The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The Libyan embassy in The Hague (Den Haag) raised the pre-Qaddafi flag today

254333922.jpg
 
gadaffi must pay the price of the killings he has done even if he steps down
 
Sikuwahi kudhani kama siku moja mambo haya yanaweza kumtokea Gaddafi, kweli kila chenye mwanzo kina mwisho.
 
Tatizo la Libya ni kwamba vita ni kati ya rebel forces na government forces. Wasi wasi wangu ni kwamba hao wata kao mreplace Gadaffi nao wasije tu waka nogewa na madaraka ikawa yale yale tena. By the way where next after Libya?
 
hakujawahi kua na rebel forces libya, wananchi ndio wamevamia ma ghala ya silaa , sasa wanataka nchi yao....nilikua naangalia NEWS jana, "rebel" forces wanalia wenzao wamepigwa risasi..wengi wameumia kutokana na kutojua kutumia vifaa vya kijeshi......hawa sio rebels kama wakina kabila na nkunda ambao wana leaders na hidden agenda.....hawa watu wameji-mobilize bila kua na prominent leader...sasa hivi Gaddafi itabidi akubali wananchi waamue namna wanavyotaka watawalwe...
 
Tatizo la Libya ni kwamba vita ni kati ya rebel forces na government forces. Wasi wasi wangu ni kwamba hao wata kao mreplace Gadaffi nao wasije tu waka nogewa na madaraka ikawa yale yale tena. By the way where next after Libya?

Ilikuwa inanukia Zimbabwe, ila jamaa amewahi kujidhibiti na nguvu ya dola. Sijui hiyo nguvu itadumu kwa muda gani.....
 
Libyan official denies talk of Gaddafi exit deal

Tue Mar 8, 2011 12:01pm GMT
TRIPOLI, March 8 (Reuters) - A Libyan foreign ministry official on Tuesday denied Tripoli had floated a proposal under which leader Muammar Gaddafi could step down in exchange for guarantees about his future.

The official, an advisor to the deputy foreign minister, said reports about such a deal were "absolute nonsense." Gaddafi's opponents in rebel-held east Libya said they received a proposal to discuss Gaddafi's exit but rejected it.

(Reporting by Michael Georgy; Writing by Christian Lowe; Editing by Jon Boyle)
 
wamruhusu atoke na wasimshitaki, lakini awarudishia pesa na mali zote alizokwiba. Na assets zote zilizo nje ya libya ziwe mali za state.

Sasa hv serikali za umoja wa kitaifa zimekua fashion Africa...... Wakitaifisha assets na ku-freeze accounts tu na kumuacha my worry wengine nao wanaweza kuja kufanya hivyo hivyo na hiyo inakua ni precedent.... kwa mauaji aliyoyafanya kwa raia wema - he needs to bear the brunt.
 
endeleeni kutupa habari za huyu, Mfalme wa waarabu, hawa jamaa inabini wakomae la sivyo wakikwama jamaa ata wanyonga kama kuku.
 
Gaddafi kasema ni uongo,hajataka kufanya makubaliano yoyote....However Gaddafi ana mapenzi flani na Afrika,Mandela alienda kumshukuru enzi zile Libya iko under no fly zone,hata hivyo Madiba akaamua kwenda kwa njia ya barabara,hakujali vikwazo alivyokuwa amewekewa Gaddafi.
Kwa maana hiyo,Gaddafi anaweza kupata sapoti ya baadhi ya nchi za kiafrika,na hivyo kufanya umwagaji damu uongezeke na mgogoro kuwa prolonged.
Kwa upande mwingine,mchina naye ananusanusa,yeye na mrusi,hawataki Libya iwekewe a "No fly zone" kama rebels wanavyotaka,Marekani wao wanasapoti no fly zone,Mchina anahitaji mafuta kuliko mtu yeyote yule,maybe sawa ama kumzidi mmarekani hivi sasa,hivyo basi wananchi wa Libya wajue kuwa wanapata sapoti kwasababu ya mafuta yao na si kwasababu kuna watu wanaopenda utu ama haki za binadamu vitawale huko Libya.
 
hao governent officials lazima watakaa, ili wapate wanachotaka hawawezi kukubali udhaifu wake, wanahitaji kushirikia kitu ili "matakwa" yao ya sikilizwe.....lakini ukweli Gaddafi anaujua, sasa hivi NATO wanataka wa impose no fly-zone, Gadaffi hataweza kutoroka, vile vile air force ya Libya haitaweza tena kutumika kulinda nchi/Gaddafi. hao hao NATO forces wata provide strategic assistance to "rebels", alafu hasira za watu zitazidi, Wakisha muweka Gaddafi kwenye corner ndio mwisho , labda ajivishe magunia apande ngamia mbaka kwenye mipaka ya libya, lakini akishikwa tu watamkatakata mpaka wamuue..ni bora a negotiate mapema wakati bado ana madaraka na heshima kidogo kama rais.
 
Mikasa iliyowakuta waafrica waliojiripua kwa Gaddafi!

Libya War Traps Poor Immigrants at Tripoli's Edge


REFUGEES-articleLarge.jpg

Moises Saman for The New York Times
Hundreds of African migrant workers, many from Ghana and Nigeria, live next to the airport in Tripoli, Libya, hoping to fly home.


By DAVID D. KIRKPATRICK and SCOTT SAYARE

Published: March 7, 2011

TRIPOLI, Libya - As wealthier nations send boats and planes to rescue their citizens from the violence in Libya, a new refugee crisis is taking shape on the outskirts of Tripoli, where thousands of migrant workers from sub-Saharan Africa have been trapped with scant food and water, no international aid and little hope of escape.

The migrants - many of them illegal immigrants from Ghana and Nigeria who have long constituted an impoverished underclass in Libya - live amid piles of garbage, sleep in makeshift tents of blankets strung from fences and trees, and breathe fumes from a trench of excrement dividing their camp from the parking lot of Tripoli's airport.

For dinner on Monday night two men killed a scrawny, half-plucked chicken by dunking it in water boiled on a garbage fire, then hacked it apart with a dull knife and cooked it over an open fire. Some residents of the camp are as young as Essem Ighalo, 9 days old, who arrived on his second day of life and has yet to see a doctor. Many refugees said they had seen deaths from hunger and disease every night.

Endelea kusoma hapa:
Very interesting story!
 
Kama Marekani na washirika wake wata-enforce a no fly zone, watakuwa wamem-cripple jamaa vibaya sana na kumpunguzia uwezo wa kufanya mashambulizi pamoja na kujilinda..; ni sawasawa na mtu kukushika mikono wakati unapigana na adui yako; but I still think Ghaddafi will not go down easily kama wenzake and he will try to put a very spirited fight, probably killing a lot of people in the process..
 
Ami wewe si ndiye uliyesema kuwa unashinda kwenye blog za kiarabu? Hii habari haukuiona maana nimeitoa al-arabiya.net. Halafu unavyolalamika inatuhusu nini wewe huoni kuwa hata hawa ma-1st lady wetu wanatuibia ukiondoa wale wawili wa mwanzo, watatu i.e mama ana na huyu wa sasa mama salma huoni kama ni mafisadi tu. Au wewe kila kitu unakicheki kwa mrengo wa kidini?
 
Mikasa iliyowakuta waafrica waliojiripua kwa Gaddafi!
20110304-LIBYA-slide-AZLM-jumbo.jpg
20110308_LIBYA-slide-XTFX-jumbo.jpg
20110308_LIBYA-slide-GPWL-jumbo.jpg
Picha kwa hisani ya New York Times
 
Back
Top Bottom