Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
Hapo hata coctail ya babu wa Loliondo haifai kitu!du ulevi wa madaraka...............sijui dawagani inaponya gonjwa huu
Ni kweli Waafrica weusi walikuwa wakimsaidia Gadafi kama-snipers kuuwa waandamanaji waliokuwa wakimpinga Gadafi. Kwa wenye macho walijua kabisa kuwa once hao rebel wakishinda watawauwa weusi kulipiza kisasi. Kwa hayo weusi wamejitakia wenyewe.
Ndugu ukweli ni.Khaddafi aliwapa uraia waafrika wengi sana kutoka chad na mali.cha pili, kuna walibya weusi pia ambao ni wanajeshi katika serikali ya libya kama ushawaskia Tuaregs which are known to be fierce warriors..
Hoa unaosema ni wanajeshi wa libya and are not african mercenaries.usidanganyike kaka.
the rebels are anti Khaddafi just becouse they dont want to share the dream of afrika,and they dont want to be Afrikans as khaddafi consider himself.
Wengi hao rebels ukweli sio walibya.ni waturuki,wamasri waliozaliwa libya na baadhi ya makabila ya king idris, aliyependuliwa na khaddafi baada ya kuwekwa hapo nna waingereza
Na hao "starving and ignorant Africans" ndio wanaomtetea Gaddafi kwa sasa. Eti wako tayari kwenda kumlinda, poh!
Na wale askari 80 waliotoka Kenya kwenda kumsaidia Gadafi ambao walikuwa wakilipwa US $ 2,000 per day? Na wale waliotoka Niger,Guinea je? Waarabu kamwe hawawezi kuwa Waafrica weusi na Waafrica weusi kamwe hawawezi kuwa Waarabu. Gadafi alifanya yote hayo ya kujiweka karibu na Sab Sahara Africa ili atimize malengo yake ya kisiasa na wala hakufanya hayo eti kwa vile alikuwa akiwapenda Waafrica Weusi. Rejea hotuba yake aliyoitoa wakati ametembelea Rome mwaka jana jinsi alivyo watukana Waafrica weusi. Baadhi ya kauli zake za kejeli dhidi ya weusi ni hii:
"We don't know what will happen, what will be the reaction of the white and Christian Europeans faced with this influx of starving and ignorant Africans,"(Col Gaddafi said in Rome, August 30/ 2010.
Kama haukuiosoma isome yote hapa: OF COLONEL GADAFI AND ARAB RACISM « My Blog
Nilisoma hiyo habari.kipindi
But you must learn to read and analyse statements,aliposema hivyo sio kwa sababu anawachukia waafrika.tafadhali dont just sum up things without analogy.
Ilikuwa ni kama tu kuwatisha hao wa roma. even a fool should have figure that out ,sio matusi ni kweli.lakini kwa watu kama wewe wanaopenda fitna ,basi.
I reserve the right to remain silent!...even a fool should have figure that out ,sio matusi ni kweli.lakini kwa watu kama wewe wanaopenda fitna ,basi.
haahaaaaaa kwa hiyo alikuwa anamaanisha nini? Hebu tuambie wewe uliyemuelewa vizuri....usinifanye nicheke sana leo. Hebu tambie alimaanisha lini kututukana mbele ya mavyombo yote ya habari namna hiyo? na kama hakumaanisha hayo aliyoyasema mbona hajakanusha hadi leo?
Naona wewe ndio mpenda fitna na ndio maana badala ya kujibu nilicho andika umerukia kunishambulia mimi...poor you!
Kukanusha nini?alikuwa anawakejeli na kuwatisha wa roma.kuna vitu hukufunzwa shule kama vile figurative speech au maana fichu.you are tought this in school so you can analyse statements.tafadhali sio matusi ila ni kuelimishana tu
Nauliza kwa nini AU union hawakumshutumu.human right vile vile apart from the bloggist you pasted for us above,acha zako wewe.