The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

tatizo la mitanzania ni kwamba inamtetea Gadafi kwasababu amewajengea msikiki kule dodoma, sasa kama amewajengea msikiti na yeye ni muuaji ana faida gani hapa duniani? mimi napenda wamtupie bomu la kichwa apotelee mbali kabisa.
Mkuu.
Unatutukana sisi wachangiaji wa mada kiujanja ujanja.

Unamaanisha kuwa sisi sote tunaopinga unafiki wa US na West ni watu wa Dodoma waliojengewa msikiti?

Unakusudia kusema kuwa sote sisi ni waislamu kwa sababu tunatofautiana na msimamo wako?

Lakini sio kila anaye sema kuwa West na US hapa hawaingii Libya kulinda wananchi wa Bengazi lakini kulinda interest zao kuwa anam-support Gaddaffi. Jaribu kutofautisha.

Mimi kwa mfano nasema Gaddaffi amekaa madarakani muda mrefu lakini ni wananchi wa Libya ndio wamtoe sio West na US.

Baada ya mgogoro huu kuanza Gaddaffi amewakaribisha waasi kwa majadiliano, watoe madai yao ..unaelewa ni kimeendelea.

Anyway, kwa vile umeamua kuwa kuwa sisi sote ni watu wa Dodoma na waislamu ni kazi bure kumpigia mbuzi gita kutegemea atacheza. Endelea na fikra zako.
Si ajabu pia kuwa unafikiria yale mabomu ya balozi za marekani East Afrika ni kazi ya Osama au twin tower ni kazi ya al qaeda.
 
Tuko nao wengi tu huku ughaibuni wa-Libya na wa-egypt wote hawataki kuitwa waafrika na ukiwaambia wanatoka Africa basi watakutukana. Msilazimishe kuwaita waafrika wakati wao hawautaki
Hao Morocco ata kwenye AU sio member.
 
Mkuu.
Unatutukana sisi wachangiaji wa mada kiujanja ujanja.

Unamaanisha kuwa sisi sote tunaopinga unafiki wa US na West ni watu wa Dodoma waliojengewa msikiti?

Unakusudia kusema kuwa sote sisi ni waislamu kwa sababu tunatofautiana na msimamo wako?

Lakini sio kila anaye sema kuwa West na US hapa hawaingii Libya kulinda wananchi wa Bengazi lakini kulinda interest zao kuwa anam-support Gaddaffi. Jaribu kutofautisha.

Mimi kwa mfano nasema Gaddaffi amekaa madarakani muda mrefu lakini ni wananchi wa Libya ndio wamtoe sio West na US.

Baada ya mgogoro huu kuanza Gaddaffi amewakaribisha waasi kwa majadiliano, watoe madai yao ..unaelewa ni kimeendelea.

Anyway, kwa vile umeamua kuwa kuwa sisi sote ni watu wa Dodoma na waislamu ni kazi bure kumpigia mbuzi gita kutegemea atacheza. Endelea na fikra zako.
Si ajabu pia kuwa unafikiria yale mabomu ya balozi za marekani East Afrika ni kazi ya Osama au twin tower ni kazi ya al qaeda.
Hapo kwenye red baadhi ya hao wananchi wa Libya wanaomtaka aondoke madarakani wameomba msaada wa jumuiya ya kimataifa na wito wao umeitikiwa. mbona CUF ilivyokuwa inazunguka dunia nzima kuomba nchi wahisani ziinyime serikali ya Tanzania misaada watu walikaa kimya tu?
 
Ukisoma historia utagundua kuwa Gaddafi miaka yote ya nyuma alikuwa anachampion taifa la kiarabu *(Arab Gathering), kamwe hakuwahi kupigia kelele mambo ya umoja wa kiafrika mpaka mambo yalipogoma uko kwa wenzake ndio akaona aje uku kwa weusi akamwaga mihela wee wakamteua mwenyekiti wa AU na OAU ikavunjwa.

*"He has a split personality - both parts evil." - Nimeiry
Mkuu.
Kubadilika ni katika hulka, tabia au ndani ya uwezo wa binadamu anayetumia akili.
Mrema na Dr. Slaa waliipigania na kuitetea CCM kwa muda gani...je walibadilika baadae? Kwa nini walibadilika na kuachana na CCM?
Kama Gaddaffi alibadilika basi ni wazi kuwa ni kiumbe chenye kutumia akili yake na uwezo wake wa kufikiri ili kubadilisha mwelekeo.

