Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wlibya wangeamua wao na sii nchi za Marekani na wafuasi wake. Jiulize ni kwa nini Uingereza, Marekani na Ufaransa walipeleka majeshi yao kuwasaidia waasi Libya kama sio kwa maslahi ya kwao?Baada ya kutawala miaka 42 unafikiri alistahili kuongezewa miaka mingapi kwa uchache.
Kama kweli kafa,basi wanatengeneza mazingira ya kipropaganda ukiona hayo ya conflicting photos just as in conflicting news!Hiyo ya kanzu ni ya zamani!
Ndugu yangu kuamini si lazima uguse tuliamini Sadam kanyongwa hatuwepo wakati ananyongwa...ukitaka kuamini zaidi Al Jazeera wameonyesha live video inaonyesha Gaddafi alivyokamatwa na kuchinjwa kwa kisu nimeshidwa kuirekodi ilikuwa fupi sana nafikiri watarudia kuionyesha.Hili siyo suala la imani. Ni suala la ukweli ama uongo. Mpaka sasa sijajua kama ni kweli kafa au la!
Wewe unaamini kafa au unajua kuwa kafa?
yeah man!,...watamkumbuka lakn mkuuI feel sory for gaddafi,aliwafanyia kila kitu mpaka wazungu wakamaindi
Mkuu tumesha zipata toka majira ya saa 7 tafuta thread itaiyona.
Tena nadhani ni heri hata wangemwacha Gaddafi na kumfyagia Kikwete kwani Gaddafi pamoja na ubabe wake wote alijitahidi kuijenga Libya na pia alikuwa mwenye kuweza kutoa maamuzi mazito pale kwenye ugumu..!!!