The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The So called Libyan Rebels have massacred hundreds of black africans.Where is the news?

"One Turkish construction worker told the BBC: 'We had 70-80 people from Chad working for our company. They were cut dead with pruning shears and axes, attackers saying: 'You are providing troops for Gaddafi. The Sudanese were also massacred. We saw it for ourselves.'"

Nasikitika nikiskia eti bado kuna watu hawamtaki Gaddafi.
waafrika wengi wamepewa makao libya na huyu kanal,na anawapenda waafrika sana.Katika kitabu chake The green book,am Quoting.Its time for black africans to rule the world.

Inshaalah Gadafi will win.
 
Ni kweli Waafrica weusi walikuwa wakimsaidia Gadafi kama-snipers kuuwa waandamanaji waliokuwa wakimpinga Gadafi. Kwa wenye macho walijua kabisa kuwa once hao rebel wakishinda watawauwa weusi kulipiza kisasi. Kwa hayo weusi wamejitakia wenyewe.
 
Mh, inamaana imegeuka na kuwa ni vita ya kibaguzi tena eeh.
 
Ni kweli Waafrica weusi walikuwa wakimsaidia Gadafi kama-snipers kuuwa waandamanaji waliokuwa wakimpinga Gadafi. Kwa wenye macho walijua kabisa kuwa once hao rebel wakishinda watawauwa weusi kulipiza kisasi. Kwa hayo weusi wamejitakia wenyewe.

Ndugu ukweli ni.Khaddafi aliwapa uraia waafrika wengi sana kutoka chad na mali.cha pili, kuna walibya weusi pia ambao ni wanajeshi katika serikali ya libya kama ushawaskia Tuaregs which are known to be fierce warriors..
Hoa unaosema ni wanajeshi wa libya and are not african mercenaries.usidanganyike kaka.
the rebels are anti Khaddafi just becouse they dont want to share the dream of afrika,and they dont want to be Afrikans as khaddafi consider himself.

Wengi hao rebels ukweli sio walibya.ni waturuki,wamasri waliozaliwa libya na baadhi ya makabila ya king idris, aliyependuliwa na khaddafi baada ya kuwekwa hapo nna waingereza
 
Gadafi akinihitaji kwenda kumtetea na kumlinda niko tayari coz alichofanya kwa wa africa kila m2 anakijua
KILL THEM GADAFI
 
i don think museveni has the credibility of being member!
 
Ndugu ukweli ni.Khaddafi aliwapa uraia waafrika wengi sana kutoka chad na mali.cha pili, kuna walibya weusi pia ambao ni wanajeshi katika serikali ya libya kama ushawaskia Tuaregs which are known to be fierce warriors..
Hoa unaosema ni wanajeshi wa libya and are not african mercenaries.usidanganyike kaka.
the rebels are anti Khaddafi just becouse they dont want to share the dream of afrika,and they dont want to be Afrikans as khaddafi consider himself.

Wengi hao rebels ukweli sio walibya.ni waturuki,wamasri waliozaliwa libya na baadhi ya makabila ya king idris, aliyependuliwa na khaddafi baada ya kuwekwa hapo nna waingereza

Na wale askari 80 waliotoka Kenya kwenda kumsaidia Gadafi ambao walikuwa wakilipwa US $ 2,000 per day? Na wale waliotoka Niger,Guinea je? Waarabu kamwe hawawezi kuwa Waafrica weusi na Waafrica weusi kamwe hawawezi kuwa Waarabu. Gadafi alifanya yote hayo ya kujiweka karibu na Sab Sahara Africa ili atimize malengo yake ya kisiasa na wala hakufanya hayo eti kwa vile alikuwa akiwapenda Waafrica Weusi. Rejea hotuba yake aliyoitoa wakati ametembelea Rome mwaka jana jinsi alivyo watukana Waafrica weusi. Baadhi ya kauli zake za kejeli dhidi ya weusi ni hii:

"We don't know what will happen, what will be the reaction of the white and Christian Europeans faced with this influx of starving and ignorant Africans,"(Col Gaddafi said in Rome, August 30/ 2010.

Kama haukuiosoma isome yote hapa: OF COLONEL GADAFI AND ARAB RACISM « My Blog
 
Na hao "starving and ignorant Africans" ndio wanaomtetea Gaddafi kwa sasa. Eti wako tayari kwenda kumlinda, poh!
 
Mkuu Askari Kanzu mambo mengine ni kuyaacha tu maana ukihoji sana akili za watu unaweza pigwa ban! Kuna watu hapo wako tayari kufa kwa ajili ya Gadafi wakati ndugu zake wa karibu Arab Leage wamempa shit!
 
