The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Yeyote anayetaka kuingiza udini kwenye suala la Libya ni bora akae kimya asije akawa kituko kwa wafuatiliaji wa mombo.

 
Wakimaliza syria wanahamia Russia na huyu Putin atauliwa
 
Kwa
maana mshahara wa dhambi ni
mauti; bali karama ya Mungu ni
uzima wa milele katika Kristo
Yesu Bwana wetu.
Rum. 6:23
Ukaidi, u-wamuyaya, udikteta,
u-terrorism mfano kuua air
passengers wasio na hatia, n.k.,
ndicho kilichomuua Gadafi. Na
wananchi wa Libya walikesha
WAKISHANGILIA saaana!
 
Wanachotakiwa sasa kujifunza ni kwamba ku brush shoulders na kina Sarkozy,Obama,Brown nk si tiketi ya kubaki madarakani ama kuheshimiwa na kuandikwa vyema kihistoria.

Kila jamii ni tofauti,jamii yetu tunataka maendeleo,na tutakuenzi kwa hayo.

Walibya naona wao walitaka hiyo demokrasia ambayo nyie ndo mnatupa.

Tunataka maendeleo ambayo yatapatikana only mtakapozisimamia rasilimali zetu vyema.

Gaddafi alifanya kosa moja kubwa,nalo ni kuweka zile bilioni 150 kwenye ile fund of Libya.Halafu bado akawa anaisimamia vyema.

Wakazitamani kwenye usawa huu wa hali mbaya ya kiuchumi duniani.

Gaddafi pengine alitafuta nguvu kubwa zaidi hata nje ya taifa lake.Hilo liliwapa mwanya maadui.

Tunataka viongozi wetu wa invest on the people.Those are the ones who gives you power,give them what they want,and you'll be fine!

Labda JK atagundua hizo safari zake za kwenda kuwaona kila kukicha ni kujidhalilisha tu.Haina maana kabisa kwamba ataandikwa vyema kwenye historia.

Angalia wananchi na uwatumikie JK,ni ushauri.
 
baada ya kuwa usingizini kwa muda mrefu, putin ndo anaibuka? kwa mipango yake ya kurudi kwenye urais, atazame upya, asije kuwa ghaddafi wa kesho kutwa. asidhani warusi ni wajinga wa kumwona yeye tu ndo anastahili kuwatawala. siamini kama putin, akirudi kwenye urais atakuja kumaliza kipindi chake cha uongozi, kabla nae hajauawa...pamoja na uhusiano wake wa karibu na ujerumani
 
NATO hawakumuua Gaddafi. Walikuwa makini sana juu ya hilo. Walichofanya ni kudisrupt tu ile convoy na kuhakikisha jamaa hachoropoki!
 
Wakimaliza syria wanahamia Russia na huyu Putin atauliwa

Waende wakamuue Rais na waziri mkuu wa CHINA. Si wanasema China hakuna democrasia kabisa!. Nadhani ndipo Almagedon iliyotabiriwa na vitabu vitakatifu itakapotokea.
 
Body of ousted Libya leader Muammar Gadhafi on display in metal-lined cold-store by a Misrata market; dozens of people, many with cellphone cameras, come to see that he is dead.

In a statement on a Syria-based pro-Gadhafi television station, the ousted dictator's family asked for the bodies of Gadhafi, his son Mo'tassim, and others who were killed on Thursday by fighters who overran his hometown Sirte.
"We call on the UN, the Organization of the Islamic Conference and Amnesty International to force the National Transitional Council to hand over the martyrs' bodies to our tribe in Sirte and to allow them to perform their burial ceremony in accordance with Islamic customs and rules," the statement said.

At an understated and sparsely-attended news conference late on Friday, NATO Secretary-General Anders Fogh Rasmussen said the Western alliance had taken a preliminary decision to call a halt to Operation Unified Protector on Oct. 31.

Like other Western officials, Rasmussen expressed no regrets in public about the gruesome death of the deposed Libyan dictator, who was captured alive by the forces of the National
Transitional Council but was brought dead to a hospital.

"We mounted a complex operation with unprecedented speed and conducted it with the greatest of care," Rasmussen said. "I'm very proud of what we have achieved."

The NATO operation, officially intended to protect civilians, effectively ended on Thursday with French warplanes blasting Gadhafi's convoy as he and others tried to escape a final stand in Sirte.

Gadhafi was captured wounded but alive hiding in a drain under a road. The world has since seen grainy film of him being roughed up by his captors while he pleads with them to respect his rights.

