The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

UNALIJUA HILI?Gadafi alisema"matatizo ya Africa yatatuliwe na waafrika wenyewe"maneno haya yanamaana kubwa sana ikizingatiwa alikuwa anachangia 15% ya bajeti ya AU(AFRICA UNION-UMOJA WA AFRIKA),kilichoikuta Libya mpya ni hiki "Libya mpya inatakiwa kulipa gharama zote alizopata NATO ikijumuisha gharama za ndege zilizobutuliwa,wanajeshi wa NATO waliouwawa,gharama zote za vita,inadaiwa dola trillion tatu,hela hyo itakatwa kwa Libya mpya kukabidhi mapato yake pamoja na exchange ya mafuta.Ndiyo maana USA na nchi za magharibu haziendi kusaidia nch kama somalia kwa sababu hazina uwezo(resources) za kuwalipa(kufidia gharama).Wairaq pia wanalipa gharama ambazo USA na nch za magharibi walizipata kipindi wanamuondoa Sadam."(SOURCE:RADIO FRANCE INTERNATIONAL,KIPINDI CHA MTAZAMO WAKO,MTANGAZAJI EDWARD NDEKETELO).
tuwekee source za maana kama international treaties au MOU na sio maongezi mie mbona sijayaskia
 
Mkuu Saint Ivuga,

Wabongo tunaopiga kelele za ajabu ajabu huko misikini Kwa Mtoro bila kuwa na taarifa kamili tujue kwamba tunakua nikituko kama si kichekesho mbele ya uso wa ulimwengu. Habari ndio hiyo!!!
Libya conflict: France air-dropped arms to rebels

_53761809_53761808.jpg
Libyan rebels in the west of the country are battling their way towards Tripoli

France has air-dropped weapons to rebels fighting Col Muammar Gaddafi's troops in Western Libya, the French military has confirmed.
Light arms and ammunition were sent to Berber tribal fighters in the Nafusa mountains in early June, it said.
Earlier, a report in Le Figaro newspaper said the arms included rocket launchers and anti-tank missiles.
France, a leading force in the Nato operation in Libya, did not inform its allies about the move, Le Figaro said.
"We began by dropping humanitarian aid: food, water and medical supplies," said Col Thierry Burkhard, spokesman for the French general staff.
"During the operation, the situation for the civilians on the ground worsened. We dropped arms and means of self-defence, mainly ammunition," he told AFP news agency.
He said the arms were "light infantry weapons of the rifle type", dropped over a period of several days "so that civilians would not be massacred".
UN resolutionsThe BBC's Christian Fraser in Paris says the statement is likely to bring further criticism from the likes of Russia and China, who believe Nato and its allies have already gone beyond the remit of UN resolution 1973, which authorised international military action in Libya.
The US has argued that resolution 1973 allows countries to provide arms to rebels despite an earlier resolution - 1970 - that imposed an arms embargo on the whole of Libya.
Resolution 1973 authorises "all necessary measures" to protect civilians, "notwithstanding" the arms embargo in resolution 1970.
France played a prominent role in pushing for military intervention in Libya, and French and British planes have led the air strikes over the country that began in late March.
Qatar, which has supported the Nato-led operation in Libya, has been supplying arms to rebels mainly through their eastern stronghold in the city of Benghazi.
France, the UK and Italy announced in April that they were sending military advisers to Benghazi.
'Light tanks'The decision to drop arms to the Libyan rebels was reportedly taken following a meeting in mid-April between French President Nicolas Sarkozy and the Chief of Staff of the Libyan rebels, Gen Abdelfatah Younis.
France is said to have been concerned at the stalemate in a conflict between the rebels and pro-Gaddafi forces that started in February.
Local media reports say 40 tonnes of weapons were sent to western Libya, including "a few light tanks" that were smuggled in across the Tunisian border.
Le Figaro also reported that it had seen a confidential defence map showing two makeshift airstrips in rebel-held towns, built to receive small aircraft from the Gulf that can move arms closer to the front.
The rebels have recently been edging forward in Libya's north-west, and are hoping to push on to Tripoli from the frontline, currently on the other side of the Nafusa mountains and about 65km (40 miles) from the capital.

source:
http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-15417911

Rebels: Gadhafi's son Saif al-Islam captured alive

They say they've also nabbed slain Libya leader's spokesman; both men uninjured

111022-saif-vsml-4p.grid-4x2.jpg

Mast Irham / EPA file

Saif al-Islam Gaddafi, son of slain Libyan leader Moammar Gadhafi.

