the world needs Libya's oil for the life to go on.
Serikali ya mpito inatambuliwa hadi UN na zile mali zilizokuwa zimezuiwa wameruhusiwa kuzitumia, wana support ya NATO and people.

So, your prophecy is wrong Director1!

Wambandwa kumbuka NATO kamwe hawawezi kuingilia vita ya chini,watasaidia kupiga mabomu,lakini ujuwe nayo ina mwisho wake,wazungu huko ulaya watachoka na hadithi za kupiga mabomu,Obama naye uchaguzi unakaribia
natabiri kama vita haitaendelea kwa muda mrefu basi Libya itagawanyika

Rebel wamechezea kichapo toka kwa askari wa Gaddafi na kuamua kuiachia mji wa Sirte alikozaliwa Mkuu mwenyewe Gaddafi

ambulance zilionekana zikibeba rebel waliouawa na waliojeruhiwa kwa wingi mno

nilitabiri vita ya libya itachukua miaka kumalizika

utabiri wangu mwingine Gaddafi atapigana na kuchukua tena madaraka

utabiri mwingine rebel wataenda tena kujipanga na watapigana tena na watachukua madaraka

kwa ujumla Libya haitakaa irudi kwenye amani yake ya mwanzo
Natabiri,natabiri,natabiri. Vipi umebeba mikoba ya Shk Yahaya mkuu?

Kama Qaddafi alishindwa kuitetea Tripol basi hana chake tena Libya. Ni suala la muda tu Sirte nayo itamshinda....

Hapo kwenye red sijaelewa, au unatumia miguu kutype?

Aksante bi mkora kwa kubainisha syntax errors.Nimerekebisha lakini nadhani semantically uliielewa ujumbe . Kama hukuelwa basi unahitaji msaada mkubwa zaidi yangu.....

Vile vile tatizo sio nini unatumia kutype tatizo ni kutype kisahihi. Unaweza hata kutumia miguu au jiti. Anyway Ngoja nitapendekeza waendeshaji wa JF tutengeneze plugin ya swahili spell cheker ili sisi tulioshia darasa la kwanza na tunapata matatizo ya kutype kwa miguu tusiwakere kina Bi mkora .

Rebel wamechezea kichapo toka kwa askari wa Gaddafi na kuamua kuiachia mji wa Sirte alikozaliwa Mkuu mwenyewe Gaddafiambulance zilionekana zikibeba rebel waliouawa na waliojeruhiwa kwa wingi mnonilitabiri vita ya libya itachukua miaka kumalizikautabiri wangu mwingine Gaddafi atapigana na kuchukua tena madarakautabiri mwingine rebel wataenda tena kujipanga na watapigana tena na watachukua madarakakwa ujumla Libya haitakaa irudi kwenye amani yake ya mwanzo
Mh .. The Party ....?? Yes ...Has just begun! BAD NEWS FOR The LIBYANS... is anyone believed things would be that straight forward .. hahh !!

So, your prophecy is wrong Director1!

Mkuu prophercy yake iko wrong somehow lakini ina ukweli kiasi fulani . Makampuni ya sasa yatayoingia kuchimba mafuta yatapata mikataba yenye nafuu zaidi na inawezekana ya kinynyaji tofauti na mikataba walipata waati wa Gadaffi.

Binafsi simtetei Gadaafi lakini path ya Libya imekuwa tofauti na ile ya Egypyt na Tunisia. Na recovery yake itakuwa tofauti na itawacost zaidi walibya na ni nafuuu kwa makampuni kama BP.

Bye bye Papa Ghadafi. Baada ya miaka 42 madarakani, Libya inaweza ku-move on bila wewe au watoto wako.

usiku wa kuamkia ijumaa wamekufa wafuasi wa gaddaf 2000,usiku wa kuamkia jumamosi wamekufa wafuasi wa gaddaf zaidi ya 300,700 wamejeruhiwa na watu zaidi ya 90 hawajulikani walipo.hizo ni siku mbili.waasi wamesogeza nyuma majesh km5 kupisha mashambulizi ya NATO.kumbuka juzi david cameron kasema ataendelea kuwasaidia wazee wa pick up hadi waikomboe nchi yote na rais wa ufaransa kapigilia msumali.gaddaf ataruka ruka mwisho atakamatwa kama sadam hussen.tuvute subira.mia

Moussa Ibrahim bado ananguruma!
[FONT=Verdana,Arial][FONT=Verdana,Arial][FONT=Verdana,Arial]Sepember 16, 2011[/FONT][/FONT][/FONT]

Tafsiri ya alichosema kwa kifupi

>>All attempts aimed at penetrating our defenses have failed. We have the ability to continue fighting for months, although the attacks and bombings by NATO are fierce and beyond belief.

