simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
If true Gaddafi has been captured ,then apparently failed dictators have an affirnity for holes in the ground. Dont shoot,please dont shoot.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uthibitisho umetolewa kule Libya kwamba Gaddafi ameuwawa.
Ujuwe ni vituko BAK,kuna taarifa eti alikuwa kwenye "hole" akidai "dont shoot,dont shoot" wanatengeneza mazingira ya kumfanya aonekane ni corward!Uthibitisho umetolewa kule Libya kwamba Gaddafi ameuwawa.
ndio maana nimekaa pembeni ili nisisutwe ila ikiwa kweli kauwawa kesho sitofika kazini naenda nje ya mji kushangilia hii habariUthibitisho wa aina gani? Picha ya maiti yake au maneno ya watu? Manake isije ikawa kama yale mambo ya Saif kukamatwa halafu kesho yake jamaa anaonekana mtaani akitanua na SUV.
wale walikuwa sexy prisoners wa GadaffBora angewaachia tu tangu mwanzo. wapi wale walinzi wake wazuri wazuri warembo?
Kuna picha wamebandika ni disturbing!Inaonekana kama ni valid!
Uthibitisho wa aina gani? Picha ya maiti yake au maneno ya watu? Manake isije ikawa kama yale mambo ya Saif kukamatwa halafu kesho yake jamaa anaonekana mtaani akitanua na SUV.