Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Yule bwana alokua akijifanya chizi kwa kuua watu wake kila kukicha, amepata akili baada ya kuchezea kichapo kutoka France, US na UK. BBC wameonyesha live viongozi wa jeshi wakitoa amri kwa vikosi vyote kusitisha mashambulizi ya aina zote kwa hao waliokua wanawaita 'rebels' wametoa amri kwamba badala ya kushambulia watu wahakikishe watu wote wako salama, hakuna ruhusa kushambulia mtu yeyote...Hongera Obama and the co, kumbe huyu bwana akili anayo ule uchizi ulikua wa kujifanyisha
ikiwa ccm imejaa mafisadi basi tusimseme Chenge kwa kuwa hiyo ndiyo desturi yao?
Miafrika ya namna hii inatakiwa kuuliwa hadharani.
Huyu Gaddaffi unayemtetea wewe ni yupi? Libya tangu lini ulisikia wanakubali kuwa wao ni waafrika? Wanasema wao ni waarabu sasa sijui unazungumzia nini hapa. Gaddaffi ana deserve hii kwa sababu ni mjinga mwendawazimu hana huruma na watu wake wacha mataifa makubwa wamwonyeshe kazi mpaka asalimu amri. Sasa hivi amejaza watu kwenye palace yake kama kinga au kile kinachoitwa kifo cha wengi harusi sasa hii ni akili kweli au ni upuuzi? Kumbuka waliopo hapo si wapo kwa hiari ni amri imetolewa. Mimi nasema wacha wampige tu mtu asiyesikia dawa yake ndio hii.
sasa waloipiga Libya ni UN?
Mbona Somalia hawaendi kusaidia raia wasio na hatia miaka na miaka wanauawa?
It is a UN sanctioned mission, UN haina jeshi bali nchi wanachama ndio zinajitolea wanajeshi, vifaa, na kufoot the bill
Maslahi gani? Libya tayari alikuwa anauza mafuta take kwa wingi nchi za magharibi na isitoshe NOC walikuwa wamesaini mikataba ya mabilioni na kampuni za uingereza na as far as I know kulikuwa hakuna mushkeli wowote kwenye ku supply mafuta kwenda Europe.Nikuulize swali, kwa mtazamo wako, unafikiri America na washirika wake hapo kimaslahi zaidi katika uvamizi huo?
mzima kweli hujanisoma.Kuna watu wanahalalisha uhalifu wa Gadaff just bcs Somalia and Ivory coast,hapo ni sawa na kusema wanainchi wasimseme vibaya Chenge vijisenti kwa sababu kuna mafisadi wengine ccmbaby mbona unaenda nje ya mada? au sijakusoma?
be blessed,I appreciate you for reminding us this move.Alafu watanzania inabidi tuache unafiki miaka miwili iliyopita wakati Membe na Kikwete wanang'ang'ana kupeleka wanajeshi wetu Comoro kwa kisingizio cha kusambaza demokrasia mlikuwa mnachekelea na kuwaita wale waliokuwa wanapinga sio wazalendo leo mfadhili anapewa kichapo imekuwa nongwa?
endelea kujidanganyaNikweli tupu ktk makala iliyoandikwa hapojuu,hata canal gaddafi jana alionya nchiyake ikivamiwa kijeshi basi ukanda wote wa mediterenian na nchi za ulaya watajutia,huwezi jua nayeye anaweza kuamua kujibu mapigo kutwanga kwa makombora miji ya marseile france na huko italy,hapo ndio kina sarkozy watakapoondoshwa madarakani na raiawao kwahasira baadayakushambuliwa namajesh yalibya yaliyochokozwa,walishazoea kuuwa wenzao wao wako mbali ila kwahili la libya watakoma,makombora ya gadafi yanatua mpk ulaya.
Maslahi gani? Libya tayari alikuwa anauza mafuta take kwa wingi nchi za magharibi na isitoshe NOC walikuwa wamesaini mikataba ya mabilioni na kampuni za uingereza na as far as I know kulikuwa hakuna mushkeli wowote kwenye ku supply mafuta kwenda Europe.
Hayo maslahi mnayoyasema ni yapi?
sasa wewe ndio unaelewa nini badala ya kuleta hoja unabakia kulalama.kama uelewi kwa undani nini kinaendelea uliza kwanza sio kukurupukia vitu ka ushabiki usio na tija. elewa hakuna vita iliyokua ndogo. na kwa msimamo wa libya hii vita utaona impact yake hata wewe mwenye maisha magumu yatazidi kuwa magumu na utasingizia serikali ya awamu ya nne.
[/CENTER]
[CENTER][IMG]http://i.huffpost.com/gadgets/slideshows/18483/slide_18483_255371_splash.jpg