The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Ili kuwajuwa waasi wa kweli Ghadhafi hakukurupuka katika vita.Aliwatomesha wanamgambo wenye magobore mpaka maeneo ya Brega.Waliojitokeza kufukuzana nao majangwani na pick up zao zenye mizinga wakatengwa na wananchi wa kawaida.Vyombo vya habari na hata maraisi wa Ulaya wakawa wajinga wakashangiria sana."Ghadafi loyalysts repelled".
Wote walipokaribia Sirte na wakajidai kuiteka Ras Lanuf tayari kuelekea Tripoli.Jeshi la Ghadhafi likawaangushia kila aina ya silaha,wamekufa wengi.Halafu eti nchi za Magharibi ziko wapi mbona hazijatusaidia!.Wajinga nyinyi!.Ghadhafi uwa wote hao.Halafu mfuate Amr Musa mfunge kamba na wapuuzi wenzake wa umoja wa nchi za kiarabu,za ghuba..........Marekani na Ulaya ya kwao yanawashinda hawana muda wa kusaidia vijana wala unga.Harakisha kuwafukuza kutoka Benghazi halafu tuwazomee UN.
 
At least, he Loves Africa!. that he is willing to Unite Africa. Ready to Share his oil riches with the rest Africa in the spirit of cooperation!. this guy needs our support!

The guy anaipenda africa, ukitazama mavazi yake kuna alama ya African flag. Huyu jamaa ni truly african.
 

pole Mkuu mimi na kizazi changu na familia mungu katupa uwezo wa kila kitu, labda upande wako
 
ni kweli maandamano ya Libya yamekuwa tofauti na Tunisia na Misri ingawa yalianza kwa staili ilie ile. Kubadilika kwake ni baada ya wanajeshi wengi kuanza kuwaunga mkono na wao kuanza kutumia silaha baada ya Gaddafi kuanza kuwashambulia. Ukweli ukiangalia TV za Aljazeera na Press ya Iran utajua kuwa Gaddafi anaua raia wake tena vibaya sana sasa waleo wanaopinga hilo nafikiri wamekuwa "watumwa" wa Gaddafi kupita kiasi hata kukataa ukweli.

Mwisho tukumbuke watu hawaishi kwa mkate tu ndiyo maana katika maajabu watu wa Saudi Arabia nao wanaandamana pamoja na hali bora na jinsi serikali ya Kifalme inavyowajali kwa haliya juu
 
ameshinda mapigano na si vita. vita iliyopo pale ni kwamba he has stayed too long and he must go!
 
Hawajashindwa jamaa we ngoja uone... Kuna kundi kubwa liko katika mazoezi ya kivita. Kumbuka hawa hawakuwa na mafunzo ya kijeshi kabisa. Ngoja kidogo.... Jamaa wamerudi nyuma lakini..subiri kidogo.
 
The Hypocrisy and Double standards of the Western powers in Libya is Laughable if not pathetic

Published by serowa on March 4, 2011 in Middle East


Tags: Africa, Baharain, Egypt, Libya, Middle East, Muammar al-Gaddafi, United Nations Human Rights council, Western powers
Article Tools

When the uprising started in North Africa and spread to other parts of the Middle East one saw it as a people’s movement. The uprising and the determination of the people caught the regimes and their Western allies by surprise.




It will be observed that all the regimes that are falling apart are ones that were aligned to Western powers. They were autocratic and suppressed their people’s freedoms while the Western powers watched and enjoyed the benefits of such oppression.
Libya has followed a different path because Gaddafi has refused to surrender and has promised to fight to the end. The Western powers want him out because it gives them an opening for their occupation considering that they are fast losing control of the region due to the uprisings.
One cannot however not forget that Gaddafi is the only North African leader who for a long time aligned with Sub -Sahara African nations. In the early years Gaddafi funded the African National congress in South Africa at a time that the Western powers considered Nelson Mandela a Terrorist.
Read more in Middle East
« Gaddafi’s Needs Another Ukrainian Nurse Asap!
Arab Dilemma »


