Mkuu regional integration ina process yake. Process inaanzia kutoka chini kwenda juu. Ni kama unavyomlea mtoto. Roughly, inaanza na free trade area, then custom union, then common market, then economic union na mwisho political union. So, kwenye integration yoyote, the political union ndio inakuwa the last one. This is the difficult one. Mfano mzuri ni European Union. Wamepitia process nzima lakini ipofikia stage ya mwisho ambayo ni political union wameshindwa.
Kama ingekuwa rahisi hivyo ungekuta tayari tuna nchi inaitwa the United States of East Africa.