The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Acha kubwata al Islam si sawa hao muwatajao, hao wanahukumiwa kwa usoshalist wao..... Muwatajao ni vibaraka Wa ubepari ambao wewe unashangilia alf unauona mbaya kmadhara ila bila kujua kuwa ni athari za huo huo ubepari.... Fungua mawazo...
Ooooh Tanzanite haileti faida kwa nchi mara Sekta ya madini inaingiza 3% Kama gawio la faida na 97% linaenda kwa mabepariiiiiiiii
Gaddafi na al-Islam ndio walilokuwa wanapigania pia akiwemo Hugo chavez, Fidel Castro na akina Che Quevara .....
VITA DHIDI YA USOSHALIST NA HAO MABEBARI

Mawazo yale yale, mtazamo wa mambo ni uleule. We see everything bad coming to us from the whites. Any strugle from within is funded by capitalists. We speak little on the evils our leaders committ to ourselves....infact we bless and embrace the evils done by our people and rebuke any efforts by those wanting to liberate us from such evils!!!! Fake patriotism!
 
seif will never be killed nor convicted as he was part of the whole plot

watch this space
 
Maiti ya Gaddafi inaanza kuoza! - BBC

BBC (News hour) wanaripoti kwamba maiti ya Gaddafi ambayo imehifadhiwa kwenye chumba cha barafu mjini Misrata imeanza kuoza kutokana na kutokukubaliana kati ya pande tofauti kuhusu ni wapi na ni lini Gaddafi azikwe.

waipe familia yake wamzike ili baadae walibya waje wamkumbuke kwa kuzuru kaburi lake kwani kwa aliyofanya kwao itakuwa ngumu kumsahau ni kwa muda tu
 
UNALIJUA HILI?Gadafi alisema"matatizo ya Africa yatatuliwe na waafrika wenyewe"maneno haya yanamaana kubwa sana ikizingatiwa alikuwa anachangia 15% ya bajeti ya AU(AFRICA UNION-UMOJA WA AFRIKA),kilichoikuta Libya mpya ni hiki "Libya mpya inatakiwa kulipa gharama zote alizopata NATO ikijumuisha gharama za ndege zilizobutuliwa,wanajeshi wa NATO waliouwawa,gharama zote za vita,inadaiwa dola trillion tatu,hela hyo itakatwa kwa Libya mpya kukabidhi mapato yake pamoja na exchange ya mafuta.Ndiyo maana USA na nchi za magharibu haziendi kusaidia nch kama somalia kwa sababu hazina uwezo(resources) za kuwalipa(kufidia gharama).Wairaq pia wanalipa gharama ambazo USA na nch za magharibi walizipata kipindi wanamuondoa Sadam."(SOURCE:RADIO FRANCE INTERNATIONAL,KIPINDI CHA MTAZAMO WAKO,MTANGAZAJI EDWARD NDEKETELO).

Unajua gharama ambayo TZ inalipa kwa USA kuwa na embassy yao kubwa kwa East and Central Africa kuwepo TZ? Unajua gharama ambayo TZ inaingia kwa kupewa vyandarua na BUsh? Unajua gharama TZ inayolipa kwa Ujio wa Busha na kukaa na kulala TZ kwa siku 3? Unajua gharama TZ inayolipa kwa migodi ya madini kutwaliwa na Makampuni ya kigeni?

Those who do not have even a little brain only see problem of others even though theirs are at a brink of extinguishing their lives. Think globally, act locally.
 
source mkuu

Libya operations to cost £300m

Oct 12 2011

Britain's military involvement over Libya will cost the taxpayer an estimated £300 million, Defence Secretary Liam Fox has revealed.

In a Commons written statement, Dr Fox said the cost of operations - from the start of the missions in March to the middle of December - was estimated at £160 million.

The Ministry of Defence had previously put the cost of operations to the middle of September at £120 million.

In addition, the MoD faces a bill of £140 million to replace the ammunition used.

All costs will be met from Treasury reserves and will not affect the MoD's core budget.

Libya operations to cost £300m - Sunday Sun
 
suluhu iliyotafutwa kwa kuwashirikisha magharibi ndiyo itakayozaa ubepari
utawala wa Gadaffi waweza kukumbukwa kama bora kwa wa Libya siku za usoni

Mkuu heshima yako.

Naona umesoma mstari hadi mstari.

