The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Hakuna asiyefaham sasa chanzo cha vurugu za Libya ni Mwamerika na washirika wake,
nastaajabu kuna waafrika eti wanaojiita great thinkers wanakenua meno na kufurahia yanayoendelea libya sasa,eti ni "people's power" ,kweli?
haya ,sisi yetu macho na masikio,ila historia itawahukumu wale wote wenye tabia za akina chifu mangungo,,

Hivi na wewe unajidhania kuwa great thinker? Wewe ni sympasizer tu. Wananchi wa Libya wakikusikia hakika watakujengea kisasi. Usishabikie mambo usiyoyajua. Hao unaowalaani wameombwa na umoja wa nchi za kiislamu wamsulubu huyo mpendwa wako, tena baada ya kubembelezwa sana. Mie nafurahia sana kinachoendelea usiku huu kwani hatimaye wanchi wa Libya watapumzishwa na mgogoro usio wa lazima baada ya best yako anayelilia kufia madarakani kuchezea kichapo cha haja. Halafu nikukumbushe tu kuwa huyo nduguyo ametofautiana na wewe kwani anadai kuwa chanzo ni alqaida na wavuta bangi na madawa ya kulevya. Sasa sijui mkweli ni nani kati ya yeye na wewe?
 
Wanadai alibreak cease fire agreement na hivyo consuquences zake ni hizo tomhawk missiles....Hawa watu bana,walianza na no fly zone,sasa wanapata sababu za ku extend it to a military intervention....Hata hivyo naamini kumwondoa Gaddafi si rahisi kihivyo,i have said before and i will keep on saying it,they better watch their steps,Gaddafi haendi mahali na pia si mjinga kiasi wanachodhani....Kama wakishindwa kumwondoa mapema mapema,wananchi wanweza kugeuka na kuona kweli kuna uvamizi unaoendelea na wanaweza kuchoshwa na vita mapema sana kwasababu sidhani kama wananchi wa Libya walikuwa na shida kiasi hicho in a prewar period.Tusubiri kama kuna makabila yenye tamaa ya kuchukua nchi,basi lazima civil war itaanza,so ni just unneccessary devastations,the ones that could have been avoided.

So was Saadam Hussein!
 
Je hii ni sababu nyengine kwa nini West na US wameamua "kumshughulikia" kwa haraka Gaddaffi.
Libya says may give oil deals to friendly nations

TRIPOLI (Reuters) - Libya is considering offering oil block contracts directly to China, India and other nations it sees as friends in its month-long conflict with rebels, Libya's top oil official said on Saturday.

Oil companies have pulled out staff and shut operations in the country, formerly Africa's third-largest producer, due to the uprising against Muammar Gaddafi's rule, leading to a sharp reduction in output.

National Oil Corporation Chairman Shukri Ghanem, speaking about future projects, said Libya was considering awarding contracts directly to new partners instead of using its more traditional open bidding process.

"We will be looking at giving direct block contracts to countries ready to come and work in the country, because we want to increase production," he said.

He said Libya would look into the possibility of working closer with partners such as India, China, Brazil and others in the future but gave no details.

Ghanem said, however, that the government would honour all existing contracts with Western firms and called on foreign workers to return to help restore output.

"It's not our intention to violate any of these agreements," he told reporters in Tripoli.

"Of course, as you know, production has declined drastically because of the dramatic events," he added.

He said crude production had fallen to less than 400,000 barrels per day from 1.6 million before the crisis. He warned that oil exports might halt altogether if output is not restored.

"We will be able to restore most fields but we need the foreign workforce to come back ... We call on them to send back their workers," he said.

Libyan leader Muammar Gaddafi has taken a tougher stance on Western oil companies. He said earlier this month that Germany was the only Western power that had a chance of doing business with Libyan oil in the future.

Libya says may give oil deals to friendly nations | Reuters

hii ndo kubwa,ni hasira za kukosa mafuta.....watu wabaya jamani?wanaua watu wote hao kwa ajili ya rasilimali waliyopewa na Mungu?:smash:
 
i do not agree,why was it neccessary to start military intervention today?

Because Gadafi continued to attack Eastern Libya despite the fact that on Friday his foreign minister declared immediate ceasefire. Like Saadam, his days are numbered and will go down the toilet
 
Wanadai alibreak cease fire agreement na hivyo consuquences zake ni hizo tomhawk missiles....Hawa watu bana,walianza na no fly zone,sasa wanapata sababu za ku extend it to a military intervention....Hata hivyo naamini kumwondoa Gaddafi si rahisi kihivyo,i have said before and i will keep on saying it,they better watch their steps,Gaddafi haendi mahali na pia si mjinga kiasi wanachodhani....Kama wakishindwa kumwondoa mapema mapema,wananchi wanweza kugeuka na kuona kweli kuna uvamizi unaoendelea na wanaweza kuchoshwa na vita mapema sana kwasababu sidhani kama wananchi wa Libya walikuwa na shida kiasi hicho in a prewar period.Tusubiri kama kuna makabila yenye tamaa ya kuchukua nchi,basi lazima civil war itaanza,so ni just unneccessary devastations,the ones that could have been avoided.

