Hakuna demokrasia kule Libya wala nini. Jamaa ni dikteta na lazima atoke. Kama kuna demokrasia kama unavyo dai wewe, kwanini watu wanaandamana?
Jibu lipo wazi, ka-dafu lazima achapwe mijeredi mpaka ajifuinze adabu.
Haya mapumziko kidogo sasa.
Nani alikwambia Tanzania kuna demokrasia au unaongelea hiyo danganya toto.Tanzania iko kwenye Demokrasia kwa kipindi kirefu sasa,
http://www.guardian.co.uk/world/2011/mar/17/libya-united-nations-air-strikes-live#b-17http://www.guardian.co.uk/world/2011/mar/17/libya-united-nations-air-strikes-live#b-177.25pm ET: The UN resolution just passed by the security council is eight pages long but the key part is point four, "Protection of civilians," which states:The phrase "take all necessary measures" means this is more than a no-fly zone: it allows air strikes and any military action short of landing troops ("excluding a foreign occupation force of any form") – such as attacking tanks on the road to Benghazi.
Authorizes Member States that have notified the Secretary-General, acting nationally or through regional organizations or arrangements, and acting in cooperation with the Secretary-General, to take all necessary measures ... to protect civilians and civilian populated areas under threat of attack in the Libyan Arab Jamahiriya, including Benghazi, while excluding a foreign occupation force of any form on any part of Libyan territory, and requests the Member States concerned to inform the Secretary-General immediately of the measures they take pursuant to the authorization conferred by this paragraph which shall be immediately reported to the Security Council
7.31pm ET: Not all Libyans are delighted by the news of the UN's authorisation of military action. AP has this quote:
In contrast, a dentist in the capital of Tripoli rejected the measure. "You are in fact protecting people carrying weapons against the official forces. This is nonsense," said Mohammed Salah, 33.
AFP Wire:
The African Union: Calling for immediate stop to attacks on Libya.
Sky reporting RAF Tornados fired StormShadow after flying 3000m from RAF Marham - longest range RAF bombing since 1982.
Kwa kifupi NATO wanawasafishia njia Rebels waende Tripol kuchukua nchi?Check out this peace of info...Kipengele kinachotafsiri hiyo security council resolution 1973(2011)ammbapo kuna pahala wanasema watatumia "all means neccessary except foreign troops and occupation."
Source: AP news
My Take:Kama nilivyojiuliza hapo nyuma,je mapinduzi haya ni kweli ni ya wananchi wa Libya?Mimi nasapoti mapinduzi ya kweli ya wananchi na si blah blah za wahuni wachache.
Inategemea na msimamo wa wananchi wa Libya,soma posting yangu iliyopita na comment aliyotoa Dr....inawezekana tumelishwa propaganda,kuna wananchi wasiotaka mambo hayo ya vita,nchi inaweza kugawanyika kwasababu sidhani kama rebels nao watapata sapoti everywhere lets say Tripoli,sidhani.Kwa kifupi NATO wanawasafishia njia Rebels waende Tripol kuchukua nchi?
hawa washenzi wamerekani na wenziwe wanatakiwa kulaaniwa.
na kama ningekuwa nna sauti umoja wa mataifa tungetangaza kusitisha uhusiano na nchi zote zitazoishambulia libya.
pia tungezitaka nchi za afrika kupeleka jeshi libya kupambana na uvamizi wa kishenzi wa mbwa hawa
waaafrika tuamke tusiendeshwe na kutawala na hawa wapumbavu kwa maslahi yao