JF raha sana.

lol
 
Machungu ya utawala wa Gaddafi wa Libya wenyewe ndio wanayajua ndio maana wanasherekea anguko la dikteta kwa bashasha. Tuache huu unafiki wa kulaumu wamerekani , mara ukoloni mambo leo kwa maendeleo duni. Utawala mbovu ndio chanzo kikuu cha matatizo yetu. Mikataba mibovu tumeridhia wenyewe,miradi ya hovyo hovyo ya kifisadi mfano iptl imetekelezwa na baraka za utawala. Wataalam kiduchu ambao ndio wangekuwa chachu ya maendeleo tumewatosa mvunguni(who will accept peanuts for a salary anyway) Siasa za tumbo ndio zipo centre stage. Pathetic!
 
seif will never be killed nor convicted as he was part of the whole plot

watch this space

Really? Dogo mkorofi ile mbaya si kuna kipindi aliungana na waasi kumpinga baba yake sijui aliishia wapi.
 
hizo trillion tatu zaweza kulipwa na utajiri alioacha sadam ambao unakadiriwa kufikia dola trillion 132....kwa maelezo zaidi nunua mwananchi la leo

KIONGOZI wa Libya aliyeuawa juzi na wapiganaji wa Serikali ya Mpito (NTC), anadaiwa
kuacha utajiri wa Sh 139 trioni kiasi ambacho ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa miaka
12. Habari zilizopatikana jana zimeeleza kuwa fedha hizo ni zile zinazofahamika,
alizoweka kwenye benki za nchi kadhaa duniani, huenda alikuwa na hazina zaidi mbali
na hiyo. Kwa mujibu wa habari hizo, Gaddafi alikuwa anamiliki Pauni 29 bilioni nchini Uingereza
(Sh78 trilioni), Dola 32 bilioni nchini Marekani (Sh54 trilioni) , Dola 2.4 bilioni nchini
Canada( Sh4 trilioni) na Dola 1.7 bilioni nchini Australia (Sh3 trilioni). Kwa fedha ya
Tanzania. Pauni moja ya Uingereza ni sawa na Sh 2,720, Dola moja ya Marekani Sh
1,704, Dola moja ya Canada, Sh 1,692 na Dola ya Australia ni Sh 1,769. Fedha hiyo kwa ujumla wake ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa miaka 12. Juni
mwaka huu, Bunge lilipitisha jumla ya Sh11 trilioni kwa matumizi ya Serikali kwa
mwaka wa fedha 2011/2012 .Kiasi hicho kikizidishwa mara miaka 12 zitakuwa Sh132
trilioni, hivyo ukichukulia kiwango hicho, inamaana kuwa fedha za Gaddafi zinatosha
kuendesha Tanzania kwa miaka 12 na bado zitabaki Sh trilioni saba.
 
Dah! Kumbe jamaa alikuwa na utajiri mkubwa namna hiyo? Hilo deni wanalodaiwa na nato linalipika kabisa.
 
Re: Putin: Who gave NATO right to kill Gaddafi?

Stop acting childish Mr Putin!! What a question?

How can you ask the war ... the right to KILL? War is about killing Mr retired president ... isnt it?

Rather you should have stopped the NATO to conduct the raid on Libya and why didnt you do just that?

Yes the right question is who gave NATO right to carry out the war against Gaddaf?

Answer is because Putin is cowed, feeble and helpless !!! To come out when all is already done and put forward the pet question on air!!
 
Bora wao wameondoa dikteta kwa madeni na mafuta yao,je nyie ambao mna export 2 billion dollars of gold kwa mwaka lakini mnaishia kupata only 3%(100m$) tuwaite vipi?...vipi eti 100m$ zinapotea kwa kashfa(richmond) lakini hata prosecution hakuna then mnamchagua same guy mliyempa treasury yenu,kama sio ugonjwa wa akili ni nini?
sijakusoma mkuu, nimetoka mweupe!
 
UNALIJUA HILI?Gadafi alisema"matatizo ya Africa yatatuliwe na waafrika wenyewe"maneno haya yanamaana kubwa sana ikizingatiwa alikuwa anachangia 15% ya bajeti ya AU(AFRICA UNION-UMOJA WA AFRIKA),kilichoikuta Libya mpya ni hiki "Libya mpya inatakiwa kulipa gharama zote alizopata NATO ikijumuisha gharama za ndege zilizobutuliwa,wanajeshi wa NATO waliouwawa,gharama zote za vita,inadaiwa dola trillion tatu,hela hyo itakatwa kwa Libya mpya kukabidhi mapato yake pamoja na exchange ya mafuta.Ndiyo maana USA na nchi za magharibu haziendi kusaidia nch kama somalia kwa sababu hazina uwezo(resources) za kuwalipa(kufidia gharama).Wairaq pia wanalipa gharama ambazo USA na nch za magharibi walizipata kipindi wanamuondoa Sadam."(SOURCE:RADIO FRANCE INTERNATIONAL,KIPINDI CHA MTAZAMO WAKO,MTANGAZAJI EDWARD NDEKETELO).

huu ndio ubeberu sasa,na watakoma!
 
Hivi hatuna macho? Na kazi AU ninini kama tunaonewa kiasi hiki hakuna maana kama vitu vya maana tulivoviunda kwajiri ya kutusaidia vinaongozwa na watu wasio na maana yaani dhaifu na wavivu wa kufikili.
 
jamaa kafanya mengi mazuri now walibya wahesabu mwisho wa kuvuna umekwisha wataanza kulia na kusaga meno
 
Back
Top Bottom