So, tumpongeze kuwa aligundua kuwa waarabu hawamhesabu kama mwarabu mwenzao na alipata ujasiri wa kurudi kwa ndugu zake.

About split personality..yesu alisema asiye na dhambi aanze kurusha jiwe la mwanzo!
 
AU ya kina Kikwete si ilisema iachiwe imalize mgogoro WA ivory coast, wameachiwa ata jibu la kueleweka halipo. Vile vile tayari kuna wanajeshi WA UN uko (wanamlinda Qattara)
mbwa wasio na meno
 
Hapo kwenye red baadhi ya hao wananchi wa Libya wanaomtaka aondoke madarakani wameomba msaada wa jumuiya ya kimataifa na wito wao umeitikiwa. mbona CUF ilivyokuwa inazunguka dunia nzima kuomba nchi wahisani ziinyime serikali ya Tanzania misaada watu walikaa kimya tu?
watu wepi walikaaa kimya?
Halafu kunyima misaada na kupiga mabomu kuua watu na kuharibu miundo mbinu iliyojengwa kwa gharama kubwa wapi na wapi,mkuu?
Unaanza kupwaya katika hoja.
 
EMT,
Kuna ubaya wowote wa Gaddaffi kuwa mwarabu na pia kuwa mwafrika?
Libya kweli ni member wa Arab league...lakini mbona umeishia hapo tu. Je Libya si member wa AU?

Mifano mengine ni ya OIC, Msumbiji na uganda ni member wa OIC. je nchi hizi ni nchi za kiislamu?
Tanzania ni member katika jumuiya tofauti je kuna ubaya gani?

Unasahau kuwa tuna watanzania amabo pia ni wahindi , na tuna watanzania wamakonde, wachaga na kina RA..hata Tabora wapo Watanzania, wanyamwezi,waarabu zote hizi ni sifa za mtu mmoja. Kuna tatizo gani?

Lakini usisahau pia watu wengine huwa na Identity crisis, hujikuta kachanganya damu huku na huko. Kama Obama. US bithers wanasema Obama ni mkenya. hili lilimchanganya Obama katika utoto wake mpaka akatumia bangi. Akamalizia kujiita Black American lakini si unamjua mama yake? mama yake ni mweusi kama mpingo! LOL.

Kwa hiyo Gaddaffi ni mwafrika na pia mwarabu.

Gaddaffi kujitambulisha kama mwarabu na pia kuwa mwafrika ni sawa na wewe kujitambulisha kama mzungu na mwafrika wakati wewe ni mwafrika halisi. Angalia avatar yangu; ina sura ya kiafrika au kiarabu? Mmakonde ni mnakonde. Hawezi kuwa mmakonde na mpare hapo hapo. Libya ni member wa AU lakini haiondolei libya kuwa nchi ya kiarabu. All countries in north africa are Arab countries. And that is why they are members of Arab league. Kwa vile Libya ni member wa AU then unafikiri ni nchi ya kiafrika? Mbona Morroco sio member lakini iko Afrika?

Everyone know that Gaddafi has always presented himself as an Arab nationalist. However, his attempts to forge unity with other Arab states were met with little success. So, in the 1990s he turned to Africa and proposed a "United States of Africa". The concept later formed the basis of the African Union. Baada ya kupigwa bao na waarabu wenzake ndio kawa mwafrika?

Kama una-analyse kimabara, then it is simple to say that Libya belong to Africa. Lakini kama uta-analyse genealogically, people in north africa including Gaddafi himself are not Africans. Ever since Gaddafi was rejected his fellow Arabs to rule the Arab world, he started consider himself as black. But look at the photo below; is he a true African and or Arab descendant? We also know that the Arabs in north Africa do not consider themselves African because they know full well their ancestors were invaders of the continent, and not indigenous to it. And we know they did not invade Africa from their barren lands to start erecting pyramids. That was the work of the Africans they displaced.

Arabs in Africa have grown accustomed to the popular use of the term "African" meaning "Black". But they are not Black, and they identify more with Arabic culture and Islam as this was imposed on them. If not for Islam, they would probably identify with the West than Africa as they were once a part of the Roman Empire and were Christian for some time. That is why Morocco requested to be a member of the European Union, because they consider themselves associated with the West.

Look at the photo. Does Gaddafi looks African?

_44970009_libya466afp.jpg

So Gaddafi saying is an African ni geresha tuu. Anatuingiza mkenge tuu hapa kwa kuchukua mercenaries weusi kwenda kuwaua waarabu wenzake.
 