>>Qatar does not want its citizens to regard the NTC as extremists. They repeatedly state that Mahmoud Jibril and members of the NTC are liberals backed by France and Britain. Qatar is a strong ally of the armed gangs that destroy and kill in the name of religion.

>>Algeria has come under attack due to the fact that it is a major economic power in Africa and has vast resources. Algeria is also strongly anti-imperialistic and pursues a humanitarian form of governance and diplomacy. Algeria has refused to cooperate with NATO.

>>Although there are many differences between NATO countries, they share common ground when it comes to dividing the spoils of Libya for their personal gain.

>>There is an imperialist conspiracy against Libya, Algeria and any nation with a thriving economy and vast natural resources.

>>The aim of the imperialists is the recolonization of Africa.

>>He cautioned against accepting media reports that create despair or confusion about the situation in Libya.

Moussa Ibrahim has issued a statement warning people NOT to go the Anti NATO march on the 18th of September as it is a trap set by NATO to massacre as much of the resistance as possible.. This before the UN General Assembly which may call for a halt to the no-fly zone. – A.I.

>>He stated that any messages to the people will come through Al Rai TV.

Source: Uruknet

Last edited by a moderator:
US_NATO na "peaceful protesters" wao aka rebels wanawaua walibya kama vile wanachinja kuku halafu wanasema.

NATO says, "claims of civilian deaths "often" unfounded"

NATO spokesman Colonel Roland Levoie said: "We are aware of these allegations. It is not the first time such allegations have been made. Most often, they are revealed to be unfounded or inconclusive."

Hivi wana ubavu wa kukaribisha uchunguzi huru wa madai haya ya kuwa NATO wanaua raia wengi?

Hata vyombo vya habari vya US na West ni wepesi kusema Gaddafi anawaua walibya bila ushahidi lakini inapokuja kwa Rebels na US-NATO wanakuja na lugha nyengine kabisa kama hii;
Reuters was unable to verify Ibrahim's account of the incident. Gaddafi-held areas have been cut off from communication since the fall of Tripoli.

Hivi mtu anahitaji darubini kujua kuwa NATO wanaua raia wasio na hatia huko Libya? Huku wanasema mission yao ni "to protect civilians".
NATO wameshadondosha zaidi ya mabomu 30000 na wao wenyewe wanasema mengine hukosa target iliyokusudiwa. Je huwa yanaangukia baharini au jangwani?

NATO air strikes kill 354 in Sirte-Gaddafi's spokesman

Muammar Gaddafi's spokesman told Reuters on Saturday that NATO air strikes on the ousted leader's home city of Sirte overnight had hit a residential building and a hotel, killing 354 people.

UPDATE 2-NATO air strikes kill 354 in Sirte-Gaddafi's spokesman | News by Country | Reuters

mkuu wazee wa pick up tayari wameutwaa mji wa Hirawa.sasa hivi wanashangilia ushindi.mia

Rebel wamechezea kichapo toka kwa askari wa Gaddafi na kuamua kuiachia mji wa Sirte alikozaliwa Mkuu mwenyewe Gaddafi
ambulance zilionekana zikibeba rebel waliouawa na waliojeruhiwa kwa wingi mno
nilitabiri vita ya libya itachukua miaka kumalizika
utabiri wangu mwingine Gaddafi atapigana na kuchukua tena madaraka
utabiri mwingine rebel wataenda tena kujipanga na watapigana tena na watachukua madaraka
kwa ujumla Libya haitakaa irudi kwenye amani yake ya mwanzo

Endelea kujifariji na kuota ndoto ya mchana

Unaweza kuamini haya?

Nato said it had struck only military targets "based on strong evidence indicating that the population of Sirte was being threatened and attacked by Gaddafi forces".

(Civilians join Gaddafi fighters to defend hometown) source. http://af.reuters.com/article/libyaNews/idAFL5E7KH0MB20110917

Mr Ibrahim also accused Nato of air strikes on the Tamin block of residential flats overnight.

"The result is more than 354 dead and 89 still missing and almost 700 injured in one night," he said.

Nato said it was aware of the reports.

BBC News - Libya conflict: Fierce fighting resumes for Sirte

Jamani huko mliko wala hamna upinzani,waasi na Nato kwa wiki 3 wanajaribu kuuteka mji wa Bani Walid bila mafanikio,nato wameshapoteza ndege 3 na waasi kwa mamia kupukutika.
Cha kushangaza zaidi waasi walidai majeshi ya Gadafi yanawalazimisha wakazi kuwaunga mkono,sasa kioja kikawa wazee wa kimila wakatoka nje ya mji na kuwaambia waasi hatuwaungi mkono nyie ni vibaraka tu na tuko tayari kufa na majeshi ya Gadafi badala ya libya kutawaliwa upya na nchi za Magharibi.

US-NATO wanataka usikike uongo wao tu. Wamefanya tena.

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom