Mkuu hawa wamagharibi ni vizabizabina kweli, wazandiki na tena ni wanafiki wakubwa, kama kweli wanataka demokrasia duniani kwanza wangekepeleka manowari na wanajishi wao ivory coast kumng'oa dikteta Gbagbo. kwani ni zaidi ya wiki sasa wanajeshi wake wanaua watu wanao muunga mkono rais Outarra. Hivi leo wakisikia maandamano yametokea Saudia au Iran utawaona jinsi watakavyo anza vikao vyao vya kinafiki katika jina la umoja wa mataifa na kupanga mikakati ya kuweka vikwazo na uvamizi wa kijeshi.
Believe me hata kama wananchi wa nchi za africa mashariki, na kusini mwa jangwa la sahara tutaandamana kupinga serikali zetu tusitegemee msaada kwa hawa jamaa kwani serikali zetu sio makini na wala si tishio kwa nchi zao. Sanasana watakachofanya ni kutugawia silaha tumalizane wenyewe kwa wenyewe ili waendelee kuvuna rasilimali zetu.
lakini jamani si aondolewe na watu wake wa libya? - kuna haja gani ya hawa mabepari kutaka kuingilia kijeshi? Si watategemea malipo fulani?
Samahani mkuu una assume mimi ni muislam? kama ni ndio naomba niombe radhi.Waislam wa Tanzania hata kwamba Gadafi alishawahi kutuma majeshi yaje kumsaidia idi amini dadaa kuipiga Tanzania, wao hadi leo bado wanampenda na kumsapoti Gadafi, kwasababu yeye ni extremist wa kiislam ambaye hana utofauti na osama bin laden....nasikitika kwamba, mwaka huu ni mbaya kwake. lazima atatoka tu hata kitumia nuclear...na wote wanaomsapoti wataaibika midomo wazi....nampa wiki chache sana kuanzia leo...na akitoka tu, the Hague inamsubiri kwa crimes against humanity alizofanya kwa kuruhusu public massacre kwa civilians...UN security council imesha refer iyo kitu kwa prosecutor, na investigation ikifanyika muda wowote atapigwa arrest warrant, ataishi maisha magumu maisha yake yote, akitembelea nchi yoyote anakamatwa, na asset zake wamefreez...angelijua angejitokea mikono myeupe kama alivyofanya Mubarak....pole yake, na pole kwa supporters wa magaidi waliopo Tanzania....
Yes malipo ya mafuta!!! Libya anayo ya kutosha (acha ambayo bado hayajaanza kuchimbwa)!! Halafu unakumbuka jamaa walikua na usongo naye siku nyingi wametafuta nafasi ya kumvamia wee wakakosa wakaishia kumpiga kwa ndege wakati fulani sasa wameipata sababu ya kuingia!!Lakini jamani si aondolewe na watu wake wa Libya? - kuna haja gani ya hawa mabepari kutaka kuingilia kijeshi? Si watategemea malipo fulani?
Source BBC: Marekani, Uingereza na nchi kadhaa za ulaya zinanuia kummaliza Gaddafi. Nyingine zimeshaanza kusogeza meli zake kuelekea mpakani mwa Libya tayari kutimiza nia zao. Umoja wa Waarab umekutana kupitisha azimio la kupinga uvamizi wowote wa kijeshi.
Historia za vita mbili za kwanza za dunia zilianza namna hii. Ukiangalia machafuko ya nchi za kiarabu na shutuma dhidi ya West, nashawishika kuna hatari ya vita?
Imekaaje hii? Inaweza kuchkua mrengo wa ubara, rangi, tajir/maskini au Imani? Ikiwa mrengo wa imani, je udini wa kikwete utadhihirika hapa kwetu? Au wa uswaz na maskini tutawavamia Masaki, mbez b nk? AU TUTASMAMA KM NCHI? KM ni kiNCHI, TUNA UZALENDO HUO WA KUIFIA NCHI HII ILIYOTUTOSA? Wataalam wa general reflections, analysis na political & historical diagnosis, kama mnaweza kuchkua break kidogo toka kwny hiz za upupu wa viongoz wa TZ na harakati za CDM kutimiza wajibu wao wa kikatiba&democracy, tafadhali.
Lakini jamani si aondolewe na watu wake wa Libya? - kuna haja gani ya hawa mabepari kutaka kuingilia kijeshi? Si watategemea malipo fulani?
That is not victory for Ajdabiya and Bengazi its victory for democratic and freedom loving people. Aluta Continua. Libya should be liberated, from tyrannic leader Mohamar Ghadafi.Rebels in Libya have been celebrating after fighting off an attempt by troops loyal to Col Muammar Gaddafi to retake the eastern oil port of Brega.
The town was full of jubilant people, who fired their guns in the air, the BBC's John Simpson in Brega reports.
