Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanjanja ile...
Subiri Moussa Ibrahi, Saad, Saify au Hamisi ndio watakaokuja kutupa huzuni na majonzi au kutufanya turukeruke kwa furaha.
Hao mbwa koko si walishawahi kututangazia mara kadhaa kuwa wamewakamata watoto au mtoto wa Gaddafi?
Kisha mwisho wa siku wanawasingizia eti NTC ndio waliotoa habari hizo...
EMT
Hiyo picha ya pili ni Gaddafi kweli? Hayo madevu vipi? Yaliota ghafla meusiii telee?
Duh!Nimekutana na hii huyo mtoto wa Gaddafi,Saif Al Islam akiwa na Saddam,![]()
Qaddafi's son, Saif al-Islam, with Saddam Hussein.
Ndiyo mdosi.Meku naona kifo cha Gaddafi kimekuuma sana.
![]()
Ndio maana kwenye room yake alikutwa na albamu yenye picha za Condeleza tuu.
Kwahiyo Condoleeza alienda kama Condoleeza?Was it a date?![]()
Ndio maana kwenye room yake alikutwa na albamu yenye picha za Condeleza tuu.
![]()
Ndio maana kwenye room yake alikutwa na albamu yenye picha za Condeleza tuu.
Hilo ni kweli,ndo maana Libya ilikuwa mbele yetu kimaendeleo zaidi ya mara tano.Dah! Ebana umenikumbusha hiyo ya albamu ilojaa picha za Leeza Leeza....lol. Jamaa kweli alikuwa dakika tano mbele.
Hilo ni kweli,ndo maana Libya ilikuwa mbele yetu kimaendeleo zaidi ya mara tano.
Kwahiyo Condoleeza alienda kama Condoleeza?Was it a date?
Dah! Ebana umenikumbusha hiyo ya albamu ilojaa picha za Leeza Leeza....lol. Jamaa kweli alikuwa dakika tano mbele.
Don't know but the late Gaddafi had previously hinted at a serious admiration for Condoleeza. In 2007, alisema:
"I support my darling black African woman,' he said at the time. 'I admire and am very proud of the way she leans back and gives orders to the Arab leaders. ... Leezza, Leezza, Leezza. ... I love her very much."
Mwaka 2008 kama sijakosea alimtembelea Libya and once again, Gaddafi repeatedly addressed her - known as 'Condi' to her friends - as 'Leezza'.
Three years later, at Gaddafi's compound, Libyan rebels found the photo book.
![]()
![]()
But Qaddafi also had a slightly eerie fascination with Condi personally, even asking visitors why his "African princess" wouldn't visit him. It seems that Gaddafi was hot for Condi and other women as well. The Condi fan photo album, the all-virgin female bodyguard corps, the voluptuous Ukrainian nurses, the wife of the former president of Zanzibar.
And in 2010,Gaddafi flied Italian women to Libya for cultural yours and romance. Gaddafi was interested in romances developing between youths from Libya and Italy, according to an Italian agency. Gaddafi reportedly has high hopes that romance will spark between Clio Evans, 25, a half-English actor from Rome who has visited Libya four times, and his nephew, Ghazali: Gaddafi flies Italian women to Libya for 'cultural' tours - and romance | World news | The Guardian
![]()
That was your fellow African. Wakati anang'ang'ania kuwa na the United States of Africa alitaka wanaume wa Libya wawe na uhusiano wa kimapenzi na wazungu.
Ujumbe gani?. Hauwezi kuilinganisha Gadaf na ccm. Pia Afrika tumempoteza kiongozi wa ukweli.
R.I.P Gadaf.
KUmbuka gaddafi hajaondolewa na walibya, ameondolewa na wamarekani na allies, angekua gaddafi pekee angeshawamaliza wapinzani
mifano haifanani, wangemwacha gaddafi kama walivyomwacha mugabe, nothing would have happened!!!
Takie it from me, you will never see mzungu anakuja kumuondoa kikwete wala CCM coz wageni wananeemeka na hali ya sasa
we umesikia wapi serikali inapeleka waziri mkuu wake kuuza shamba nje ya nchi??? hata ofisa wa TIC hakutakiwa kwenda bali wao ndio waje hapa
nasubiri kauli toka kwa watu wanne kisha niamini kama True African Veteran is dead or alive...
1. Moussa Ibrahim
2. Saif al islam
3. Saad
4. Hamisi