Slain dictator Moammar Gadhafi's influential son and heir-apparent, Saif al-Islam, has been captured alive and uninjured, rebel sources told NBC News on Saturday.
Saif al-Islam and Moussa Ibrahim, the former spokesman for the Gadhafi's regime, were both captured in the Libyan city of Nessma, near Bani Walid, and were currently being transported to Misrata, rebel forces told NBC News.
The collaring of Gadhafi's fugitive son and spokesman could not be immediately verified. Rebel forces have been incorrect in the past with their reporting of the conditions and whereabouts of Gadhafi's loyalists.
Saif al-Islam Gadhafi, whose name means "Sword of Islam," was the most elusive of the late Libyan leader's eight offspring. He was wanted on war crimes charges but evaded a manhunt for months to remain the only leading family member still at large.
Rebels credited the Osoud el Wadi brigade, which translates as "Lions of the Valley," with the latest roundup of Gadhafi arrests.
Meantime, Gadhafi's body remained in Misrata, bearing wounds assumed to have been inflicted by fighters from the city who hauled him from a drain in his hometown Sirte.
Gadhafi's family and international human rights groups have urged an inquiry into how Gadhafi, 69, was killed, since gory cellphone video footage showed him alive but being beaten and taunted by his captors.

Source: Rebels: Gadhafi's son Saif al-Islam captured - World news - Mideast/N. Africa - msnbc.com
 
Acha kubwata al Islam si sawa hao muwatajao, hao wanahukumiwa kwa usoshalist wao..... Muwatajao ni vibaraka Wa ubepari ambao wewe unashangilia alf unauona mbaya kmadhara ila bila kujua kuwa ni athari za huo huo ubepari.... Fungua mawazo...
Ooooh Tanzanite haileti faida kwa nchi mara Sekta ya madini inaingiza 3% Kama gawio la faida na 97% linaenda kwa mabepariiiiiiiii
Gaddafi na al-Islam ndio walilokuwa wanapigania pia akiwemo Hugo chavez, Fidel Castro na akina Che Quevara .....
VITA DHIDI YA USOSHALIST NA HAO MABEBARI
 
Putin anakuja tena (msoshalist).. Wataweza ingia china????? Kamweeeee...
 
UNALIJUA HILI?Gadafi alisema"matatizo ya Africa yatatuliwe na waafrika wenyewe"maneno haya yanamaana kubwa sana ikizingatiwa alikuwa anachangia 15% ya bajeti ya AU(AFRICA UNION-UMOJA WA AFRIKA),kilichoikuta Libya mpya ni hiki "Libya mpya inatakiwa kulipa gharama zote alizopata NATO ikijumuisha gharama za ndege zilizobutuliwa,wanajeshi wa NATO waliouwawa,gharama zote za vita,inadaiwa dola trillion tatu,hela hyo itakatwa kwa Libya mpya kukabidhi mapato yake pamoja na exchange ya mafuta.Ndiyo maana USA na nchi za magharibu haziendi kusaidia nch kama somalia kwa sababu hazina uwezo(resources) za kuwalipa(kufidia gharama).Wairaq pia wanalipa gharama ambazo USA na nch za magharibi walizipata kipindi wanamuondoa Sadam."(SOURCE:RADIO FRANCE INTERNATIONAL,KIPINDI CHA MTAZAMO WAKO,MTANGAZAJI EDWARD NDEKETELO).

Haswaaa na ujue huwezi dài msichokubaliana kabla na unayemdai
 
Huyu bwana Hajakamatwa wale wenye akili za Kikoloni mnaoishi hapa Afrika, hamwezi hata siku moja kukosoa na kuja na suluhisho..mnalalalma tu na kuwalamba miguuu wauaji mashetani ya Ulaya yaliyofilisika sasa yanaua tu...hii ni aibu sana..mjiulize nyie mliolaniwa, mnaoshadadia mauaji ya Waafrika wenzenu je mtaishi Duniani milele?!!
 
[h=2][/h]
article-2051361-0E74ACE500000578-996_634x382.jpg

... bunduki iliomtoa roho Kanali Gaddafi ni hiyo hapo ilionyanyuliwa juu dakika chache tu mara baada ya tukio.

Mtu aliyeruhusu risasi kadhaa mwilini mwake Kanali ni huyu muasi mwarabu mweusi hapo kwenye picha ambaye pia
NI MUISLAMU SAWA NA MAREHEMU mwenyewe na wala si mtu wa Magharibi, wala ndugu zetu Wa-Kristo.