Well-armed Gaddafi forces had arrived in large numbers, and at one stage appeared to hold the upper hand. But they were later forced to retreat.
Meanwhile, Col Gaddafi warned he would "fight until the last man and woman".
In a televised speech, Col Gaddafi also said that thousands of Libyans would die if Western forces intervened.
Discussions continue at the UN about the idea of implementing a no-fly to stop pro-Gaddafi forces launching air attacks on rebel forces.
But the BBC's Barbara Plett in New York says Russia, among others, is unlikely to support any no-fly zone proposal unless there are air raids by Colonel Gaddafi's forces on civilians.
Meanwhile, Venezuela's President Hugo Chavez has spoken to Colonel Gaddafi to discuss the establishment of a "peace commission" to mediate in the country.
Communications Minister Andres Izarra did not say how the Libyan leader had reacted to President Chavez's proposal.
'Important reverse'
The BBC's John Simpson said that he had been to Brega's seashore and university, where the heaviest fighting took place on Wednesday, and they appeared entirely clear of pro-Gaddafi troops.
Our correspondent says that a senior rebel officer suggested the Gaddafi troops - who had arrived in more than 100 vehicles and had managed to briefly seize the university and an oil refinery - might have run out of ammunition and been forced to withdraw.
The excited rebels appear to be very proud of what they have achieved, our correspondent says, and the feeling in the town is that Col Gaddafi's men do not necessarily have their hearts in the job.
A Libyan air force plane did recently drop one bomb nearby, he says, but the attempt by Col Gaddafi to move on the eastern rebel-held areas - his first such attack in two weeks - appears for now to have been repulsed and, although this is by no means a final victory, it is an important reverse for the Libyan leader.
Medical sources in Brega told BBC Arabic that 14 people had been killed in the fighting.
Our correspondent says an airforce plane had earlier tried to bomb the vast weapons dump on the outskirt of Ajdabiya 50km (30 miles) from Brega.
He says most people in Ajdabiya probably assumed at that point that Col Gaddafi's forces were on their way and that there was little between them and the rebel capital Benghazi 100 miles away. But volunteers came pouring in from Benghazi and Ajdabiya.
BBC
Source BBC: Marekani, Uingereza na nchi kadhaa za ulaya zinanuia kummaliza Gaddafi. Nyingine zimeshaanza kusogeza meli zake kuelekea mpakani mwa Libya tayari kutimiza nia zao. Umoja wa Waarab umekutana kupitisha azimio la kupinga uvamizi wowote wa kijeshi.
Historia za vita mbili za kwanza za dunia zilianza namna hii. Ukiangalia machafuko ya nchi za kiarabu na shutuma dhidi ya West, nashawishika kuna hatari ya vita?
Imekaaje hii? Inaweza kuchkua mrengo wa ubara, rangi, tajir/maskini au Imani? Ikiwa mrengo wa imani, je udini wa kikwete utadhihirika hapa kwetu? Au wa uswaz na maskini tutawavamia Masaki, mbez b nk? AU TUTASMAMA KM NCHI? KM ni kiNCHI, TUNA UZALENDO HUO WA KUIFIA NCHI HII ILIYOTUTOSA? Wataalam wa general reflections, analysis na political & historical diagnosis, kama mnaweza kuchkua break kidogo toka kwny hiz za upupu wa viongoz wa TZ na harakati za CDM kutimiza wajibu wao wa kikatiba&democracy, tafadhali.
The only option ni kumwondoa kwa nguvu. Gadafi lazima aondoke na hakuna taifa lolote--liwe la kizungu au kiarabu--linaloweza kuzuia. Mwangalie huyo jamaa, amejitokeza sana public jana na leo..huyo siyo kiongozi ila ni dictator!!
Hana chembe ya utu..
Umeanza vizuri sana bandiko lako lakin mkuu umeshindwa kulimalizia kwani suluhisho lako ni tofauti na maudhui yako. Pole sana.
Kifupi nchi za Kiarabu zimeshagundua njama za nchi hizi za magharibi za kutaka kuzifarakanisha na viongozi na nchi kwa nchi ili damu imwagike,
Gadafi ni Gemedari na Kanali ndani ya jeshi tumwache tu awamalize wale vibaraka wa nchi za magharibi ndani ya Libya na kuendelea na utawala wake uliotukuka.
nashangaaaa. Pilipili yaliwa shamba au UK, USA na nchi za EU zinawawasha nini kama si kiherehere.
The only option ni kumwondoa kwa nguvu. Gadafi lazima aondoke na hakuna taifa lolote--liwe la kizungu au kiarabu--linaloweza kuzuia. Mwangalie huyo jamaa, amejitokeza sana public jana na leo..huyo siyo kiongozi ila ni dictator!!
Hana chembe ya utu..