Yote tisa,kumi ukweli ni kwamba,mataifa ya ulaya pamoja na marekani yako kimaslahi zaidi! Sidhani kama kweli wana uchungu na raia wanaokufa bila hatia. Kama ni kweli wana uchungu, basi nadhani wangetuma ngege za kivita plus askari wa nchi kavu sehemu nyingi tu za dunia zenye machafuko na hasa kipindi kile cha mauaji ya halaiki ya Rwanda na Burundi.

Pamoja na hayo, nchi nyingi za kiarabu zimekua zikiangaliwa kwa karibu sana na nchi za magharibi! Hii ni kutokana na neema ya mafuta waliopewa. Mbaya zaidi raia wengi wa nchi hizi ni wenye imani ya kiislamu,ambayo haikubaliki na mataifa haya ya magharibi na imekua ikibigwa vita kwa visingizio vya kila aina(ugaidi,siasa kali n.k)

Takwimu zinaonyesha Gadafi ni moja kati ya viongozi wachache shupavu duniani na amefanikiwa sana kuingoza Libya na hatimae kuwa na uchumi Imara. Nguvu ya umma iliyomtoa Mubarak Misri haiwezi kufananishwa moja kwa moja na mvutano unaoendelea Libya.

siri ya mtungi aijuae kata!
kama kwetu hapa wazee na watoto wanatibiwa bure, hakuna mwanafunzi atakaye fukuzwa shule kwa kukosa ada! wakija wageni wanashangaa wingi wa mavx majengo ya kifahari, chole samvula hajenda aone hali halisi. wanaishia movenpic,kempinsk' masaki,ostebay
unafikiri akirudi kwao atasemaje?
 
Libya siyo Afrika.

Sema inakuuma tu kwa sababu mjenzi wa misikiti anasulubishwa.

Duh! hii ndo nafahamu leo, Ok nimekuelewa kumbe tatizo ni ujenzi wa misikiti? Mi nilikuwa sifahamu kama Libya inajenga Misikiti. Ok nimekusoma mkuu nilidhani Libya iko Africa.
 
Hii ni janja ya nyani. Gadaffi alikuwa na lengo la kumzuga Obama ili kumpa bumbuazi yeye aendelee na zoezi la kuwaponda mahasimu wake wa ndani.
Hata hivyo janja hii nusura imsaidie kama sio Ufaransa kushtuka na kulianzisha.
Ujanja kama huu aliwahi kuutumia Bush kwa kulia machozi mbele ya bunge la USA ili wamuizinishie pesa za vita vya Irak na alifanikiwa.
.
 
Mkuu.
Unatutukana sisi wachangiaji wa mada kiujanja ujanja.

Unamaanisha kuwa sisi sote tunaopinga unafiki wa US na West ni watu wa Dodoma waliojengewa msikiti?

Unakusudia kusema kuwa sote sisi ni waislamu kwa sababu tunatofautiana na msimamo wako?

Lakini sio kila anaye sema kuwa West na US hapa hawaingii Libya kulinda wananchi wa Bengazi lakini kulinda interest zao kuwa anam-support Gaddaffi. Jaribu kutofautisha.

Mimi kwa mfano nasema Gaddaffi amekaa madarakani muda mrefu lakini ni wananchi wa Libya ndio wamtoe sio West na US.

Baada ya mgogoro huu kuanza Gaddaffi amewakaribisha waasi kwa majadiliano, watoe madai yao ..unaelewa ni kimeendelea.

Anyway, kwa vile umeamua kuwa kuwa sisi sote ni watu wa Dodoma na waislamu ni kazi bure kumpigia mbuzi gita kutegemea atacheza. Endelea na fikra zako.
Si ajabu pia kuwa unafikiria yale mabomu ya balozi za marekani East Afrika ni kazi ya Osama au twin tower ni kazi ya al qaeda.

Mimi nilijua hiyo ni kazi ya Sheakh Usama Bin Laden...kumbe Osama hakuhusika kulipua balozi za US hapa bongo na kenya? Na tena hata sept 11 siyo yeye alihusika..hebu tupe habari ni nani alihusika?..conspiracy theory?
 
Swala la Libya je AU waliomba msaada kwa hayo majeshi ya magharibi kupiga Libya?

