The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

ICC ilianzishwa kwa lengo la kuwahukumu viongozi wa Africa & Uarabuni mkuu.
 
Ni kweli mkuu. Jamaa Libya ilimshinda..Naona wenye Libya yao wanaimudu vizuri .. Iko vizuri leo, kuliko jana..

Pumzika kwa Amani Gaddafi.
Mengine atahukumu Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda...Umeongea na kuamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi umenifundisha mengi sana juu ya tabia za watanzania. Tupo tayari kukaa upande wowote ule ili mradi unufaishe tunachotaka.

Mwisho tunaona watu wanavyoanza kuwalaani NATO na washirika wake juu ya Qaddafi, lakini hao hao watu hawakulaani wakati magharibi ikichochea haya. Pengine tukaenda mbali kumlaani Mugabe kwa kutoa mawazo yake.

Sad, very Sad indeed.
 
Watu wanaangalia majina tu, tangu lini Kina Idd wakawa wakosaji dhidi ya kina Jukius ?

Hata Gadaff wakati analeta majeshi yake kuwaua wadanganyika hakukosea, mbna ni mtu wetu hatumi wala hatusikii
 

..mimi sijawahi kumuunga mkono Gaddafi tangu ashirikiane na Iddi Amini ktk vita vya Kagera.

..na ilikuwa almanusra tushindwe vita vile kutokana na Gaddafi kuingilia akitumia silaha kali ambazo vijana wetu walikuwa na wakati mgumu kuzimudu.

..ilibidi wapiganishaji vita wa Jwtz wabadilishe makamanda waliokuwa mstari wa mbele, pamoja na mbinu za kimapigano, ili kuokoa jahazi maana Walibya na Waganda walianza kutuelemea ktk uwanja wa vita.
 
Semeni yooote lakini LIBYA WAS THE ONLY COUNTRY isiyokuwa na madeni mpaka Gaddafi anavyong'olewa. Hakuna nchi nyingine diniani!!!!
Was very intelligent person Kwanza alikuwa na idea ya kuunganisha bara la Afrika iwe na rais mmoja na bank ya Afrika
 
Ndio maana Hitler alisema Mwili wake uchomwe moto na uteketezwe wote kwa sababu aliogopa fedheha na hukumu ya Wananchi,wananchi wana hukumu mbaya sana Gaddafi alichomwa Singe makalioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…