Gaddafi has also been vocal about the formation of a united States of Africa and has been the chairman of the African Union. Perhaps this is why Hilary Clinton on the 28th of February 2011 at the United Nations Human Rights council was quick to suggest that Gaddafi was using African mercenaries to kill his people.
There has been no evidence of such accusations, to this writers knowledge, instead what has happened is to put working African immigrant in harms way. Many have been Killed by Libyans on the guise that they were mercenaries based on Clinton’s allegations and on the color of their skin.
For a long time Gaddafi had negative relationship with Western powers and was a revolutionary at heart. In the 90’s and 20’s his leadership changed as he got involved in too many causes, some good and some not so good. He eventualy succumbed to Western powers demands and like the other falling regimes, has enjoyed amicable relationship with them.

However since the uprising in Libya started, the Western powers have adopted their normal game of acting as the good guys helping the people dismantle a dictator. As the Libyans gets divided between those fighting against Gaddafi and those supporting him we are again witnessing the hypocrisy or is it opportunism of Western powers.
Seumas Milne writing for the Guardian Newspaper so aptly says “The same western leaders who happily armed and did business with the Gaddafi regime until a fortnight ago have now slapped sanctions on the discarded autocrat and blithely referred him to the international criminal court the United States won’t recognize”.
One is also alarmed at the double standards used by Western powers concerning different regimes that are facing the same problems. For example in Egypt over three hundred demonstrators were killed by the security forces but all we had from Washington was for a call for both sides to exercise restraint. In Bahrain the regime has been “shooting and gassing protesters” with equipments supplied by the British and yet there is no intervention? One cannot also forget that Bahrain is the base for US fifth fleet.


In Libya we were fed on a lot of propaganda of how Gaddafi was killing people and bombing them until Christiane Anampour landed there to interview Gaddafi. The interview was programmed live from Libya in ABC channel. This writer’s interest in the interview was whether there was evidence of such mass killing. Alas, even Christiane who perhaps had gone with the hope of exposing such atrocities could not.

While alluding to the suffering that people are going through due to the fighting, she categorical stated that there was no evidence of any such bombing. She said that she had only seen ten shot victims in the Hospital. Another factor that is different in Libya is that it is not just demonstrators opposing an autocratic leader but there is an armed opposition fighting Gaddafi and some of the deaths have been caused by them.
The question then is why are the Western powers acting so differently with Libya than with other countries? In asking this question one takes cognizant that Libya has the largest oil reserves in Africa. Could this be the motivation? According to Seumas Milne, “western intelligence has had its fingers in parts of the Libyan opposition for years”.

One also wonders where this opposition is getting its ammunition from. The British prime minister, David Cameron had suggested arming the opposition but then recanted later. Could it in fact be that the opposition is being funded by Western powers? If this is true what does this mean for other nations in Africa?




Read more: The Hypocrisy and Double standards of the Western powers in Libya is Laughable if not pathetic | Newsflavor
 
Anaua waandamanaji au waasi? Mimi sijaona kuwa anatarget wananchi.
Atashinda for sure, maana Wamarekani no way wanaingia kwenye vita nyengine.

Hawa waasi wajinga sana yaani waliona watumie fursa hii ili kumuondoa kingozi bora madarakani??
who is better than Gadaffi in Africa?
 
Kubwa ninaloweza kuongea hapa ni kuwa hili linalotokea Lbya ni funzo kubwa kwa nchi nyengine za Afrika, ikiwemo Tanzania. Watanzania ambao haturidhiki na utawala wa CCM tusome kutoka Libya katika kuandaa mbinu za kupambana na serikali, vyenginevyo hata mimi na wewe tukipaza sauti kudai haki zetu, tutachukuliwa kama waasi na serikali itadai kuwa inapambana na waasi na sio waandamanaji.

Katika maandamano yanaanza kuwa ya amani, humo humo kwa shida, nia mbaya au kwa kutumwa, hujipenyeza watu wenye silaha, za moto au za kijadi (iwe kutoka vyombo vya kiintelijensia au vibaka, waporaji mali nk), na serikali italitumia hili katika kukandamiza na kuuwa waandamanaji. Kwa ufupi, ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji.
 
