Kwako yupi mbaya zaidi, anayeua ndugu zake wa damu baba mama wajomba shangazi na watoto wake au jirani aliyekuja kuua ndugu zake..think.Where is the value of Sovereignty in Africa kama wewe unashangilia yaliyofanywa na Western countries in Libya?
Mkuu regional integration ina process yake. Process inaanzia kutoka chini kwenda juu. Ni kama unavyomlea mtoto. Roughly, inaanza na free trade area, then custom union, then common market, then economic union na mwisho political union. So, kwenye integration yoyote, the political union ndio inakuwa the last one. This is the difficult one. Mfano mzuri ni European Union. Wamepitia process nzima lakini ipofikia stage ya mwisho ambayo ni political union wameshindwa.
Kama ingekuwa rahisi hivyo ungekuta tayari tuna nchi inaitwa the United States of East Africa.
Aliwasapot Wasouth Africa (Mandela na chama chake) kupata uhuru kutoka kwa wakoloni (wazungu ambao ndio hao waliomuua leo). Alifund project kubwa sana ya satellite launch in Africa connecting the entire continent by telephone, television, radio broadcasting and several other technological applications such as telemedicine and distance teaching.
Mwafrica gani leo mwenye uwezo wa kuwaambia hao western waondoke madarakani? Inamaana wao hawasomi alama za nyakati? Refer to Wall Street protest and the like in the entire Europe.
Bora irudi i think it was too early to be left alone to gorvern ourselves.Afrika inarudi kwa wennyewe "wazungu" na sisi wengine tunafurahia. Sasa tusubiri hilo "DOMOkrasia" waliloahidiwa wenzetu wa Libya.
Kuna watu wamezaliwa miaka ya 90 utakuwa unapigia mbuzi gitaa.Gadafi kwisney!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Si ndo huyu alileta majeshi yake kuunga Mnoko dictator Idd Amin kutupiga Tz???
Jamani waungwana.... huyu Mtu leo amedadilika na kuwa mwema leo??
Angalieni consistency ya ubaya wa huyu mtu!!
RIP Brother,ulijitahidi kutufanya africa tuwe taifa moja,wazungu wakashtukia!!
peace or RadhiaMay God rest him in peace, Amen.
Marekani wamesha maliza unafiki wao wamemuuwa Gadaff ambaye ana ata atia eti wanadai anauongoz wa kibabe wakati kitu icho akipo ila ni unafik na ulasimu wa mmalekani tu imeniboa sana wanajamii hii taalifa ya leo
R.I.P
Chakushangaza ni kwamba kwanini hakuvaa BULLET PROOF?