Na wale askari 80 waliotoka Kenya kwenda kumsaidia Gadafi ambao walikuwa wakilipwa US $ 2,000 per day? Na wale waliotoka Niger,Guinea je? Waarabu kamwe hawawezi kuwa Waafrica weusi na Waafrica weusi kamwe hawawezi kuwa Waarabu. Gadafi alifanya yote hayo ya kujiweka karibu na Sab Sahara Africa ili atimize malengo yake ya kisiasa na wala hakufanya hayo eti kwa vile alikuwa akiwapenda Waafrica Weusi. Rejea hotuba yake aliyoitoa wakati ametembelea Rome mwaka jana jinsi alivyo watukana Waafrica weusi. Baadhi ya kauli zake za kejeli dhidi ya weusi ni hii:

"We don't know what will happen, what will be the reaction of the white and Christian Europeans faced with this influx of starving and ignorant Africans,"(Col Gaddafi said in Rome, August 30/ 2010.

Kama haukuiosoma isome yote hapa: OF COLONEL GADAFI AND ARAB RACISM « My Blog

Nilisoma hiyo habari.kipindi

But you must learn to read and analyse statements,aliposema hivyo sio kwa sababu anawachukia waafrika.tafadhali dont just sum up things without analogy.

Ilikuwa ni kama tu kuwatisha hao wa roma. even a fool should have figure that out ,sio matusi ni kweli.lakini kwa watu kama wewe wanaopenda fitna ,basi.
 
haahaaaaaa kwa hiyo alikuwa anamaanisha nini? Hebu tuambie wewe uliyemuelewa vizuri....usinifanye nicheke sana leo. Hebu tambie alimaanisha lini kututukana mbele ya mavyombo yote ya habari namna hiyo? na kama hakumaanisha hayo aliyoyasema mbona hajakanusha hadi leo?

Naona wewe ndio mpenda fitna na ndio maana badala ya kujibu nilicho andika umerukia kunishambulia mimi...poor you!
 
Amir
Member
Join Date : 14th February 2011
Posts : 10
Thanks
0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0
 
haahaaaaaa kwa hiyo alikuwa anamaanisha nini? Hebu tuambie wewe uliyemuelewa vizuri....usinifanye nicheke sana leo. Hebu tambie alimaanisha lini kututukana mbele ya mavyombo yote ya habari namna hiyo? na kama hakumaanisha hayo aliyoyasema mbona hajakanusha hadi leo?

Naona wewe ndio mpenda fitna na ndio maana badala ya kujibu nilicho andika umerukia kunishambulia mimi...poor you!

Kukanusha nini?alikuwa anawakejeli na kuwatisha wa roma.kuna vitu hukufunzwa shule kama vile figurative speech au maana fichu.you are tought this in school so you can analyse statements.tafadhali sio matusi ila ni kuelimishana tu

Nauliza kwa nini AU union hawakumshutumu.human right vile vile apart from the bloggist you pasted for us above,acha zako wewe.
 
Nashukuru kwa matusi. AU watamshutumu vp wakati 15% ya bajeti ya AU anatoa yeye Gadafi? Pia nani kati ya viongozi wote wa AU mwenye credibility ya kumnyooshea mwenzake kidole? Tatizo unajifanya mjuaji kumbe hujui chochote. Kwa maono yako kwa sababu Gadafi kafanya vitu vichache vizuri basi hata akitutukana,akitupiga kama alivyomsaidia amini tuseme ameni.!?

Unadai kuwa hujui Gadafi akanushe nini wakati alichoongea Rome umedai unakifahamu labda kwa upande wako unaona alionge vizuri sana kuhusu weusi....?
 
Naomba unisamahe kama umechukua ni matusi.

kwa kweli Afrika union dont depend on khadafi moneys,south afrika nao wanatoa posho kubwa,na pia AU kuna wale hawampendi Khaddafi
mojawapo rais wa botswana,Kwa nini hawakutumia fursa hiyo kummaliza kanal.kwas sababu waliweza kumwelewa nini anacho kisema.wewe tu bloggist na vyombo vya habari za ki imperialist.over n out
 
Na wale askari 80 waliotoka Kenya kwenda kumsaidia Gadafi ambao walikuwa wakilipwa US $ 2,000 per day? Na wale waliotoka Niger,Guinea je? Waarabu kamwe hawawezi kuwa Waafrica weusi na Waafrica weusi kamwe hawawezi kuwa Waarabu. Gadafi alifanya yote hayo ya kujiweka karibu na Sab Sahara Africa ili atimize malengo yake ya kisiasa na wala hakufanya hayo eti kwa vile alikuwa akiwapenda Waafrica Weusi. Rejea hotuba yake aliyoitoa wakati ametembelea Rome mwaka jana jinsi alivyo watukana Waafrica weusi. Baadhi ya kauli zake za kejeli dhidi ya weusi ni hii:

"We don't know what will happen, what will be the reaction of the white and Christian Europeans faced with this influx of starving and ignorant Africans,"(Col Gaddafi said in Rome, August 30/ 2010.

Kama haukuiosoma isome yote hapa: OF COLONEL GADAFI AND ARAB RACISM « My Blog

Kumbuka uArabu si Rangi wala si kontinenti, Uarabu ni lugha. Wengi wa wasiojuwa uarabu ni nini huwa wanafikiri uarabu ni Taifa au mataifa fulani, la hasha, si hivyo kabisa.
 
Back
Top Bottom