Watanzania kwa uwongo bana eti huyu ndio kamuua Gaddafi...Kweli JF imeishakuwa sehemu za porojo..

Gaddafi kauwawa na Nato tena Ufaransa..

Mtoto wa mtumwa ni mtoto wa mtumwa tu..
 
huyu bwana wangelikuwa wamemkamata clips zingekuwa nyingi mno, maana wanapenda kupiga picha na kuchukua clips kuliko chochote
 
UNALIJUA HILI?Gadafi alisema"matatizo ya Africa yatatuliwe na waafrika wenyewe"maneno haya yanamaana kubwa sana ikizingatiwa alikuwa anachangia 15% ya bajeti ya AU(AFRICA UNION-UMOJA WA AFRIKA),kilichoikuta Libya mpya ni hiki "Libya mpya inatakiwa kulipa gharama zote alizopata NATO ikijumuisha gharama za ndege zilizobutuliwa,wanajeshi wa NATO waliouwawa,gharama zote za vita,inadaiwa dola trillion tatu,hela hyo itakatwa kwa Libya mpya kukabidhi mapato yake pamoja na exchange ya mafuta.Ndiyo maana USA na nchi za magharibu haziendi kusaidia nch kama somalia kwa sababu hazina uwezo(resources) za kuwalipa(kufidia gharama).Wairaq pia wanalipa gharama ambazo USA na nch za magharibi walizipata kipindi wanamuondoa Sadam."(SOURCE:RADIO FRANCE INTERNATIONAL,KIPINDI CHA MTAZAMO WAKO,MTANGAZAJI EDWARD NDEKETELO).

HIVI UNAISIKIA TU DOLA TRILLION 3!!!! SEMA ITAKUWA SHILINGI ZA KIBONGO TRILIONI 3. MPAKA JULY 31 MAREKANI WALIKUWA WAMETUMIA DOLA MILIONI 896 NA MPAKA SASA UK ISHATUMIA £300 ( £200 MPAKA JULY)... MUULIZE VIZURI HUYO SOURCE WAKO WA HIYO HABARI ATAKUAMBIA SHILINGI TRILIONI 3 NA SI DOLA TRILIONI 3 MAN. TAFITI KABLA YA KUANDIKA.
Libya war has cost UK at least £200m | Politics | The Guardian NA PIA Libya war costs for U.S.: $896 million so far - Checkpoint Washington - The Washington Post
 
tuwekee source za maana kama international treaties au MOU na sio maongezi mie mbona sijayaskia

unafikiria masaburi nini mkuu,umewekewa radio,kpnd na jina la mtangazaji tafuta mpaka uyapate au ndyo umesoma shule za apple kila kitu mnatafuniwa?mpaka watu mashuri kama vladmir Putin wanahoji haya malipo.Acha uvivu kuwa mtafiti
 
bora wao wamewafanya kazi inayo onekana.je nyie mnailipa uingereza madini yote ya TANZANIA imewafanyia nini?wao libya wanajivunia mafuta na yamewasaidia kuwaondolea dikteta.wewe mtanzania madini na maliasili zilizomo nchini mwako zimekusaidia nini?.munajua kuangalia ya wenzenu tu.mia

Mia mbili
 
UNALIJUA HILI?Gadafi alisema"matatizo ya Africa yatatuliwe na waafrika wenyewe"maneno haya yanamaana kubwa sana ikizingatiwa alikuwa anachangia 15% ya bajeti ya AU(AFRICA UNION-UMOJA WA AFRIKA),kilichoikuta Libya mpya ni hiki "Libya mpya inatakiwa kulipa gharama zote alizopata NATO ikijumuisha gharama za ndege zilizobutuliwa,wanajeshi wa NATO waliouwawa,gharama zote za vita,inadaiwa dola trillion tatu,hela hyo itakatwa kwa Libya mpya kukabidhi mapato yake pamoja na exchange ya mafuta.Ndiyo maana USA na nchi za magharibu haziendi kusaidia nch kama somalia kwa sababu hazina uwezo(resources) za kuwalipa(kufidia gharama).Wairaq pia wanalipa gharama ambazo USA na nch za magharibi walizipata kipindi wanamuondoa Sadam."(SOURCE:RADIO FRANCE INTERNATIONAL,KIPINDI CHA MTAZAMO WAKO,MTANGAZAJI EDWARD NDEKETELO).

mh!itakuwa trillion 3 syo dola tr. 3 au vp mkuu?
 
Back
Top Bottom