Libya si mwanachama wa AU tuu bali pia Arab league. AU haikuomba but Arab League iliomba no fly zone.
 
watu wepi walikaaa kimya?
Halafu kunyima misaada na kupiga mabomu kuua watu na kuharibu miundo mbinu iliyojengwa kwa gharama kubwa wapi na wapi,mkuu?
Unaanza kupwaya katika hoja.
Kwenye red hapo naomba tusiingilie ilo swala kwa sasa ila kiufupi washabiki wote wacuf walikuwa wanafurahia.

Ukinyimwa misaada ya kununulia dawa za watoto, mama wajawazito, misaada ya kuboresha miundo mbinu kama barabara, visima vya maji ni sawa na kupigwa na mabomu tu maana mwisho wa siku wananchi watakufa kwa kukosa dawa, maji safi na ajali barabarani.
 
Kwasasa naona jinsi hiyo useless nations inavyojiendesha..pia mind you siku-support Gaddafi kukaa madarakani kungángánia ila wananchi wake ndio walikuwa wanatakiwa wamtoe..hivi ukiangalia tangia hiyo no-fly zone decision ilivyopita hali ya Libya ikoje,imesaidia chochote au situation imekuwa mbaya zaidi?
I still feel sorry for Libyan people, that's it...Pia maamuzi ya UN hayakuwa sahihi na bullshit to western countries kujifanya wanatatua matatizo ya nchi za Afrika..full unafiki!

Kwa hali ile unafikiri hao wananchi wangeweza kutoa?
 
so today Gadafi is calling obama their son, that means the north african arabs are now calling us their relatives..wakati wao huwa wanajita waarabu na hawajatoka africa...obama is not their son, obama is the son of we south african south of sahara...hata hivyo, obama mwenyewe hana maana, na ni mtu ambaye mimi huwa simpendi kabisa..kwasababu anasapoti ubwabwa, na usagaji na anasapoti kuugawanya mji mtakatifu wa Yerusalem, ambao Mungu mwenyewe amekataza, Mungu atamuadhibu wakati wowote kama akiendelea kuleta mambo yake ya kikenya hayo..
 
Why these guys put much attention on Libya's internal affairs and not on Ivory coast??There must be somethig behind this.Ukoloni bado unaendelea

Ndugu hata ishu ya ivory cost jamaa wameplay role kubwa sana. Wakati AU ilikua kimya mwanzoni mwa mgogoro wa matokeo ni marekani ndo walikua nchi ya kwanza kumtambua lasana outara kama mshindi halali wakifuatiwa na nchi zingine za magharibi na mwisho kabisa wanafiki AU nao eti wakamtambua outara kama mshindi halali.

Gadafi alimpa nduli amin msaada mkubwa sana wakati wa vita ya kagera. Yeye kama ni true pan african kwanini asingeomba kuwa msuluhishi wa tz vs ug na badala yake akafuel vita kwa kutoa msaada kwa uganda? Acha aadabishwe
 
Kauli ya Gadafi jana :

"You are agressor, you are barbaric, your are animals...... you will fall down from the chair. We will fight inch by inch.... You will not step in the land of Libya.......we will wipe out you and your traitors........Alla is with us, you are with a devil...........

you will fall like Hitler, like Musolin ......"

Haya maneno ndio yanamtokea puani na sasa hajulikani alipo. na haya ndio maneno yake ya mwisho kutamka hadharani wacha wamshikishe adabu.
 
Hapo kwenye red baadhi ya hao wananchi wa Libya wanaomtaka aondoke madarakani wameomba msaada wa jumuiya ya kimataifa na wito wao umeitikiwa. mbona CUF ilivyokuwa inazunguka dunia nzima kuomba nchi wahisani ziinyime serikali ya Tanzania misaada watu walikaa kimya tu?

Mtikila aliwaambia msikubali kurudi toka ukimbizini hadi jeshi la umoja wa mataifa lije kulinda amani, na iundwe serikali ya mpito isimamie uchaguzi.
sefu akaenda Kakuma na kuwaeleza wapemba rudini tumesha fikia muafaka!
Kazi kweli kweli.
 
Gadafi asubiri kunyongwa(kama hajafa hadi sasa hivi) na Libya itagawanywa katika nchi tatu; 1)Cyrenaica 2) Fezzan na 3)Tripolitania. Libya haikuwa nchi kabla ya mwaka 1922 huo ulikuwa ni utashi wa wataliano tu na hivyo itagawanywa kama ilivyokuwa awali. Pia Saudia isubiri kugawanywa katika nchi zake za asili kabla ya uvamizi wa ibn Saudi.
 
Back
Top Bottom