Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilijua mtakuja na hoja hii eti"hana executive power'....lakn ndio tulivyo na tulivyokaririshwa shuleni mkuuHakuna ulingano wa kiungozi kati ya libya na uk. yule ni ceremonial figure hana nguvu ktka maamuzi ya kiserikali England wana uchaguzi wa pm kama israel, india, germany walivyo na Rais asiye na maamuzi ya kiserikali
ntc katika mambo ya mwanzo waliyofanya,ni kuadopt sharia law!
sharia law ni kitu gani ??? Mbona mnaburuzwa hivi???? Hakuna kitu sharia law katika dini ya kiislamu
nilijua mtakuja na hoja hii eti"hana executive power'....lakn ndio tulivyo na tulivyokaririshwa shuleni mkuu
Kwani Gadafi alikuwa mfalme au,kama angekuwa mfalme asingeng'olewa ,sidhani sababu ya kukaa muda mrefu ndio imemuondoa Gadafi,huko Swaziland yupo mfalme Mswati hatujui atakaa muda gani nadhani mpaka afe na hutaona madege ya NATO yakienda kumpiga mfalme Mswati kwa kuwa eti kakaa muda mrefuMoja ya sababu waliyoitoa NATO kuhalalisha nia yao ya kusaidia kumng'oa na mwishowe kumuua Gadaffi ni kuwa jamaa amekaa madarakani muda mrefu. Kwa wengi hii linaonekana kama ni sababu muhimu, ingawa kuna sababu nyingine zaidi hasa za kiuchumi zilizowafanya hawa wazungu wamng'oe jamaa kutoka madarakani. Kuna jambo nimeona wanajf tujuzane kuhusu muda aliokaa gadaffi kama moja ya sababu ya hii mijitu kuingilia uhuru wa ndani wa nchi zinazoendelea. Kama niko sahihi, ni kwamba Malkia wa Uingereza kimsingi ni Mtawala kwa Waingereza. mambo mengi ya kisiasa kwa Waingereza kwa namna moja au nyingine ni lazima Malkia ahusishwe ktk kufikia maamuzi. kumbukumbu zinaonyesha kwamba haka kabibi kamekuwepo madarakani (umalkia) tangu mwaka 1957-i stand to be corrected-hadi sasa. Hapa najiuliza iweje Uingereza kujidai kwenda Libya kwa kisingizio cha kumuondoa mtawala aliyekaa madarakani kwa muda mrefu ili hali na wao mtawala wao amekaa madarakani kwa muda mrefu zaidi ya Gadaffi? Pamoja na ukweli kwamba Gadaffi alitawala kwa muda mrefu na hakuwa na dalili ya kuachia madaraka, nadhani Waingereza hawakupaswa kutumia kigezo cha kuwepo madarakani kuwa ni moja ya sababu za kumuondoa madarakani. Walipaswa na wao wajichunguze kwanza ndipo waje na sabau hiyo. Ni mtazamo wangu tu!
Hakuna ulingano wa kiungozi kati ya libya na uk. yule ni ceremonial figure hana nguvu ktka maamuzi ya kiserikali England wana uchaguzi wa pm kama israel, india, germany walivyo na Rais asiye na maamuzi ya kiserikali
Inawezekana unachosema ni ukweli ila kuna vitu nadhani mnamiss hakuna PM anayepitishwa Uk kama hana mahusiano mazuri na malkia kwa maana hiyo basi uamuzi wowote ambao utakuwa tata kwenye bunge au kwa PM mwenyewe yeye hutoa maamuzi kwa mlango wa nyuma kama alivyokuwa anafanya mwalimu Nyerere hapa kwetu lakini tulikuwa hatutaki kuelewa. Na kwa taarifa yako nchi kama Israel aliyetoa idhini ya kupigwa risasi Yitzak Rabin ni Rais wao kwa maana hapakuwa na masilahi ya wayahudi kwenye mikataba aliyofanya Rabin. Na swali rahisi ni hivi kwa jinsi Mossad walivyo smart yule kijana alimfikiaje Rabin na kumlipua kwa bastola ya kawaida kabisa huoni kama alikuwa
security pass kama yao.