Gadafi alishawai kuripuliwa ndege yeye akiwemo ndani na akapona, kwa hiyo hawazi kuachia madaraka kiraini kama akina mubarak. Saizi libya hakuna maandamano ila kuna mapigano ya rebel na pro gadafi sikwado.
 

Selwa, nadhani wewe ndiye hujui unachosema au hufuatilii karibu kinachotokea au unasoma tu vichwa vya habari.
Ukiwa msomaji makini na mwenye kusikiliza habari vizuri utagundua ya kwamba wengi wanaokimbia nje ya Libya ni raia wa nchi za kigeni waliokuwa wanafanya kazi Libya. Libya imewaajiri wafanyakazi wa kigeni zaidi ya milioni moja na nusu na wengi wao wakiwa Wamisri, Wazungu na Waafrika. Hawa ndiyo wanakimbia kwa nguvu zote.
Tofauti na Tunisia na Misri Gaddafi anapingwa na waasi. Kwanini wanaitwa waasi? Ni kwa sababu hawa wanaopambana Libya wanasilaha nzito sana, wana anti aircraft misiles, machine guns, magrunet, mabomu makubwa nakadhalika, kuna sehemu wana magari ya draya pia. Kwa mantiki hii ni waasi na siyo waandamanaji. Misri na Tunisia hawakuwa na silaha.

Haya yanaitwa maasi na siyo maandamano na ni si ya wa Libya wote maana Walibya hawapo barabarani wakiandamana. Sijaona picha yoyote inayoonyesha Walibya wakiwa barabarani na bendera zao au vitambaa vyeupe au hata majani. Tunawaona waasi wenye silaha nzito waliofunga nyuso zao.

Wamarekani walitaka kupeleka Jeshi lakini Robert Gates alishauri isiwe hivyo lakini Hillary Clinton alishawaambia waasi semeni msaada mnaotaka tuwape. Lakini pia baadaye walisita baada ya Gaddafi kusema kuwa kama wanataka kusababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe Libya basi wafanye hivyo. Aliwaambia pia yeye anaweza kujiunga na Alqaida na akifanya hivyo Marekani na Mashoga zake wasije wakalaumu maana watapata hasara ambayo hawajawahi kuifikiria.

Vita hivi vinaendeshwa na Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya na nyingi kwa sababu ya mafuta. Na ndiyo maana nchi kama Ujerumani ambayo haina Kampuni kubwa ya mafuta imerudi nyuma kidogo hasa katika suala la kuishambulia Libya. Nimeshawahi kusema angalia makampuni kama: Exxon Mobil, Chevron, Conocophilips,n.k za Marekani, BP ya Uingereza, Shell ya Wadachi, Total ya Wafaransa, Agip ya Waitaliano nk. Hii mijitu inatengeneza hela nyingi sana kwa bai ya mafuta kupanda. Kwa sasa bei ya mafuta imekuwa ikipanda kuanzia robo ya mwisho ya mwaka 2010 mpaka sasa na athari yake tunayaiona sana sisi wa nchi maskini. Wale mabepari wao wanapata fedha nyingi hivyo vipato vyao vinaongezeka na hii inawaletea neema wakat sisi inatuletea janga.

Wanauza pia silaha na mara baada ya Marekani kutoka Iraq ameanza kutafuta soko lingine la silaha na ndiyo maana ameanzisha chokochoko arabuni maana waarabu wana fedha ya kuwalipa kununua silaha na wao kuendelea kuneemeka.

