The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Semeni yooote lakini LIBYA WAS THE ONLY COUNTRY isiyokuwa na madeni mpaka Gaddafi anavyong'olewa. Hakuna nchi nyingine diniani!!!!
 
Gadaffi ndiye kiongozi pekee wa UARABUNI niliyekuwa nikimkubali kwani kaiendeleza Libya kuliko wenzake wa UARABUNI ila kwa hili la kuuwa mamia kwa siku mbili huyu jamaa ni mkatili na yuko tayari awaangamize walibya wote,huyu sio binadamu ni zimwi fulani hivi

I see!
 
so sad aisee kipindi cha Gadaff almost every thing was free but look at the situation now ni vifo kila siku Huduma za afya mbovu maisha yamkuwa magumu dah aisee Gadaff was really great leader....
 
so sad aisee kipindi cha Gadaff almost every thing was free but look at the situation now ni vifo kila siku Huduma za afya mbovu maisha yamkuwa magumu dah aisee Gadaff was really great leader....
Hakuna umasikini mbaya kama wa busara ya maamuzi...Wenzetu wametuaminisha wao ndiyo wenye akili ya kufanya yote mema na sisi yakwetu ni mabaya bila kuangalia tamaduni na mazingira yetu kuwa yanatuhusu na sisi tunajua zaidi ya wao
 
Kwa wote waliochangia, vp hali huko Libya ilivyo sasa..?
Upi ni wakati ,uliopita chini yq gaddafi au sasa..!??
 
so sad aisee kipindi cha Gadaff almost every thing was free but look at the situation now ni vifo kila siku Huduma za afya mbovu maisha yamkuwa magumu dah aisee Gadaff was really great leader....
Hapa ndiyo ninakuwa na Imani kuwa wazungu walimuondoa kwa sababu ya maslai yao na si kwamba alikuwa kiongozi mbaya.

Na haya maisha ya sasa ya Libya waliyajua ndiyo maana hata kaburi lake walificha kwa kuogopa kuanza harakati katika kaburi hilo.

Walibya wanajuta sana kwa sasa ili ndiyo waswahili wanasema "Mtoto akililia wembe, ...."
 
Sakozy alishiriki kumuua Gadafi ili tu akwepe deni la mil.40.dola alizokopeshwa.unajiuliza Mtu kama Sakozy bado yuko huru anadunda ICC haijawahi kumkamata.

Maelfu ya Watu.wamekufa Libya kila uchao nchi ile imeparaganyika vibaya sana ni Somalia nyingine.waliofanya hayo wapo wabakula bata akina Obama walishiriki wako tu mtaani.

Ni upuuzi mkubwa
 
Mahakama ile wabadirishe waseme ni mahakama ya viongozi wa Afrika siyo kutuambia ya kimataifa huku viongozi wa mataifa mengine hata kutamka jina tu ni shida
 
Kwa namna yeyote ile na kwa hali yoyote Gaddafi alikiwa kiongozi dikteta aliyechochea kile kinachoendelea leo hii kule Libya.

Kumimya kwake demokrasia, kupendelea watu wa kabila lake na kuwatesa pamoja na kuwaua wakosoaji wake ndiko kilikopandikiza mizizi ya kulisambaratisha taifa.

Ukweli ni kuwa Gaddafi hayupo tena duniani na ameenda kwa mwenye kuhukumu kwa haki, hivyo kama hakutenda mabaya basi atalipwa amali njema na kama alitenda maovu atalipwa kwa maovu yake.

Hakuna faida yoyote atakayoipata Gaddafi leo hii kupitia utetezi wetu kwani sisi tunaoamina katika dini tunaamini mtu akifa kafa na ataondoka tu na amali njema alizochuma wakati wa uhai wake, na hakuna jingine. Alitawala watu wake kwa mkono wa chuma aliua watu pamoja na kutenda mazuri....
only God renders impartial justices.
 
Back
Top Bottom