The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Duh!Nimekutana na hii huyo mtoto wa Gaddafi,Saif Al Islam akiwa na Saddam,

Qaddafi's son, Saif al-Islam, with Saddam Hussein.
 

Wewe utakuwa unaota. You better start grieving kama bado. Gaddafi will never rise from the dead.


Libyans have been flocking to the morgue, where Gaddafi's body was taken, and have been taking photographs of him



Gaddafi's son Mutassim was also killed in a firefight in Sirte yesterday


Headshot: The body of former Libyan Leader Muammar Gaddafi lies in an ambulance as it is brought to hospital in Misrata, a bullet hole visible in his temple



An ambulance carries Gaddafi's body from Sirte to Misrata



An ambulance, containing happy rebel fighters, carries Gaddafi's body after he was executed

 
EMT

Hiyo picha ya pili ni Gaddafi kweli? Hayo madevu vipi?

Au huyo ndo Muttassim?

Kwa waliosikitishwa ni muda muwafaka wa kuweka matanga
 
Reactions: EMT
Duh, muislamu mwingine tena kwishnei! Sadam, Osama na sasa Gadafi! Wahuni hawa. Uislamu tujivue gamba sasa.
 


Ndio maana kwenye room yake alikutwa na albamu yenye picha za Condeleza tuu.

Dah! Ebana umenikumbusha hiyo ya albamu ilojaa picha za Leeza Leeza....lol. Jamaa kweli alikuwa dakika tano mbele.
 
Dah! Ebana umenikumbusha hiyo ya albamu ilojaa picha za Leeza Leeza....lol. Jamaa kweli alikuwa dakika tano mbele.
Hilo ni kweli,ndo maana Libya ilikuwa mbele yetu kimaendeleo zaidi ya mara tano.
 
Jamaa katolewa pangoni mithili ya Sadam! Muhuni mwingine wa kiislamu afa kwa jambiya la wamagharibi.
 
 
Ujumbe gani?. Hauwezi kuilinganisha Gadaf na ccm. Pia Afrika tumempoteza kiongozi wa ukweli.

R.I.P Gadaf.

Afrika mmepoteza kiongozi wa ukweli, ukweli gani mbona wakati mapambano yanaanza hamkwenda kumsaidia ashinde? NTC ndiyo wa ukweli, tatizo lenu mnafahamu tu yale mnayoambiwa na viongozi wenu watembeza bakuli kuhusu Gaddafi; tafuteni upande mwingine wa shilingi muone pia.
 
KUmbuka gaddafi hajaondolewa na walibya, ameondolewa na wamarekani na allies, angekua gaddafi pekee angeshawamaliza wapinzani

mifano haifanani, wangemwacha gaddafi kama walivyomwacha mugabe, nothing would have happened!!!

Takie it from me, you will never see mzungu anakuja kumuondoa kikwete wala CCM coz wageni wananeemeka na hali ya sasa

we umesikia wapi serikali inapeleka waziri mkuu wake kuuza shamba nje ya nchi??? hata ofisa wa TIC hakutakiwa kwenda bali wao ndio waje hapa
 

Sawa, ndiyo maana bado CCM watafanya madudu mengi zaidi make wana sapoti ya mabwana mkubwa wanaozoa madini yetu bure, bure kabisa!
 
Unaumwa wewe! Hivi unajua jinsi ilivyo vigumu kumzushia mtu kifo? Kama ni mzima kweli si ajitokeze watu tumwone,arushe hata video kukanusha kifo chake, inauma sana lakini ukweli ni kwamb mzalendo wetu is no more
nasubiri kauli toka kwa watu wanne kisha niamini kama True African Veteran is dead or alive...
1. Moussa Ibrahim
2. Saif al islam
3. Saad
4. Hamisi
 
how long shall they kill our brothers while we stand aside and look?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…