Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bora wao wamewafanya kazi inayo onekana.je nyie mnailipa uingereza madini yote ya TANZANIA imewafanyia nini?wao libya wanajivunia mafuta na yamewasaidia kuwaondolea dikteta.wewe mtanzania madini na maliasili zilizomo nchini mwako zimekusaidia nini?.munajua kuangalia ya wenzenu tu.mia
Maji bure ,umeme bure ,nyumba bure ,mafuta bure ,ukioa au kumaliza shule unapewa mtaji ..benki unakopa/kuchukua hela unavyotaka...au binadamu wakipewa raha sana huwa wanakasirika na kuwa machizi?..Gadaffi hakustahili kufa kifo kama hiki alichokufa..hata kama alifanya mabaya. kuna rais gani amabaye hafanyi mabaya au haui..? mbona mkapa aliua kule visiwani Zanzibar? mbona mkulu kaua Arusha?......
labda wananchi wakikaa bila umeme au kwenye umeme wa mgao ndio huwa wanatulia kama hapa kweli Tanzania tulivyotulia?
i need some help and explanations:
Ukweli ya Libya yananiuma as if ni nchi yangu kiasi nashindwa hata kuya discuss! unapoona inafikia mahala ambapo mwanaume anatoka nyumbani kwake kuja kukupangia jinsi ya kutawala familia yako jua hiyo ni hatari kubwa sana.
Mataifa ya magharibi yameamua kuweka utawala yanaoutaka katika bara la Afrika mradi kuwe na maslahi wanayoyataka katika taifa hilo, Tanzania tujiandae uranium itatuponza muda si mrefu!
Ukweli ya Libya yananiuma as if ni nchi yangu kiasi nashindwa hata kuya discuss! unapoona inafikia mahala ambapo mwanaume anatoka nyumbani kwake kuja kukupangia jinsi ya kutawala familia yako jua hiyo ni hatari kubwa sana.
Mataifa ya magharibi yameamua kuweka utawala yanaoutaka katika bara la Afrika mradi kuwe na maslahi wanayoyataka katika taifa hilo, Tanzania tujiandae uranium itatuponza muda si mrefu!
23 October 2011 Last updated at 11:06 GMT
Gaddafi website publishes 'last will' of Libyan ex-leader
*endeleeni na mapambano
*maiti yangu izikwe kwa desturi na mila za kiislamu
*nizikeni Sirte kwenye makaburi ya mababu
*nizikwe na nguo nilizovaa mauti yaliponikuta
*mwili wangu usioshwe
*nitakufa kama Mwislamu
![]()
In his will, Gaddafi urged Libyans to fight on
Muammar Gaddafi's website, Seven Days News, says it has published the last will of the deceased former leader of Libya.
The document was reportedly handed to three of his relatives, one of whom was killed, the second arrested and the third managed to escape the fighting in Sirte.
Here is the English translation:
"This is my will. I, Muammar bin Mohammad bin Abdussalam bi Humayd bin Abu Manyar bin Humayd bin Nayil al Fuhsi Gaddafi, do swear that there is no other God but Allah and that Mohammad is God's Prophet, peace be upon him. I pledge that I will die as Muslim.
Should I be killed, I would like to be buried, according to Muslim rituals, in the clothes I was wearing at the time of my death and my body unwashed, in the cemetery of Sirte, next to my family and relatives.
I would like that my family, especially women and children, be treated well after my death. The Libyan people should protect its identity, achievements, history and the honourable image of its ancestors and heroes. The Libyan people should not relinquish the sacrifices of the free and best people.
I call on my supporters to continue the resistance, and fight any foreign aggressor against Libya, today, tomorrow and always.
Let the free people of the world know that we could have bargained over and sold out our cause in return for a personal secure and stable life. We received many offers to this effect but we chose to be at the vanguard of the confrontation as a badge of duty and honour.
Even if we do not win immediately, we will give a lesson to future generations that choosing to protect the nation is an honour and selling it out is the greatest betrayal that history will remember forever despite the attempts of the others to tell you otherwise."
-BBC
Ilikuwa ni amri ya wakubwa wao amerika na ulaya, hivyo wasingepinga kuua hata kama walikuwa hawataki.Waarabu wana visasi sana, mtu mshamkamata mzima kwa nini mnamuuwa?
You deserve a remembrance as a hero of your country, may one day God see this atrocity and relinguishing of African Countries and send more Katrina and tsunami to the countries harming our continent. RIP Mr. President Gaddafi