The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Waarabu wamelaaniwa hata kwenye vitabu wameandika,wametiwa vidole vya macho na wamarekani na washirika wao wamekubali hawataakaa wapate raha tena katika maisha yao itakuwa kama Iraq maisha dumu.Leo kumelipuka Tripol kesho benghanzi maisha dumu,na uone vyombo vya habari vya magharibi walivyo washenzi wanatuonyesha wanaoshangalia tu mbona wengine hawawatoi?wametaka mafuta wamepata kwisha kazi.
pamoja na vikwazo vyote lakini mpaka wanampindua hana deni la nje,watu wanasoma bure matibabu, na mishahara wanapewa japo hawafanyi kazi wanataka nini tena?
Tuone hao watakao waweka watawapa maisha haya wakati mmarekani tayari ameshaweka makucha yake pale.itabaki historia tulikuwa tunapewa chakula,matibabu nyumba ,elimu bure.WATAVUNA WALICHOPANDA
RIP Gaddaf
 
Kiongozi huyu comandoo alisikia pwa ikawa aliyelenga alikosea garilaka. Akaamua kutimkia kwenye culvert. Hapo alikamatwa na alijaribu kukumbia ila bahati mbaya hakusikia paa inamanisha ilimpata na mlengaji alikuwa na shabaha

.
Unajua kuna baazi ya vijiwe ghahawa yake inalewesha wanywaji!!
.
 
By and large, the libyans have used same judicial system Gaddafi had invented. All the proof to that is the way they celebrated yesterday.
It is sad that African leaders think they are more safe because of the house they buy in the west and the stolen money they keep in their banks. Am sure Gaddafi's demise is a good lesson of why it is extremely dangerous for African leaders to continue ignoring African citizens
 
msijifanye kusahau namna mamia ya wafungwa walivyouwawa tripol siku mmoja kabla ya kuanguka mikononi mwa waasi
alistahili alichokipata

[Madam; Sir: Whichever is suitable for you], Fuatilia post zangu zote kuhusu Gaddafi kabla ya kunituhumu. Ninaongea from the prospective of Umoja wa Libya na kuponya machungu. Ninadhani ingekuwa ni more just kwa Victims wa Gaddafi kama angesimama kizimbani kujibu tuhuma zinazomkabili kama ilivyotokea kwa Sadam Hussein, Ni hakika kuwa kwa ushahidi uliopo hatima ya Gaddafi ingekuwa hukumu ya kifo(Hapa ninamaanisha kwa kesi iwe Libya siyo The Hague). Kumuua mapema kwa style hiyo ni kumpumzisha kwa amani na hakuwa na muda wa kujutia matendo yake. That is where my point is relying.
 


Mutassim Gaddafi enzi za uhai wake with mnafiki Hillary Clinton, yaani hii mizungu sio mijitu ya kuamini kabisa ni hypocrites, sinitches, traitors kabisa

R.I.P Mutassim Gaddafi
 

Sikiliza hizi habari,halafu amua mwenyewe. Pitia kila link.

http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=WH_YOHdkCz4

http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=nNuN3nLt1N0

http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=OcdtJTvsx9Q

http://www.youtube.com/watch?v=EMYiBTvom1Q

http://www.youtube.com/watch?v=uwJLKXEPpaA&feature=player_detailpage
 
yani nyie wote hamuoni siri hapo. kutokusikia paa ndo kumemuua
 
They knew they were fighting the losing battle. But with a heart hard like stone, only a fool would apologize
 
RIP gaddafi daima umeishi kama simba na hukuwa mnafiki kama viongozi wengine.....nenda tutakukumbuka kwa uliyoyafanya
 

you are very right. Na hata hao wanaoshangilia they are not truly libyans! Ni hao mamluki waliowapandikiza kwenye hiyo movie yao. No matter what happen gaddafi atabaki kuwa herooo!
 
Aljamahiria.com / صحيفة الجماهير / Libya - The latest True News from Libya (20-10-2011 / 18.00 pm)

20.10.2011 - TOP NEWS =========Gaddafi is NOT Dead - Sirte Not Fallen!

+++ More True News Verry Soon! +++

Thursday, October 20, 2011
MUAMMAR AL GADDAFI IS ALIVE AND IS STILL LEADING LIBYAN RESISTANCE
TV Al Shababiya - URGENT:::
We thank God that the leader is fine. He is not in Sirte.
Do not believe lying NATO channel
They want him to communicate, to call TV stations, so they could locate him. This is reason's of fake news about Gaddafis death!
Victorious with God's help ( God safe him) !!!!

====================================
Comment: THE WAR IS NOT OVER ******!
Just like it never ended after killing Saddam. Even if he is dead (which I would believe when I see relieable evidence, which has not been produced yet) HE BECAME A SYMBOL OF STRUGGLE AGAINST IMPERIALISM! HE BECAME IMMORTAL AS A LEADER! This concept is something cowards like Obama, Sarkozy, Cameron, Berlusconi would never ever understand...
VIVA GREEN LIBYA! VIVA GADDAFI! YOU LIVE IN OUR HEARTS AND IN OUR STRUGGLE FOREVER!


18.10.2011 - TOP NEWS =========And Gaddafi captured mercenaries!

Gaddafi forces have captured 17 foreign mercenaries in Bani Valid , including several
British and French. The insurgents quickly disappeared from the front line, after the assault on Bani Valid.
 

Whatever one's views regarding Moamar Gadaffi, the post-colonial Libyan government played a key role in eliminating poverty and developing the country's health and educational infrastructure.

Pata upande mwengine wa story hapa.

NATO's War in Libya: Protecting to Kill, Killing to Protect...

Na hapa https://www.jamiiforums.com/interna...sis-and-gadaffis-options-290.html#post2652756
 
Jamani binadamu akifa hatuna budi kumuombea kwa mungu ali amlaze pema peponi.

Tuache kupangia Mungu, hata akiamua kumkalisha popote ni sawa tu.

Kama tumeamua kumwomba Mungu basi tuombe awekwe mahali anapostahili mbele za macho ya Mungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…