The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

If true Gaddafi has been captured ,then apparently failed dictators have an affirnity for holes in the ground. Dont shoot,please dont shoot.
 
LIBYAN fighters have overrun the remaining positions of Muammar Gaddafi loyalists in his hometown of Sirte, ending the last major resistance by former regime supporters still holding out two months after the fall of the capital Tripoli. Reporters at the scene watched as the final assault began around 8am local time today and ended about 90 minutes later.
Just before the assault, about five carloads of loyalists tried to flee the enclave down the coastal highway but were met by gunfire from the revolutionaries, who killed at least 20 of them.
"Our forces control the last neighbourhood in Sirte," Hassan Draoua, a member of Libya's interim National Transitional Council, told The Associated Press in Tripoli.
"The city has been liberated."
After the battle, revolutionaries began searching homes and buildings, looking for any Gaddafi fighters who might be hiding there.
At least 16 pro-Gaddafi fighters were captured, along with multiple cases of ammunition and trucks loaded with weapons. Reporters saw revolutionaries beating captured Gaddafi men in the back of trucks and officers intervening to stop them.
 
Uthibitisho umetolewa kule Libya kwamba Gaddafi ameuwawa.

Uthibitisho wa aina gani? Picha ya maiti yake au maneno ya watu? Manake isije ikawa kama yale mambo ya Saif kukamatwa halafu kesho yake jamaa anaonekana mtaani akitanua na SUV.
 
Oh.! OMG, libya haitakaa itawalike tena kama ni kweli, itakuwa kama iraq na afghanistan, pitty on kids and women.!
 
It's the news i have been waiting for, finally. What goes around comes around Ghadafi bye bye bye.
 
Uthibitisho umetolewa kule Libya kwamba Gaddafi ameuwawa.
Ujuwe ni vituko BAK,kuna taarifa eti alikuwa kwenye "hole" akidai "dont shoot,dont shoot" wanatengeneza mazingira ya kumfanya aonekane ni corward!
Yani taarifa moja wanasema kwenye convoy,na nyingine wanasema kwenye shimo!Nyingine kuwa kafa,nyingine kajeruhiwa miguu yote.Ssa sijui nani anayetoa taarifa hizo!
Wameonyesha picha yke kauwawa!
 
Bora angewaachia tu tangu mwanzo. wapi wale walinzi wake wazuri wazuri warembo?
 
Uthibitisho wa aina gani? Picha ya maiti yake au maneno ya watu? Manake isije ikawa kama yale mambo ya Saif kukamatwa halafu kesho yake jamaa anaonekana mtaani akitanua na SUV.
ndio maana nimekaa pembeni ili nisisutwe ila ikiwa kweli kauwawa kesho sitofika kazini naenda nje ya mji kushangilia hii habari
 
Ulevi wa madaraka unawafanya watu waliokuwa na heshima wasiheshimike tena na wengine unawatoa roho zao kama ilivyotokea kwa Gaddafi. Mseveni na wengine wajifunze waachie madaraka kwa amani
 
Kuna picha wamebandika ni disturbing!Inaonekana kama ni valid!
 
duh! jamaa ni noma hawa...hongera yao tutabaki sisi na ujinga wetu tunapelekwa ka makondoo...
 
Unamtaja Museven na Tanzania tuko huko huko ? Ulionaje Igunga ka jimbo tu na maisha yaliyo tokea na violation of human rights ?
 
If it true, so for how long will NATO and their allies stay in Libya for the oil so that they can pay for their expenses
 
Uthibitisho wa aina gani? Picha ya maiti yake au maneno ya watu? Manake isije ikawa kama yale mambo ya Saif kukamatwa halafu kesho yake jamaa anaonekana mtaani akitanua na SUV.

Live blog: Libyan TV reports Gadhafi dead; report unconfirmed – This Just In - CNN.com Blogs

Bado kuna utata NN...lakini msemaji wa NTC alikuwa akizungumza BBC dakika chache zilizopita na kuthibitisha kwamba Gaddafi amefariki. Tusubiri picha ya mwili wake labda itapatikana mtandaoni muda mfupi ujao kabla ya mwili wake kwenda kutupwa baharini.
 
Next on the list is Museveni. Wameishaanza kumzingira kwa fix ya kumsaidia kumsaka Kony wa LRA. Lakini target ya Wamarekani ni kuwa karibu na mafuta mengi yaliyogunduliwa Uganda. Soon region yote itakuwa unsatble na majeshi zaidi yataletwa kwenye Great Lakes region. Ni kuanzia hapo Museveni itabidi achague moja, kulowa kama kuku aliyemwagiwa maji au kutimuliwa/kuuwawa kama Gaddafi. The African continent is moving back to square one as far as freedom/indepence is concerned. Keep watch.
 
Aisee huyu jamaa alikua ana roho ngumu kweli! Alisema atafia nchini kwake na kweli yametokea!
 
Ni kweli mkuu ila CNN wanasema amefariki wanasubiri confirmation source ni Libyan broadcaster Al-Ahrar. Lakin wanaonyesha picha yake hapa CNN uso wake umejaa damu sana hii ni AFP images. Ila tunasubiri confirmation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…