Kwa namna yeyote ile na kwa hali yoyote Gaddafi alikiwa kiongozi dikteta aliyechochea kile kinachoendelea leo hii kule Libya.
Kumimya kwake demokrasia, kupendelea watu wa kabila lake na kuwatesa pamoja na kuwaua wakosoaji wake ndiko kilikopandikiza mizizi ya kulisambaratisha taifa.
Ukweli ni kuwa Gaddafi hayupo tena duniani na ameenda kwa mwenye kuhukumu kwa haki, hivyo kama hakutenda mabaya basi atalipwa amali njema na kama alitenda maovu atalipwa kwa maovu yake.
Hakuna faida yoyote atakayoipata Gaddafi leo hii kupitia utetezi wetu kwani sisi tunaoamina katika dini tunaamini mtu akifa kafa na ataondoka tu na amali njema alizochuma wakati wa uhai wake, na hakuna jingine. Alitawala watu wake kwa mkono wa chuma aliua watu pamoja na kutenda mazuri....
only God renders impartial justices.