The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

watu hapa nakutaka source? Read what is posted and moveon...you can either believe what is written or not...
 
huyu gaddaf ni mtuhumiwa inabidi akizikwa kaburi lake lizungushiwe minyororo tutakuwa tumemfungia mbinguni na duniani.mia
zhangwei1.jpg

zhangwei2.jpg

zhangwei3.jpg
 
I was not in favor of Gadafi, lakini hili wanalofanya NTC na mwili wa Gadafi ni kuudhalilisha ubinadamu. Maiti ya mwanadamu popote pale inaheshimiwa na kuhifadhiwa.

NTC wanasema wamemtoa madarakani Gadafi kwa kuwa hakutenda haki. Wao mtihani wao wa kwanza wa haki ni huu.

Inasikitisha kuona maiti ya binadamu inatendewa kama mzoga wa mnyama, hata kama ni wa adui. It is very inhuman and unjust.
 
Wakimaliza syria wanahamia Russia na huyu Putin atauliwa
Hii ni ndoto ya alinacha na haiwezi kutokea chama cha putin kinachoitwa idinaya russia kimempendekeza putin kugombea urais next year februari na huyu akiingia madarakani misimamo yake marais wa europe wanaijua....let wait and see
 
Why do the West believe in solving conflicts violently? Wasn't it possible, with their might(power), to capture Sadam, Gadaffi, etc without killing them and their families plus hundreds of thousands other civilians?

Gadaffi may have refused to bow to the demands of the West. But why was he to do that? In any case, South African president was able to talk to Gadaffi and solve any problems without killings. The west did not give dialogue a chance. They went on with their mission. Are they now safer that they have killied Gaddafi, his family and thousands of Libyans?
 
It i true Saint Ivunga; ni Putin again on the line-up for Russian presidency. So funny though.
 
r



Why do the West believe in solving conflicts violently? Wasn't it possible, with their might(power), to capture Sadam, Gadaffi, etc without killing them and their families plus hundreds of thousands other civilians?

Gadaffi may have refused to bow to the demands of the West. But why was he to do that? In any case, South African president was able to talk to Gadaffi and solve any problems without killings. The west did not give dialogue a chance.

They went on with their mission. Are they now safer that they have killied Gaddafi, his family and thousands of Libyans?
 
Angalia unafiki wa waislamu!!! Akifa mtu they don't pay last respects (hawamwangalii osoni), ghadafi kafa wanamweka kwenye maonyesho hata wanawake wanamwangalia!!!! Mtu aliyekufa anazikwa as soon as possible, wamemuua Ghadafi wanasema hatazikwa haraka. Huu ni unafiki mkubwa wa waislamu!!
Wala usiulaumu uislam katika hili, wanachokifanya jamaa wa NTC ni kumdhalilisha Gadaffi na ni kuudhalilisha ubinadamu. Uislam inaagiza mtu anapokufa azikwe haraka, jamaa wa NTC kama wangeukabizi huu mwili kwa ndugu naamini haraka sana Gadaffi angezikwa.
Hata kama mtu ni mkosefu kiasi gani, afikishwe mbele ya sheria huku akipewa haki zake za kibinadamu.
NTC wameamua kumdhalilisha na kuudhalilisha ubinadamu kwa kuweka kwenye maonesho mwili wa marehemu.
 
It i true Saint Ivunga; ni Putin again on the line-up for Russian presidency. So funny though.
Its true my boy..the part and Russian President .Dmitry Medvedev has proved that Mr.Putin strong man in russian politics will stand for the next election in february next year
 
ubepari ndio unaingia Libya sasa
yale mambo ya kulala na serikali kutoa huduma na kuwafanyia kila kitu imefika kikomo
ngoja nione waarabu hawa watakuwa wavumilivu kwa kiasi gani
 
Labda FaizaFoxy, Rejao, Selemani au Malaria Sugu kidogo watusaidie maana ya hayo maandishi kwenye hilo li-kalivati kwa sababu kweli naona maandishi kwa rangi mbalimbali kwenye hako ka-ukota lakini siambulii chochote kitu hapo.

Wameandika nini hapa bob?
 
Oooohh, samahani sana Saint Ivuga kwani wala haukua lengo langu kumdhalilisha Ustaadh Tropical hapa maada yeye kwa Elimu Ahera wala hakuna masuali mengi kwani umahiri wake kwa lugha hiyo ya wenzetu siku zote ni dhahiri mno kwake atatusaidia.

Jifunze kiarabu karibu magomeni mapipa ufanye biashara kubwa duniani
 
UNALIJUA HILI?Gadafi alisema"matatizo ya Africa yatatuliwe na waafrika wenyewe"maneno haya yanamaana kubwa sana ikizingatiwa alikuwa anachangia 15% ya bajeti ya AU(AFRICA UNION-UMOJA WA AFRIKA),kilichoikuta Libya mpya ni hiki "Libya mpya inatakiwa kulipa gharama zote alizopata NATO ikijumuisha gharama za ndege zilizobutuliwa,wanajeshi wa NATO waliouwawa,gharama zote za vita,inadaiwa dola trillion tatu,hela hyo itakatwa kwa Libya mpya kukabidhi mapato yake pamoja na exchange ya mafuta.Ndiyo maana USA na nchi za magharibu haziendi kusaidia nch kama somalia kwa sababu hazina uwezo(resources) za kuwalipa(kufidia gharama).Wairaq pia wanalipa gharama ambazo USA na nch za magharibi walizipata kipindi wanamuondoa Sadam."(SOURCE:RADIO FRANCE INTERNATIONAL,KIPINDI CHA MTAZAMO WAKO,MTANGAZAJI EDWARD NDEKETELO).
 
Nilikuwa nadhani obama ni mtu kumbe afadhali na bush yote ni magaid.wajaluo mshaulin ndugu yenu aache kuonea nchi za kiafrica.
 
Back
Top Bottom