Mkuu.tatizo la mitanzania ni kwamba inamtetea Gadafi kwasababu amewajengea msikiki kule dodoma, sasa kama amewajengea msikiti na yeye ni muuaji ana faida gani hapa duniani? mimi napenda wamtupie bomu la kichwa apotelee mbali kabisa.
Unatutukana sisi wachangiaji wa mada kiujanja ujanja.
Unamaanisha kuwa sisi sote tunaopinga unafiki wa US na West ni watu wa Dodoma waliojengewa msikiti?
Unakusudia kusema kuwa sote sisi ni waislamu kwa sababu tunatofautiana na msimamo wako?
Lakini sio kila anaye sema kuwa West na US hapa hawaingii Libya kulinda wananchi wa Bengazi lakini kulinda interest zao kuwa anam-support Gaddaffi. Jaribu kutofautisha.
Mimi kwa mfano nasema Gaddaffi amekaa madarakani muda mrefu lakini ni wananchi wa Libya ndio wamtoe sio West na US.
Baada ya mgogoro huu kuanza Gaddaffi amewakaribisha waasi kwa majadiliano, watoe madai yao ..unaelewa ni kimeendelea.
Anyway, kwa vile umeamua kuwa kuwa sisi sote ni watu wa Dodoma na waislamu ni kazi bure kumpigia mbuzi gita kutegemea atacheza. Endelea na fikra zako.
Si ajabu pia kuwa unafikiria yale mabomu ya balozi za marekani East Afrika ni kazi ya Osama au twin tower ni kazi ya al qaeda.