Gaddafi kasema ni uongo,hajataka kufanya makubaliano yoyote....However Gaddafi ana mapenzi flani na Afrika,Mandela alienda kumshukuru enzi zile Libya iko under no fly zone,hata hivyo Madiba akaamua kwenda kwa njia ya barabara,hakujali vikwazo alivyokuwa amewekewa Gaddafi.
Kwa maana hiyo,Gaddafi anaweza kupata sapoti ya baadhi ya nchi za kiafrika,na hivyo kufanya umwagaji damu uongezeke na mgogoro kuwa prolonged.
Kwa upande mwingine,mchina naye ananusanusa,yeye na mrusi,hawataki Libya iwekewe a "No fly zone" kama rebels wanavyotaka,Marekani wao wanasapoti no fly zone,Mchina anahitaji mafuta kuliko mtu yeyote yule,maybe sawa ama kumzidi mmarekani hivi sasa,hivyo basi wananchi wa Libya wajue kuwa wanapata sapoti kwasababu ya mafuta yao na si kwasababu kuna watu wanaopenda utu ama haki za binadamu vitawale huko Libya.