The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi


Kashtaki kwa Chavez na China
 
Bursts of anti-aircraft and tracer fire were heard in Tripoli on Sunday night, yet no aircraft were immediately heard or seen. Less than an hour later, Gaddafi's military announced their second ceasefire since the UN Security Council endorsed military action to protect civilians in the country. - Al Jazeera

 
Last edited by a moderator:
Soma kwamakini hapo juu ndio huyo mwandishi wakijerumani anachosema nakuna miji kaitaja ambayo inaweza kufikiwa na makombora ya libya,utajua nani mwenye porojo kati yamimi nawewe.usikurupuke soma kwa makini ndio uchangie.
 

Jamani si angeshayarusha anagoja nini?
 
Real Time Updates.
1916
: ChangeInLibya tweets: "Revolutionaries surrounding a Gaddafi base south of Zintan are still surrounding it but will not go in till area is safe. #libya #feb17

Regardless of the "ceasefire" - Rebels are surrounding the base in Zintan and waiting for it to become "Safe" before they enter. (Source: BBC)

4Italian Tornadoes ECR just left Trapani headed for Libya.
4 Italian EF Typhoons are in standby and ready to take off.
Source: Sky.it

"Foreign Minister Carl Bildt announced that Sweden would consider military action in support of a no-fly zone if it is requested by NATO." -Sweden sio mwanachama wa NATO-
 
Yote tisa,kumi ukweli ni kwamba,mataifa ya ulaya pamoja na marekani yako kimaslahi zaidi! Sidhani kama kweli wana uchungu na raia wanaokufa bila hatia. Kama ni kweli wana uchungu, basi nadhani wangetuma ngege za kivita plus askari wa nchi kavu sehemu nyingi tu za dunia zenye machafuko na hasa kipindi kile cha mauaji ya halaiki ya Rwanda na Burundi.

Pamoja na hayo, nchi nyingi za kiarabu zimekua zikiangaliwa kwa karibu sana na nchi za magharibi! Hii ni kutokana na neema ya mafuta waliopewa. Mbaya zaidi raia wengi wa nchi hizi ni wenye imani ya kiislamu,ambayo haikubaliki na mataifa haya ya magharibi na imekua ikibigwa vita kwa visingizio vya kila aina(ugaidi,siasa kali n.k)

Takwimu zinaonyesha Gadafi ni moja kati ya viongozi wachache shupavu duniani na amefanikiwa sana kuingoza Libya na hatimae kuwa na uchumi Imara. Nguvu ya umma iliyomtoa Mubarak Misri haiwezi kufananishwa moja kwa moja na mvutano unaoendelea Libya.
 

Fanya utafiti hapo kwenye nyekundu
 
Watu wengi wanaonekana hawafahamu kwa undani chanzo cha mashambulizi haya ya majeshi ya kimataifa yakiongozwa na France na Britain. Raisi Obama amekuwa mwangalifu sana juu la jambo hili ingawa David Cameron aliweza kumshawishi na akakubali ingawa kwa masharti kwamba yeye atatoa makombora tu kutoka katika meli yake Marekani pale baharini Mediterranean.

Lakin mpaka sasa ni nchi za France na Britain ndizo zipo mstari wa mbele kwa sababu mpaka sasa makampuni ya mafuta ya nchi hizo yamesimamisha uzalishaji katika nchi hiyo.

Kuna makampuni zaidi ya kumi yenye visima vya mafuta katika nchi hiyo -Eni, BP, Wintershall, OMV, na za Marekani Hess, Marathon and ConocoPhillips. Makampuni haya yanataka uhakika wa usalama wa kufanya shughuli zao pale Libya na si vinginevyo.



Hawa jamaa wanaitwa "the European rulling Elite". jana walikutana katika hoteli iitwayo Elysee Palace mjini Paris kwa majadiliano zaidi .




Wakati huhuo ndege hizi za kivita za Britain ziitwazo Typhoon ambazo ni mpya kabisa zilikuwa zimeanza kutuma mabomu zikitokea kwenye kituo cha kijeshi cha Britain kilichopo nchini Qatar.



Baadae jana jioni watu walianza kuona matokeo ya mashambulizi hayo.

Lakini je vita hii itakwisha endapo mashambulizi yataisha?
 
Naona uzungumza kizalendo zaidi. Ukweli ni kwamba uwezo huo Gaddafi hanao!
 
2016 GMT: "We believe Gaddafi's forces are suffering from isolation and a good deal of confusion," the US military spokesman said.

22:08 Almanara Media BREAKING: Three tanks have been destroyed in Misratah and one tank has been disabled by revolutionary youth. Currently there is one tank in the centre of the city which is moving between An Nasr Square and The Courthouse cluster. There are snipers positioned above buildings on the same street that the tank is in. There are many other tanks at the entrances of the city

Pentagon: 124 additional Tomahawks fired
 
anataka wanajeshi huyu
Nilisoma a while ago kuwa alikuwa analipa up to $ 2,000 a day kwa mercenaries....!!
Would be interesting to know kama Libya ilikuwa inalipwa na EU/Italy/France kuzuia wazamiaji kupitia Libya.
 
Gaddaf mwisho wake utafika tu
 
Nimekaa najiuliza, what if rebels wakigoma kukubaliana na Ceasefire Call wanajeshi wa Gaddafi watasimama tu na kuuliwa ama watajibu mapigo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…