Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Gadaffi's supporters rally round the Green flag...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekucha...
Hakuna aliyetukataza mkuu, wajitolee wapeleke motion kwenye baraza la Usalama kama ina mashiko itapitishwa. Namna gani vipi wamobilize majeshi faster faster kama walivyofanya Comoro ama Congo-Kinshasa na kuyapeleka Libya kumlinda swahiba wao.hawa washenzi wamerekani na wenziwe wanatakiwa kulaaniwa.
na kama ningekuwa nna sauti umoja wa mataifa tungetangaza kusitisha uhusiano na nchi zote zitazoishambulia libya.
pia tungezitaka nchi za afrika kupeleka jeshi libya kupambana na uvamizi wa kishenzi wa mbwa hawa
waaafrika tuamke tusiendeshwe na kutawala na hawa wapumbavu kwa maslahi yao
Mrs Clinton said she would not serve under Mr Obama for a second term. A source close to her said: "She is not happy dealing with a president who can't decide if today is Tuesday or Wednesday."
hawa washenzi wamerekani na wenziwe wanatakiwa kulaaniwa.
na kama ningekuwa nna sauti umoja wa mataifa tungetangaza kusitisha uhusiano na nchi zote zitazoishambulia libya.
pia tungezitaka nchi za afrika kupeleka jeshi libya kupambana na uvamizi wa kishenzi wa mbwa hawa
waaafrika tuamke tusiendeshwe na kutawala na hawa wapumbavu kwa maslahi yao
US alivyoenda Bosnia kuna mafuta?
Wananchi wa Libya ndio wanajua matatizo yao na ndio walioamua kuandamana nakushangaa wewe unayemtetea dikteta sijui kama up stairs ziko sawasawa, in short he has to go tena wamemchelewesha sana na baada ya kuondoka The Hague inamsubiri.