Kwa vile wao waliweza basi Afrika ingeweza? Nafikiri ndio idea ya Gaddafi ilikuwa hiyo. Kuwa lets unite like the United States of America as if hizo states 50 ziliamua kwa wakati mmoja kuungana na kuwa United States of America. Kama unadhani Afrika inaweza kuungana kama ilivyofanya USA then that inaweza kuwa ni utopia.
You cannot united out of the blue. The United States of Amerika ilianza na states 13 tuu. Unification of USA was process as well tena a fierce one including brushing aside Native Americans and Mexico na ku overcome modernizers waliotaka to deepen the economy rather than geographical expansion let alone bloody civil wars, secession, acquisition, reconstructions, immigration from Europe.
Intergration ya USA ilitokana zaidi na rivals kati ya Uingereza na Ufaransa juu ya makoloni which resulted into war which resulted in greater political integration of the colonies, as symbolized by Benjamin Franklin's call for the colonies to "Join or Die". Now under the contemporary and selfish world, can you apply this integration process in Africa? Nani Afrika yupo tayari kumwaga damu for the sake of creating the United States of Africa?
Njia waliopitia USA ku integrate ndio ilitakiwa nchi za Afrika zipitie wakati zinapata uhuru. The reality is the american process will never work. Na kama ingekuwa inafanya kazi the European Union could have followed it. East African Community could have followed that. We are living in a different world, sio ile dunia ya miaka ya 1700s. Siku tunaishi kwenye dunia ambayo unamwona mwanamke, unampenda, unatongoza, anakubali, mnaaza kudate, mambo yakienda free, mnafunga uchumba, mwisho mnaona. That is the reality of the modern world. You cant force states to integrate kama alivyokuwa anajaribu kufanya Gaddafi.