NTC officials have said Gadhafi later died of wounds in the ambulance, but the ambulance driver, Ali Jaghdoun, told Reuters that Gadhafi was already dead when he picked up the body.

"I didn't try to revive him because he was already dead," Jaghdoun said, in testimony that adds greater weight to the widespread assumption that Gadhafi was lynched.

The UN human rights arm said an investigation was needed to into whether he was summarily executed. The interim leaders have yet to decide what to do with the corpse.

Brutal dispute

In Misrata, a local commander, Addul-Salam Eleiwa, showed off the body, torso bare, on a mattress inside a metal-lined cold-store by a market on Friday. There was a bullet hole in his head.

"He will get his rights, like any Muslim. His body will be washed and treated with dignity. I expect he will be buried in a Muslim cemetery within 24 hours," he said.

Dozens of people, many with cellphone cameras, filed in to see that he was dead.

"There's something in our hearts we want to get out," said Abdullah al-Suweisi, 30, as he waited. "It is the injustice of 40 years. There is hatred inside. We want to see him."

In Tripoli, Gadhafi's death prompted a carnival-like celebration, with fireworks, a bouncy castle and candy floss for the children. "Muammar, bad," one small girl said to foreign journalists in English. "Boom boom."

"For some people from outside Libya it could look wrong that we are celebrating a death with our children," said one man with a child on his shoulders. "But it was 42 years with the devil."

Risks of division

Saif al-Islam, Gadhafi's son and heir-apparent remains at large, believed by NTC officials to have escaped from besieged Sirte and headed for a southern border.

Without the glue of hatred for Gadhafi and his tribe to unite the factions, some fear a descent into the kind of strife that bedevils Iraq after Saddam Hussein. Optimists say that so far Libya's new rulers have quarreled but not fought.

"Can an inclusive, effective national government be formed? Yes, if factions can avoid fighting," Jon Marks, chairman of Britain's Cross Border Information consultancy said.

In Washington, State Department spokesman Mark Toner said the NTC had promised to explain how Gadhafi was killed.

"They're dealing with the death itself as well as the aftermath in as transparent a way as I think they can," he said. "They've fought bravely to liberate their country from this dictator. And, you know, he met an ignominious end yesterday."


Source;Israel News - Haaretz Israeli News source.
 
Maiti ya Gaddafi inaanza kuoza! - BBC

BBC (News hour) wanaripoti kwamba maiti ya Gaddafi ambayo imehifadhiwa kwenye chumba cha barafu mjini Misrata imeanza kuoza kutokana na kutokukubaliana kati ya pande tofauti kuhusu ni wapi na ni lini Gaddafi azikwe.
 

Vyema sana.
 
Usemi usemao "asiyependa mabadiliko,mabadiliko umbadilisha".usemi huu umejidhihirisha ukija kuangalia hili swala la muamar G.viongozi na watu wote kwa ujumla inabidi mjifunzie hii methali kwa huyu kamanda muamar.na ndio maana hali hii imempelekea rais wa yemen kutangaza jana kua ataachia madaraka kwa masharti kwani ameshaona kuwa kifo nae kinamkabili kama ataendelea kuwa na msimamo na ubishi wa kipuuzi kama wa mwenzake wa libya.tujifunze kupitia hili.
 
Mkuu Saint Ivuga,

Wabongo tunaopiga kelele za ajabu ajabu huko misikini Kwa Mtoro bila kuwa na taarifa kamili tujue kwamba tunakua nikituko kama si kichekesho mbele ya uso wa ulimwengu. Habari ndio hiyo!!!

Very constructive truth.
 
hakika Libya watakiona, kwani ni sawa na wame mkaribisha fisi katika zizi lao. kama vipi "Time will tell"
 
huyu gaddaf ni mtuhumiwa inabidi akizikwa kaburi lake lizungushiwe minyororo tutakuwa tumemfungia mbinguni na duniani.mia
 

Uislamu upo na Dola ipo,
Usitegemee JK afariki sasa eti atazikwa masaa machache yajayo (Mungu apishe mbali), hivyo kila taifa linapokuja suala la mtu mashuhuri au mkubwa katika taifa husika kidogo taratibu huwa zinakinzana na mamlaka ya nchi husika.
Hivyo usiunasibishe Uislamu aidha na chuki binafsi au ni kutokuelewa mantiki murua ya iwavyo.
 
Rest in peace shujaa Gadafi,aliahidi atapigana na hata ikimbidi kufia vitan na kwel hilo limetokea,ingekuwa tz kiongoz gan mkubwa angekuwepo nchin wakat hali imechafuka? Si semi alikuwa mwema sana ila watamkumbuka baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…