Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Mwaka huu asiye na macho atauona unafiki wa nchi za magharibi.Ningekuwa Gadafi siondoki n`go!.wacha wecheze makida makida watapoa tu,hizo njama za Al qaeda haziwezi kusumbua dunia,tunamsema Gadafi eti aondoke mbona (Arusha hakuondoka mtu?,) gangamala wasikuchezee hao,kwanza ni wachache wengi wanakuunga mkono wachape waishe ikiwa ni kwenda The Hague iwe kwa utashi wako,sio wa kikondoo.Tena Gadafi awakomeshe hao walioanza chokochoko nyumba amewapa BURE pia ELIMU,MAJI MSHAHARA KWA KILA RAIA,sasa wanataka uhai wake awamalize kabisa.Namsifu kwa kutetea sera zake,Nakumbuka enzi ya Clinton akiwa Rais wa Marekani walijaribu kumuua kwa makombora katika hema lake jangwani,walifikiri yuko katika hema kumbe alikuwa mjanja sana hakuwepo hapo wakati walipotupa makombora kwa ndege.Namuunga mkono 100% kwani wamemtafuta muda mrefu sana bila mafanikio.Kama alivyosema ni njama za wabaya wake hasa OSAMA BIN LADEN sasa naanza kuamini kama ni kweli.
Umekuwa na hoja kama za dkt Slaa.Kwanza Kikwete ndiye mmiliki wa Dowans.Wamiliki wanapojitokeza akajifanya kama hakusikia akarukia mabomu ya Gongo la Mboto,ati ana ushahidi wa aliyeripua.
Kwanza ulikuwa unashangiria ulipoona Gadafi kabanwa.Sasa amekuja juu unatuletea habari za mke wake.Yanakuhusu nini?.

Ni aibu tupu to the foreign secretary kwanza walianza sijui ni diplomats wamekamatwa na rebels.
haya diplomats gani wanatua saa nane za usiku outside the main airport and for what reasons.
halafu sijui ni diplomats gani wanao tembea na vifaa vya vita, it is an embarassment to the british intelligence.
mkuu una matatizo gani??
Yaani unashindwa kujenga hoja hata kidogo..Dr Slaa na hii topic wanahusiana vipi??
Ni muhimu kutenganisha msimamo wa kidini na baadhi ya mambo.. Maana umekuwa kipofu husikii, wala hutaki kuelewa..
Hebu jifunze kutumia akili yako kwa mambo madogo kama haya..
wamruhusu atoke na wasimshitaki, lakini awarudishia pesa na mali zote alizokwiba. Na assets zote zilizo nje ya libya ziwe mali za state.