Wewe fikiria nchi kama Marekani mpaka leo inamtafuta Osama wakati wanajua alikuwa kwenye mapango na wangeweza kutumia bomu la hydrogen kummalizia huko huko kwenye mapanga yeye na kundi lake. Bomu la hydrogen halibomoi majengo wala haliuwui miti bali ni kitu chochote kinachotumia oksijeni katika eneo fulani. Wangeweza kutumia hii na siku nyingi game ingekuwa over. Lakini hii ni biashara, kumbuka risasi moja kwa kutengeneza gharama haifikii hata US$1. Lakini Mwanajeshi mmoja anathamani ya risasi moja akiwa vitani lakini kila Mwanajeshi wa Kimarekani anabima ya takriban US$50million na kifaru kimoja kina bima ya mamilioni ya dola. Hivyo kila mwanajeshi akiuawa lazima bima ilipe serikali na kila kifaru kikiharibiwa lazima serikali ilipwe na bima.

Conventionally utaona kuwa maslahi ya kifedha ni makubwa zaidi kwa hao watu katika vita kuliko kuokoa. Ndiyo maana philosophia ya Wamarekani ni " America do not have permanent friend or enemy but it has permanent American interests".

Wakati mwingine lazima tusikitike kuwa yule tunayemwona ni bora ndiyo mbaya zaidi. Najua Gaddafi atatoka tu lakini kwa kipindi hiki namwombea ashinde vita halafu ajipange kuachia madaraka na kutengeneza taifa la kidemokrasia ijapokuwa waarabu sijui kama demokrasia kwao inafanya kazi au la. Anyway, wengi ni brain washed has wanapokwenda kusoma vyuo vya wazungu!!!
 
Ninawasikitikia wale wooooote waliotoa comment zao hapa kwa kumsaport Moammar Gaddaf!. Ukweli ni kwamba
munabishana na uhalisia wa alama za nyakati. Hivi nchi zote hizo ikiwemo' South Africa' ambazo zimezuia utajiri
wa huyu Hitler wa Africa munawaona wajinga? Wale mabarozi wake woooote waliyojiuzuru mnawaona wajinga?
Wale wanajeshi wake aliyowatuma wakateketeze kwa marocket na makombora raia wanaoandamana kwenye mji
wa Beghazi na badala yake wakagoma na kujichanganya na wananchi, nao mnawaona wajinga? Wale wafungwa
wa kisiasa 120 ambao aliwatoa jela usiku wa manane na kwenda kuwaua kwa kupigwa risasi,leo hii munawana wa
jinga? Hivi mnaujua udictator wa huyu jamaa au munausikia tu? we umeona wapi Rais anakaa miaka 42 madarakani
bila katiba? we umeona wapi nchi ambayo haina uchaguzi hata wa danganya toto ndani ya miaka 42 ya utawala wake?
kama hujui nenda Libya ukajionee!. Alafu hata kama kawafanyia mazuri walibya'hiyo ndiyo iwe sababu ya yeye kutaka
kutawala maisha? kuna nchi ngapi hapa duniani zimeendelea ikiwemo Marekani kushinda Libya lakini bado wanafanya
uchaguzi kila baada ya miaka 4 au 5,kwanini na wao wasiseme hakuna haja ya uchaguzi kwavile kilakitu kinaenda sawa?
Hivi hapo Libya hakuna mtu au watu wenye uwezo wa kutawala zaidi ya Gaddaf? Hii haiingii akilini hata kidogo wakuu!.
Wana JF tusiwe wavivu wa kufikiri'na kubaki na ushabiki tu! Gaddaf hafai na amepoteza mvuto ndani ya nchi yake na nje
ya nchi yake. Binafsi naamini -Sauti ya wengi ni sauti ya mungu! Gaddaf must go now.......
 
Kwenye rangi nyekundu:Kulikuwa na haja gani ya kutumia maneno hayo kuchangia hoja hii mpaka kuwaita wenzako kwa maneno makali na yakuudhi kiasi hiki?
Kama ni michango au mawazo yao hayaendani nawe basi ungewapinga kwa hoja zao na si kuwaona ni watu wa namna ambayo umewaelezea.
Kwa muungwana yeyote watakiwa kuwaomba samahani kwa maneno uliyoyasema juu yao,ila kama utaona inafaa kuendelea nayo basi nakutakia kila lenye heri humu JF na hata uraiani.
 