Nina uhakika hapa wanaweza kutumia situation kama ya Chad-Libya war back in the 80s, badala ya kumtoa madarakani Gaddafi watachora mstari wa east (kwa rebels) na west kwa Gaddafi and bomb his forces pindi watakapojaribu kuvuka mstari kwena kushambulia east.

Pindi hao rebels watakapokuwa tayari watalaunch assault yao au maandamano ya kumtoa Gaddafi madarakani.
Tatizo lingine la Libya ni makabila sasa hapa ndio kuko tricky.
 
hii ndo kubwa,ni hasira za kukosa mafuta.....watu wabaya jamani?wanaua watu wote hao kwa ajili ya rasilimali waliyopewa na Mungu?:smash:
Mbona mafuta jamani yapo hapa na magari tunaendesha na hakuna shida ya mafuta. Mafuta gani hayo unayozungumzia?
 
Because Gadafi continued to attack Eastern Libya despite the fact that on Friday his foreign minister declared immediate ceasefire. Like Saadam, his days are numbered and will go down the toilet

:juggle::washing:
 
waongo tu,walishajiandaa hata kabla ya hiyo cease fire agreement kufanya ushetani wao nguruwe hao.....hata wakimtoa Gadaffi watabaki kuteseka tu na dhuluma wanazofanya....sasa wataua watu waseme ni Gaddafi,wataangusha ndege zao makusudi waseme ni Gaddafi ili mradi waweze ku-justify ushetani wao......Gaddaf ni mwanaume wa ukweli,hao wengine wote ******* tu.....:smash:

He's all but done. And down the toilet he'll go!!
 
hii ndo kubwa,ni hasira za kukosa mafuta.....watu wabaya jamani?wanaua watu wote hao kwa ajili ya rasilimali waliyopewa na Mungu?:smash:
Asilimia kubwa ya mafuta ya US inatoka Saudi Arabia, Iraq na Kuwait Libya mnunuzi wake mkubwa wa mafuta ni Italy na Ujerumani.
 
Gaddafi amejitakia mwenyewe; ameisababisha mgogoro ule kuchukua dimension ambayo sasa haitamnusuru. Ametawala kijeshi kuliko kutawala kisisasa. Baada ya maasi, alikuwa na muda wa kutiosha kuwatuliza watu wake kwa njia za kisisasa ikiwamo na kutumia ushawishi wa kibalozi. Lakini aliamua kutunisha mususli na kuanza kuwanyonga waasi wale bila kujali collateral damage. Hatua aliyochukua ilikuwa ya pupa na ndiyo akayakaribisha mataifa ya magharibi. Ujio wa mataifa ya magharibi utahitimisha utawala wake kinyume na ambavyo angependa mwenyewe. Uwezekanao wa kufurika kwa wakimbizi wa kutoka Libwa kwenda huko Ulaya ya kusini ni jambo ambalo NATO imelitilia maanani sana kuwa kumwacha Ghadafi madarakani linaweza kuwa janga kubwa.
 
Tena akome na liwe funzo kwa watawala wanaonyanyasa wananchi wao kwa namna yeyote ile, atatumiaje fighter jet kuwapiga watu wake tena wenye manati tu, na atakoma kama vipi kamsaidie.

usiwe na mawazo na fikra kama za mtu aliyejikwaa kwenye jiwe na kulaumu na kulalamikia ugumu wa sehemu aliyoangukia!,
atakae koma sio Gaddaf peke yake,hata wewe unayechangia gharama ya mafuta utaonja gharama ya vita inayoendelea,ila ukiwa na fikra mgando unadhan anayekoma ni gaddaf peke yake!!,
 
Nina uhakika hapa wanaweza kutumia situation kama ya Chad-Libya war back in the 80s, badala ya kumtoa madarakani Gaddafi watachora mstari wa east (kwa rebels) na west kwa Gaddafi and bomb his forces pindi watakapojaribu kuvuka mstari kwena kushambulia east.

Pindi hao rebels watakapokuwa tayari watalaunch assault yao au maandamano ya kumtoa Gaddafi madarakani.
Tatizo lingine la Libya ni makabila sasa hapa ndio kuko tricky.
Ndicho nilikuwa nikijaribu kumwelewesha VUVUZELA.Gaddafi wont go nowhere,je is all of this worthy?Mojawapo ya masharti yao ni kuwa ayarudishe yale majimbo aliyoyakomboa kutoka kwa rebels,na mengineo ndiyo majimbo yenye mafuta,si unakumbuka no fly zone ya Iraki kwa upande wa wa Kurdish?Watachukua wese kiulaini kwasababu hakutakuwa na negotiations with the central government.
 
Back
Top Bottom