Mbona watu waliuliwa arusha hao un security hawakushika adabu utawala wa tanzania?
EMT,Kaleta maendeleo yapi Libya? Ulishafika Libya ukajionea hayo maendeleo? Kwa vile democrasia za magharibi hazijaonyesha mafanikio yoyote kwenye nchi za kiafrika, basi tudekeze udikteta Africa? Gaddafi ni mwarabu hata kama anasema yeye ni Mwafrika. Ndio maana hata Libya ni member wa Arab League. Mtu miaka 40 madarakani lakini hatosheki?
For the 100th time, Somalia tayari kuna majeshi ya kulinda amani chini ya AU (yanaongozwa na Uganda)....! Vile vile hakuna nchi inayotaka kujitolea wanajeshi baada ya kile kilichotokea miaka ya 90 kwa wanajeshi wa UN. Muwe mnapitia pitia historia kidogo jamani kha!!
For the 100th time, Somalia tayari kuna majeshi ya kulinda amani chini ya AU (yanaongozwa na Uganda)....! Vile vile hakuna nchi inayotaka kujitolea wanajeshi baada ya kile kilichotokea miaka ya 90 kwa wanajeshi wa UN. Muwe mnapitia pitia historia kidogo jamani kha!!
Mna mafuta?
Nonda, Gaddafi kaanza kujitambulisha kama muafrika lini? Nimekutana na north Africans wengi hakuna ata mmoja anayejitambulisha kama muafrika.
Ivory coast mbona ipo simple. AU walisema watautatua huo mgogoro wao wenyewe. Ndio maana wakawatuma akina JK huko. Wamekataa kuomba msaasa toka security council. Umeshasikia wameomba military intervention wakakataliwa? Kama wakiomba watapata. Mbona ECOWAS na OAU waliomba msaada UN with regard to Liberia wakapewa? Ila ya Ivory Coast, AU imetia aibu.
Wakati hiyo useless nations (UN) walipokaa kimya kwenye yale mauji ya Rwanda watu mlipiga kelele kama nini. Leo wameact kuzuia another massacre, mnapiga kelele. what you want this useless nations to do?
Nonda, Gaddafi kaanza kujitambulisha kama muafrika lini? Nimekutana na north Africans wengi hakuna ata mmoja anayejitambulisha kama muafrika.
Nonda, Gaddafi kaanza kujitambulisha kama muafrika lini? Nimekutana na north Africans wengi hakuna ata mmoja anayejitambulisha kama muafrika.
tatizo la mitanzania ni kwamba inamtetea Gadafi kwasababu amewajengea msikiki kule dodoma, sasa kama amewajengea msikiti na yeye ni muuaji ana faida gani hapa duniani? mimi napenda wamtupie bomu la kichwa apotelee mbali kabisa.
ufaransa ilishasema hawana lengo la kumwondoa madarakani bali kumzuia asiendelee kuuwa raia kwa hiyo hamna uwezekano wa kunyongwa.Siku watakapomnyonga kama Sadam na jina la msikiti itabidi wabadilishe.
Nenda kaangalie Black Hawk Down.Mkuu.
Somalia waliwauwa wanajeshi wa wamarekani wengapi hata waogope kurudi kule?
Wanajeshi wa Marekani waliobaki Iraq wamebaki kwenye role ya mafunzo na ushari tu sio tena kwenye mission, all in all kwenye vita vyote nadhani wamekufa 6000 sijui exact number (ukigoogle utapata jibu kamili)wamarekani na west wengapi wameshauliwa Iraq na Afghanistan? mbona hawajaondoka huko?
Nenda kasome hisoria ya Battle of Mogadishu 1 na issue zote za UNISOM 1 and 2Hebu eleza kilichotokea Somalia ambacho West na US kiliwafanya watoke na wasirudi, na waruhusu maelfu ya raia wa Somalia kuendelea kuteseka na kuuawa.
Ilo jibu wanalo wao wenyewe, kama Saddam alivyosema wakati wa Gulf War 1 "Yours is a society which cannot accept 10,000 dead in one battle."Je wao kufa au kuuliwa ni msiba lakini wanapoua hata malaki ya watu huwa si kitu?
ufaransa ilishasema hawana lengo la kumwondoa madarakani bali kumzuia asiendelee kuuwa raia kwa hiyo hamna uwezekano wa kunyongwa.
Kuna watu wanajificha kwenye vivuli vya dini hasa uarabuni na kuendesha mauaji ya kutisha.
Hayo mataifa Wameyafanya ya Iraki yamewashinda, wameyafanya ya Afganstan yamewashinda sasa ni Libya!
Sioni sababu ya wao kuingilia na kujifanya wanatetea wananchi, Wana lao jambo wale hamna kitu, Hawawezi kwenda Somalia wala Ivory Coast.
Ukisoma historia utagundua kuwa Gaddafi miaka yote ya nyuma alikuwa anachampion taifa la kiarabu *(Arab Gathering), kamwe hakuwahi kupigia kelele mambo ya umoja wa kiafrika mpaka mambo yalipogoma uko kwa wenzake ndio akaona aje uku kwa weusi akamwaga mihela wee wakamteua mwenyekiti wa AU na OAU ikavunjwa.Mkuu
Jibu lako ni rahisi kama Unajua lini Libya ilijiunga na AOU na baadae kuwa AU.
Heheh Somalia ata ndege hawana, lakini kama watu wana uchungu na vinavyotokea Somalia si wapeleke resolution kwenye baraza la usalama badala ya kulalama tuuu.Mkuu kuna watu wanataka Somalia nako kuwa na no fly zone kama libya. Wapi na wapi.