Hebu angalia hayo yoooote uliyoyaandika. Je hapo kosa ni la nani? Hao wageni wanaochukua hayo mafuta wamemshikia bunduki
Gaddaf? Hao wanaomuuzia silaa wamemshikia visu na bunduki? Hapo ndipo ujue viongozi wetu wa Africa ni mjuha sana kupita maele
zo. Ndiyo sababu wananchi wa Libya hawamtaki tene huyu dictator unayemtetea na wanamwambia step down. Kwa hii hoja yako
ujamtetea Gaddaf,ila umezidi kumvua chupi Gaddaf. Jibu ni kwamba kosa ni la Gaddaf na si hao wageni uliowashambulia hapo.
 

Kaka nenda kwenye history kidogo...angalia mfumo wa utawala wa hizi Maghreb Countries, ndivyo ulivyo na ulivyokuwa. Mimi sikubaliani na system yao ya either familia, au ufalme, au baraza la kidini, nk. Lakini kwa bahati mbaya hiyo ndiyo ilikuwa system yao na hatuwezi kuwahukumu viongozi wao kwa system hiyo!
Cha muhimu ni kwamba sasa waandae forum ya wananchi kuzungumza kuwa wanataka uongozi wa namna gani katika nchi yao. Wabadilishwa katiba zao na waende mbele.

Mimi ninachopingana nacho ni kuwaita watu wenye silaha ni waandamanaji badala ya waasi!!! Mimi siwezi kushabikia waasi hata siku moja!!! Sishabikii pia vikundi vinavyofanya fujo kwa msukumo wa majanigili ya dunia ya Ulaya na Marekani!!!

Libya ni nchi mojawapo katika dunia hii ambayo licha ya kuwa ilitengwa na dunia iliweza kujiimarisha na kuimarisha mapato yake ya ndani na kuyainua maisha ya Libya kielimu na kiafya!!! Hii inawakera sana hawa majangili ambao wengine wanawaona ni Miungu yao!!! Afrika haiwezi kuwa na Demokrasia ya Marekani au ya Ulaya. Na Nchi nyingi zimerudi nyuma kimaendeleo kwa sababu ya kuiga demokrasia ambayo hatujaifikia..... Muiga tembo......hupasuka msamba, na hii imejidhirisha katika dola nyingi za Afrika.
Wengi tunailaumu Rwanda na Kagame lakini ukweli wa mambo ni kwamba Rwanda na Kagame wanafahamu wanajua demokrasia wanayohitaji kama nchi.
 

Mimi simteti Gaddafi as a person, ninachosema ni kwamba kwa inavyoonekana ni kwamba kuan uasi na siyo maandamano. Na ndiyo maana Gaddafi ananguvu ya kupiga maana anapiga waasi si waandamanaji. Huu ni ukweli ambao uko wazi kuwa Libya haionyeshi kuwa watu wengi hawamtaki Gaddafi bali inaonekana kuwa kuna genge la waasi linaloungwa mkono na wazungu na wamarekani linaloleta ghasia huko Libya. Tunashukuru kwa vyombo vya habari huru ambazo zinaonyesha kuwa huo ni uasi na siyo maandamano!!!
 
Gadafi anawaua magaidi. uliona wapi wananchi wanafanya maandamano huku wamebeba silaha,mbona Misri au Tunisia haikuwa hvyo?hao ni waasi waliokuwa wanataka kutumia vibaya nguvu ya umma.na alishawaonya kabla wacha awamalize wasijaribu siku nyingine,hata ningekuwa mimi nigefanya kama Gadafi.wanachi wake wanampenda ndiyo maana hata wengine walidiriki kufanya maandamano kuwapinga wale wasiomtaka yote ni nguvu ya umma.:lol:
 
At least, he Loves Africa!. that he is willing to Unite Africa. Ready to Share his oil riches with the rest Africa in the spirit of cooperation!. this guy needs our support!
angependa africa unite asingetamka nigeria itengenishwe kati ya waislam wa kaskazini na wakristu wa kusini, ni mnafiki 2,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…