The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Gadaffi's supporters rally round the Green flag...

_51751051_011565884-1.jpg

_51754772_51754771.jpg
 
hawa washenzi wamerekani na wenziwe wanatakiwa kulaaniwa.

na kama ningekuwa nna sauti umoja wa mataifa tungetangaza kusitisha uhusiano na nchi zote zitazoishambulia libya.

pia tungezitaka nchi za afrika kupeleka jeshi libya kupambana na uvamizi wa kishenzi wa mbwa hawa

waaafrika tuamke tusiendeshwe na kutawala na hawa wapumbavu kwa maslahi yao
Hakuna aliyetukataza mkuu, wajitolee wapeleke motion kwenye baraza la Usalama kama ina mashiko itapitishwa. Namna gani vipi wamobilize majeshi faster faster kama walivyofanya Comoro ama Congo-Kinshasa na kuyapeleka Libya kumlinda swahiba wao.
 
International forces bombard targets in Libya

Coalition forces launch Libya assault, which Gaddafi calls "colonial, crusader" aggression.

Last Modified: 20 Mar 2011 01:26

201132003646166580_20.jpg

International forces fired more than 110 missiles on 20 radar and anti-aircraft sites along the coast [AFP/US Navy]

Jumuiaya ya Kimataifa tayari wameanza kumfunda Kanali Gaddafi kijeshi hivi sasa.
 
My heart goes out to Gadafi.
Kuna wauwaji wengi sana dunia hii lakini Gadafi kawa singled out kwa vile pale Libya pana resources na hawa wanaharamu wanataka kwenda Kuchota mafuta ya Libya.
Israeli ilishambuliwa wapalestina kwa muda wakauwa watu saana lakini hapakuwa na No-fly zone. Angekuwa Gadafi kaamka na kuanza kushambulia raia ungesema anauwa raia lakini ni wanajeshi wa upinzani wanaotaka kumwangusha wewe unataka wachekee?
Mbona Misri na Tunisia hawakubeba silaha?
Huu upinzani wa Libya umepikwa na mabeberu wamejenga propaganda wanataka kuweka vibaraka wao. Waafrika amkeni ukoloni ndo huoo umesharudi.
Nimesikitika sana jinsi watu walivyokuwa brain washed na mabeberu na kuamini kuwa wanalofanya ni sahihi, wana uchungu na Waafrika. Hamna kitu.
Habari ndo hiyo
 
today is the 8 year annivarsary of the beginning of the Iraq war and wameanza vita mpya Libya! nasoma The sun nakutana na huu mstari
Mrs Clinton said she would not serve under Mr Obama for a second term. A source close to her said: "She is not happy dealing with a president who can't decide if today is Tuesday or Wednesday."
 
hawa washenzi wamerekani na wenziwe wanatakiwa kulaaniwa.

na kama ningekuwa nna sauti umoja wa mataifa tungetangaza kusitisha uhusiano na nchi zote zitazoishambulia libya.

pia tungezitaka nchi za afrika kupeleka jeshi libya kupambana na uvamizi wa kishenzi wa mbwa hawa

waaafrika tuamke tusiendeshwe na kutawala na hawa wapumbavu kwa maslahi yao

nakumbuka kulikuwa na mkutan flani title goes like "changes" (http://www.changes-challenges.org/concluding-plenary) alikuwepo jk na jamaa flani mzungu ambaye alikuwa na uchungu na africa kushinda hata kina JK waliokaa na kuchekacheka jamaa aliweka wazi kwamba western countries they need us ni kwamba viongozi wa africa hatulioni hili! mfano hata kama hatuna kura ya turufu baraza la umoja wa matafita tunge capitalize ule uhusiano wetu mzuri na serikali kama ya China ambayo iligoma ku vote wangeweza kusaidia au russia amabyo waliongea wazi kwamba Kuingilia kijeshi si suluhisho!!.. lakini vibaya zaidi! kumbe kulikuwa na nchi kama nigeria, s.africa zilisupport lile azimio!

sijapata kuona TV ya kinafiki kama Aljazeera
 
The African Union has reportedly joined China in expressing disapproval of the coalition's military action against Libya. The AU's Libya committee met in Mauritania and released a statement on Sunday calling for an "immediate halt" to the attacks, the AFP news agency reported. The AU was created in 1999 after a summit in Sirte, Muammar Gaddafi's hometown, and Libya has both funded the AU and established extensive economic interests throughout sub-Saharan Africa.
 
According to a tweet from CNN's Wolf Blitzer, each Tomahawk costs around $1 million, and the United States has fired more than 100 so far!!!
 
Wananchi wa Libya ndio wanajua matatizo yao na ndio walioamua kuandamana nakushangaa wewe unayemtetea dikteta sijui kama up stairs ziko sawasawa, in short he has to go tena wamemchelewesha sana na baada ya kuondoka The Hague inamsubiri.

This war is really about Oil
 
Na hiyo mizinga ya Marekani na washirika wake inauwa akina nani kama sio Walibya wasio na hatia??????
Hadi sasa wananchi wa Libya 48 washauawa kutokana na makombora ya wavamizi, nao huo ndio mwanzo tu.
Nchi nzima itateketea kama ambavyo imefanyika Iraq na Afghan halafu wauaji watarudi makwao nchi ikiwa imekwisha!!!
 
Kumbukeni tarehe hizi 19/20 March 2003.

The 2003 invasion of Iraq (March 19–May 1, 2003), was the start of the conflict known as the Iraq War or Operation Iraqi Freedom in which a combined force of troops from the United States, the United Kingdom and smaller contingents from Australia and Poland invaded Iraq and toppled the regime of Saddam Hussein in 21 days of major combat operations. This phase (March–April 2003) consisted of a conventionally fought war which concluded with the fall of the Iraq capital Baghdad. This was considered a continuation of the Gulf War of 1991, prior to which Saddam Hussein had invaded Kuwait, and after defeat by Coalition Forces had agreed to surrender and/or destroy several types of weapons, including SCUD missiles and weapons of mass destruction (WMD).
 
The only safe place for Gadaffi now is at The Hague, where he will be able to stay and eat at the cost of anly attending makamani!
 
Gaddafi ni mwanamapinduzi, na mwanamapinduzi hufa kwenye uwanja wa mapambano.

Gaddafi atapambana hadi tone lake la mwisho kwa ajili ya nchi yake, dhidi ya dhulma ya watu kwa nchi yake na watu wake zinazofanywa na wale wenye kuionea choyo Libya kwa mafuta yake na kuambiwa ukweli na kiongozi wao ambaye ni Gaddafi
 
Hivi ikitokea wale wanaomuunga mkono Gadaffi, wakaamua kumsaidia; so we get WWIII..!!! God Forbid......!!!

Mimi kwa kweli sikubaliani kabisa na hii vita, is not solution but will create more problems in Libya as it did in Iraq!
 
huyu jamaa huwa anafurahisha kweli hehe

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom