The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi


Hivi na wewe unajidhania kuwa great thinker? Wewe ni sympasizer tu. Wananchi wa Libya wakikusikia hakika watakujengea kisasi. Usishabikie mambo usiyoyajua. Hao unaowalaani wameombwa na umoja wa nchi za kiislamu wamsulubu huyo mpendwa wako, tena baada ya kubembelezwa sana. Mie nafurahia sana kinachoendelea usiku huu kwani hatimaye wanchi wa Libya watapumzishwa na mgogoro usio wa lazima baada ya best yako anayelilia kufia madarakani kuchezea kichapo cha haja. Halafu nikukumbushe tu kuwa huyo nduguyo ametofautiana na wewe kwani anadai kuwa chanzo ni alqaida na wavuta bangi na madawa ya kulevya. Sasa sijui mkweli ni nani kati ya yeye na wewe?
 

So was Saadam Hussein!
 

hii ndo kubwa,ni hasira za kukosa mafuta.....watu wabaya jamani?wanaua watu wote hao kwa ajili ya rasilimali waliyopewa na Mungu?:smash:
 
i do not agree,why was it neccessary to start military intervention today?

Because Gadafi continued to attack Eastern Libya despite the fact that on Friday his foreign minister declared immediate ceasefire. Like Saadam, his days are numbered and will go down the toilet
 

Nina uhakika hapa wanaweza kutumia situation kama ya Chad-Libya war back in the 80s, badala ya kumtoa madarakani Gaddafi watachora mstari wa east (kwa rebels) na west kwa Gaddafi and bomb his forces pindi watakapojaribu kuvuka mstari kwena kushambulia east.

Pindi hao rebels watakapokuwa tayari watalaunch assault yao au maandamano ya kumtoa Gaddafi madarakani.
Tatizo lingine la Libya ni makabila sasa hapa ndio kuko tricky.
 
hii ndo kubwa,ni hasira za kukosa mafuta.....watu wabaya jamani?wanaua watu wote hao kwa ajili ya rasilimali waliyopewa na Mungu?:smash:
Mbona mafuta jamani yapo hapa na magari tunaendesha na hakuna shida ya mafuta. Mafuta gani hayo unayozungumzia?
 
Because Gadafi continued to attack Eastern Libya despite the fact that on Friday his foreign minister declared immediate ceasefire. Like Saadam, his days are numbered and will go down the toilet

:juggle::washing:
 

He's all but done. And down the toilet he'll go!!
 
hii ndo kubwa,ni hasira za kukosa mafuta.....watu wabaya jamani?wanaua watu wote hao kwa ajili ya rasilimali waliyopewa na Mungu?:smash:
Asilimia kubwa ya mafuta ya US inatoka Saudi Arabia, Iraq na Kuwait Libya mnunuzi wake mkubwa wa mafuta ni Italy na Ujerumani.
 
Gaddafi amejitakia mwenyewe; ameisababisha mgogoro ule kuchukua dimension ambayo sasa haitamnusuru. Ametawala kijeshi kuliko kutawala kisisasa. Baada ya maasi, alikuwa na muda wa kutiosha kuwatuliza watu wake kwa njia za kisisasa ikiwamo na kutumia ushawishi wa kibalozi. Lakini aliamua kutunisha mususli na kuanza kuwanyonga waasi wale bila kujali collateral damage. Hatua aliyochukua ilikuwa ya pupa na ndiyo akayakaribisha mataifa ya magharibi. Ujio wa mataifa ya magharibi utahitimisha utawala wake kinyume na ambavyo angependa mwenyewe. Uwezekanao wa kufurika kwa wakimbizi wa kutoka Libwa kwenda huko Ulaya ya kusini ni jambo ambalo NATO imelitilia maanani sana kuwa kumwacha Ghadafi madarakani linaweza kuwa janga kubwa.
 
Asilimia kubwa ya mafuta ya US inatoka Saudi Arabia, Iraq na Kuwait Libya mnunuzi wake mkubwa wa mafuta ni Italy na Ujerumani.

kwa hiyo? whats point?hawataki mafuta kutoka Libya?
 
Tena akome na liwe funzo kwa watawala wanaonyanyasa wananchi wao kwa namna yeyote ile, atatumiaje fighter jet kuwapiga watu wake tena wenye manati tu, na atakoma kama vipi kamsaidie.

usiwe na mawazo na fikra kama za mtu aliyejikwaa kwenye jiwe na kulaumu na kulalamikia ugumu wa sehemu aliyoangukia!,
atakae koma sio Gaddaf peke yake,hata wewe unayechangia gharama ya mafuta utaonja gharama ya vita inayoendelea,ila ukiwa na fikra mgando unadhan anayekoma ni gaddaf peke yake!!,
 
Ndicho nilikuwa nikijaribu kumwelewesha VUVUZELA.Gaddafi wont go nowhere,je is all of this worthy?Mojawapo ya masharti yao ni kuwa ayarudishe yale majimbo aliyoyakomboa kutoka kwa rebels,na mengineo ndiyo majimbo yenye mafuta,si unakumbuka no fly zone ya Iraki kwa upande wa wa Kurdish?Watachukua wese kiulaini kwasababu hakutakuwa na negotiations with the central government.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…