'Kafa' huo ndo ukweli, nipo live aljazeera. Kuna mambo najifunza hapa kupitia tukio hili kubwa la kuuwawa kwa dikteta huyu wa libya...kwanza kwa hapa tanzania kuna viongozi madikteta waliojificha chini ya mwamvuli wa chama. Kumbuka Ccm imekaa madarakani tangu uhuru kwa miaka 50. Mi8 zaidi ya gadafi,hivyo tunawahitaji kuwapumzisha. Pili,walioendesha mapinduzi huko libya,95% ni vijana. Tunahitaji vijana kwa ajili ya ushindi 2015. 85% ya vijana wote waliokuwa chini ya chama/kikundi walivalia magwanda na walionyesha ishara ya vidole viwili(alama ya chadema) na walionekana wakichoma bendera ya gadafi ,ambayo inarangi ya kijani(ccm?!) kushehekea ushind4 walioupata leo. Tofauti ni kuwa wao walibeba bunduki cc tutabeba shahada kwa ajili ya kura...ccm hili wanalijua, hatuitaji tena udikteta kwa mgango wa chama. Ona huu kama c udikteta. Riz1,Hussein mwinyi,karumekenge,na upuzi wa aina ya akina Nape,wote wanapanda juu kupitia mgongo wa baba(chama) zao/chao,kama ilivyo kwa watoto wa madikteta kama museveni,gadafi,mubarak hata sadam husein. Vijana tuamke!