IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
bado tz mtalipa kupitia madini na gesi nyie wachekeeni tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuwekee source za maana kama international treaties au MOU na sio maongezi mie mbona sijayaskiaUNALIJUA HILI?Gadafi alisema"matatizo ya Africa yatatuliwe na waafrika wenyewe"maneno haya yanamaana kubwa sana ikizingatiwa alikuwa anachangia 15% ya bajeti ya AU(AFRICA UNION-UMOJA WA AFRIKA),kilichoikuta Libya mpya ni hiki "Libya mpya inatakiwa kulipa gharama zote alizopata NATO ikijumuisha gharama za ndege zilizobutuliwa,wanajeshi wa NATO waliouwawa,gharama zote za vita,inadaiwa dola trillion tatu,hela hyo itakatwa kwa Libya mpya kukabidhi mapato yake pamoja na exchange ya mafuta.Ndiyo maana USA na nchi za magharibu haziendi kusaidia nch kama somalia kwa sababu hazina uwezo(resources) za kuwalipa(kufidia gharama).Wairaq pia wanalipa gharama ambazo USA na nch za magharibi walizipata kipindi wanamuondoa Sadam."(SOURCE:RADIO FRANCE INTERNATIONAL,KIPINDI CHA MTAZAMO WAKO,MTANGAZAJI EDWARD NDEKETELO).
Libya conflict: France air-dropped arms to rebelsMkuu Saint Ivuga,
Wabongo tunaopiga kelele za ajabu ajabu huko misikini Kwa Mtoro bila kuwa na taarifa kamili tujue kwamba tunakua nikituko kama si kichekesho mbele ya uso wa ulimwengu. Habari ndio hiyo!!!
UNALIJUA HILI?Gadafi alisema"matatizo ya Africa yatatuliwe na waafrika wenyewe"maneno haya yanamaana kubwa sana ikizingatiwa alikuwa anachangia 15% ya bajeti ya AU(AFRICA UNION-UMOJA WA AFRIKA),kilichoikuta Libya mpya ni hiki "Libya mpya inatakiwa kulipa gharama zote alizopata NATO ikijumuisha gharama za ndege zilizobutuliwa,wanajeshi wa NATO waliouwawa,gharama zote za vita,inadaiwa dola trillion tatu,hela hyo itakatwa kwa Libya mpya kukabidhi mapato yake pamoja na exchange ya mafuta.Ndiyo maana USA na nchi za magharibu haziendi kusaidia nch kama somalia kwa sababu hazina uwezo(resources) za kuwalipa(kufidia gharama).Wairaq pia wanalipa gharama ambazo USA na nch za magharibi walizipata kipindi wanamuondoa Sadam."(SOURCE:RADIO FRANCE INTERNATIONAL,KIPINDI CHA MTAZAMO WAKO,MTANGAZAJI EDWARD NDEKETELO).
kwahyo mkuu unamatatizo ya akili?maana Tanzania ni yako,ya yule,mimi
[h=2][/h]![]()
... bunduki iliomtoa roho Kanali Gaddafi ni hiyo hapo ilionyanyuliwa juu dakika chache tu mara baada ya tukio.
Mtu aliyeruhusu risasi kadhaa mwilini mwake Kanali ni huyu muasi mwarabu mweusi hapo kwenye picha ambaye pia NI MUISLAMU SAWA NA MAREHEMU mwenyewe na wala si mtu wa Magharibi, wala ndugu zetu Wa-Kristo.
bado tz mtalipa kupitia madini na gesi nyie wachekeeni tu
UNALIJUA HILI?Gadafi alisema"matatizo ya Africa yatatuliwe na waafrika wenyewe"maneno haya yanamaana kubwa sana ikizingatiwa alikuwa anachangia 15% ya bajeti ya AU(AFRICA UNION-UMOJA WA AFRIKA),kilichoikuta Libya mpya ni hiki "Libya mpya inatakiwa kulipa gharama zote alizopata NATO ikijumuisha gharama za ndege zilizobutuliwa,wanajeshi wa NATO waliouwawa,gharama zote za vita,inadaiwa dola trillion tatu,hela hyo itakatwa kwa Libya mpya kukabidhi mapato yake pamoja na exchange ya mafuta.Ndiyo maana USA na nchi za magharibu haziendi kusaidia nch kama somalia kwa sababu hazina uwezo(resources) za kuwalipa(kufidia gharama).Wairaq pia wanalipa gharama ambazo USA na nch za magharibi walizipata kipindi wanamuondoa Sadam."(SOURCE:RADIO FRANCE INTERNATIONAL,KIPINDI CHA MTAZAMO WAKO,MTANGAZAJI EDWARD NDEKETELO).
tuwekee source za maana kama international treaties au MOU na sio maongezi mie mbona sijayaskia
bora wao wamewafanya kazi inayo onekana.je nyie mnailipa uingereza madini yote ya TANZANIA imewafanyia nini?wao libya wanajivunia mafuta na yamewasaidia kuwaondolea dikteta.wewe mtanzania madini na maliasili zilizomo nchini mwako zimekusaidia nini?.munajua kuangalia ya wenzenu tu.mia