The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

kwasababu hawana umoja kama wa africa. we are fricking selfish.wazungu wanapeana support mataifa yao.
 
kwani yeye alikuwa anawapeleka gerezani wapinzani wake?
mkuki kwa nguruwe...............
 
His death was announced after transitional forces claimed control of Sirte, Col Gaddafi's birthplace, following weeks of fierce fighting
 

Kwa hiyo wakati wanapiginia uhuru wao walikuwa wanapigania dhidi ya nani? You're wrong to say nobody meddled with their internal affairs. Waingereza, Wafaransa, nk walikuwa wana meddle nini kule?
 
Nimemind sana kumuua huyu jamaa,yaani hadi nahisi machoz yananilengalenga! Jamaa alikuwa jembe la ukweli! RIP Ghadaff! EL 4 2015

in future atauawa mwingine utakuja hapa na kuandika tena hayo. Kwa staili hii utawa-RIP madikteta wengi. Shame on you.
 
Mujahideen hawafai, hata sheik usama hakufa ilikuwa ni photshop tu ya makafiri wamarekani. gadaffi yuko hai na fit mimi nimwona leo jioni akila ubwabwa na wajukuu zake. amenielezea pia juu ya mpango wake makini wa kujenga misikiti kama ule wa dodoma mikoa yote ta JMT.
 
jamani wana jf naomba mnisaidie kuna comment nimewela picha za gadaff tangu anatolewa kwenye handaki hadi anauawa lakini zimetokea picha kama tatu tu halafu yakaja maandishi mengi ambayo hayaeleweki na yanasumbua sana.nimewambia mamod ile post waitoe au waiedit ili kuondoa yale maandishi lakini hawajafanya hivo.naombeni msaada wenu ili comment ieditiwe au ideletewe.ndimi ndugu yenu figganigga.thanx.mia
 
kwasababu hawana umoja kama wa africa. we are fricking selfish.wazungu wanapeana support mataifa yao.

How can we have "THE UNITED STATES OF AFRICA"
......while the Somalis, Egyptians, Algerians, Moroccans etc openly claim that they are not Africans?
.......While Kikuyus and Luos don't see each other eye to eye?
.......While Tutsis and Hutus remain arch-enemies?
........Muslims and Christians hate each other in Tanzania/Zanzibar/Nigeria?
.........Xenophobia is the order of the day in South Africa?
...........Asian-descendants (lkes of Mzee Sabodo/Issa Shivji) are being labelled as traitors or not-real citizens in the entire EAC?
............
.......
 
Kwa hiyo wakati wanapiginia uhuru wao walikuwa wanapigania dhidi ya nani? You're wrong to say nobody meddled with their internal affairs. Waingereza, Wafaransa, nk walikuwa wana meddle nini kule?
Walikuwa wanapigania uhuru kutoka kwa nani? Hili ni suali au jibu?

Waingereza walikuwa wakoloni, wale wadhungu wa US walikuwa NTC ya US, Wafaransa walifanya kazi ya ku-protect civilians (NATO).
Sasa fanya mahesabu mwenyewe hapo.
 
Sioni kama waarabu wamedharauliwa. Kama ni kweli walicheka kwa dharau kama unavosema (sijui viashiria vya dharau vi vipi) walimfanyia Gadafi na sio waarabu. Mkuu unavotoa shutuma kama hizi ni vizuri ukajenga hoja vizuri vinginevyo unaweza onekana mchochezi. Jioni njema mkuu
 

Nimewaandikia pia mods wa edit ile post lakini naona kama wanaomboleza kifo cha Gaddafi? Unaweza uka edit post yako na ku delete hayo maandishi. Nenda kwenye hiyo post yako then kwa chini kabisa kulia mwa hiyo post click "edit post" then futa unayotaka kufuta.
 

pls help me brother!i hate Indians,,,
 
Walikuwa wanapigania uhuru kutoka kwa nani? Hili ni suali au jibu?

Waingereza walikuwa wakoloni, wale wadhungu wa US walikuwa NTC ya US, Wafaransa walifanya kazi ya ku-protect civilians (NATO).
Sasa fanya mahesabu mwenyewe hapo.

Kuna tofauti gani hapo kwenye red na blue?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…