The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Wengine walishapiga Mstari miaka kadhaa nyuma na wengine kuingia kwa gia ya CUF tunanyanyaswa Zanzibar.

Ajabu ni kuwa hawakwenda kwa Waarabu ambao ni wa dini moja.

Tuseme ukweli, Wazungu wana ROHO NZURI. Ndiyo maana nchi zao Mipingo kibao. Uarabuni waliwaHASI wote, kudadadeki.

Ila bado kuwa MIJITU inawaabudu Waarabu.

Tanzania tuna matatizo yetu kibao. InaLIZA kuona tunashinda kumjadili M-Libya wakati mwenzetu ni TAJIRI ila hana UHURU. Sisi, uhuru hatuna na Utajiri hatuna. Ovyooo kabisaaaaa........

Hapo kwenye red!!
Foleni za Viza USA na UK, Mitanzania inatukanwa na kunyanyaswa ila kila siku inajazana ila kuomba VIZA. Na hapo wapo wa DINI zote.
 
Did Obama violate the constitution?

EXCLUSIVE: Kucinich calls Obama's attack on Libya ‘an impeachable offense'

By Sahil Kapur
Monday, March 21st, 2011 -- 12:44 pm
kucinichafp.jpg

WASHINGTON – In an exclusive interview with Raw Story on Monday, Rep. Dennis Kucinich (D-OH) tore into President Barack Obama's decision to order U.S. air strikes against Libya, opening the door for impeachment while emphatically declaring that Obama violated the Constitution.

"President Obama moved forward without Congress approving. He didn't have Congressional authorization, he has gone against the Constitution, and that's got to be said," Kucinich told Raw Story. "It's not even disputable, this isn't even a close question. Such an action -- that involves putting America's service men and women into harm's way, whether they're in the Air Force or the Navy -- is a grave decision that cannot be made by the president alone."

Full Story

American politics huzijui mkuu?, wenzetu wapo huru kuongea chochote kile hata kama unayemsema ni wa chama chako. Ingekuwa bongo kamati kuu ingemuita kumkolimba. Ukisikia free world ndiyo hii. Na Obama akienda kufanya kampeni Ohio 2012 atapita atampigia na huyu bwana kampeni kwa moyo mweupe na ikitokea anaelekea Ohio kwenye safari za kikazi jamaa atapata lift na kukaa pamoja na Obama huku wanachati.
[video]

http://www.msnbc.msn.com/id/21134540/vp/42195020#42196497
 
The wind of change is blowing towards the south!
Freedom is comming tomorrow!
 
American politics huzijui mkuu?, wenzetu wapo huru kuongea chochote kile hata kama unayemsema ni wa chama chako. Ingekuwa bongo kamati kuu ingemuita kumkolimba. Ukisikia free world ndiyo hii. Na Obama akienda kufanya kampeni Ohio 2012 atapita atampigia na huyu bwana kampeni kwa moyo mweupe na ikitokea anaelekea Ohio kwenye safari za kikazi jamaa atapata lift na kukaa pamoja na Obama huku wanachati.

Wahabarishe UVCCM. Eti kisa Sitta na Sumaye wametoa maoni yao basi eti waadabishwe!!
 
Nawashangaa watanzania wenye matatizo kibao yasiyo na tiba nashangilia marekani wauaji wakubwa kuipiga Libya!! hana umeme,maji,barabara wala huduma za afya...jue US anataka kuiba mafuta sio kingne chochote

Huo ndo ukweli Somoche. Wamarekani na washirika wao ugonvi na Ghadafi ni kuyakatalia makampuni yao kujichotea yapendavyo mafuta. Wakati mwingine hata serikali zilizoko madarakani zalazimishwa na makampuni haya kuanzisha vita kwa manufaa yao tu. Hii kuhurumia raia tangu lini Mmarekani ikawa kweli? Mbona Yemen hawajafika na wala Saudi Arabia ambako nako maandamano yapo? Kibaya sana Libya ni kuwa raia wapo wanawaona Mabeberu wa magharibi kwa sura zao halali na wapo wanaohadaika na ghiliba zao. Hapo ndo kuchinjana hakutaisha. Kama walivyo maliza kumiliki mafuta Iraq na kiu isiwaishe, hata na Libya wakiyapata kiu haitaisha. Wanachotaka ni kumiliki kila rasilimali ya maana duniani humu wawageuze wazawa wote watumwa wao. Ni ukoloni katika zama mpya huu.
Katika hali ha Kawaida AU ilipaswa kuhusishwa na kusikilizwa kwa ugonvi wa nchi mwanachama. Imekuwaje wababe hawa waamue na kutekeleza bila kujali ridhaa ya AU kama kweli watafuta kutetea raia? Ivory coast mbona mpaka leo hawajarusha makombora kumuondoa Gbabo kama wasemavyo ndo nia zao?
Hatuko salama jamani Africa tujipange upya
 
Huo ndo ukweli Somoche. Wamarekani na washirika wao ugonvi na Ghadafi ni kuyakatalia makampuni yao kujichotea yapendavyo mafuta. Wakati mwingine hata serikali zilizoko madarakani zalazimishwa na makampuni haya kuanzisha vita kwa manufaa yao tu. Hii kuhurumia raia tangu lini Mmarekani ikawa kweli? Mbona Yemen hawajafika na wala Saudi Arabia ambako nako maandamano yapo? Kibaya sana Libya ni kuwa raia wapo wanawaona Mabeberu wa magharibi kwa sura zao halali na wapo wanaohadaika na ghiliba zao. Hapo ndo kuchinjana hakutaisha. Kama walivyo maliza kumiliki mafuta Iraq na kiu isiwaishe, hata na Libya wakiyapata kiu haitaisha. Wanachotaka ni kumiliki kila rasilimali ya maana duniani humu wawageuze wazawa wote watumwa wao. Ni ukoloni katika zama mpya huu.
Katika hali ha Kawaida AU ilipaswa kuhusishwa na kusikilizwa kwa ugonvi wa nchi mwanachama. Imekuwaje wababe hawa waamue na kutekeleza bila kujali ridhaa ya AU kama kweli watafuta kutetea raia? Ivory coast mbona mpaka leo hawajarusha makombora kumuondoa Gbabo kama wasemavyo ndo nia zao?
Hatuko salama jamani Africa tujipange upya
Wewe unamjua mchimbaji mkubwa wa mafuta Libya?
 
mie hayo ma US na UK...huwa yananiboa kweli kuingilia affairs za nchi nyengine na maguvu yao,mpk leo Iraq inajikongoja kwa sababu ya upuuzi wao na ukiangalia kulikuwa hamna sababu....:hatari:
 
Ila haya mataifa ya west kuna haja ya kujiuliza why Libya wakati kuna nchi nyingi za arab zina machafuko.
Nimegundua ukiwa na mafuta madhara yake ndo hayoooooooooooooooo kama Iraq alafu watu wanashambulia kwa kisingizio cha kutetea raia wapi na wapi
 
American politics huzijui mkuu?...
Nazijua fika mkulu, kwani sikuzaliwa jana. Hapa ninawasilisha habari tu. In this particular case I am not forming any opinion. FYI, I have been following American politics since early 60's!
 
Hawa wamerekani vipi? Kama wanahuruma na wananchi si wangekuja kupiga huku kwenye serikali inayo fanya usanii kila siku? Umeme hakuna, ufisadi umetamalaki, maji salama hakuna, mfumuko wa bei unatisha, longo longo tu mwisho watuwanaona bora waende kwa Babu Loliondo labda maisha yatakuwa rahisi.
 
Obama officially notifies the Congress

President Obama has officially notified Congress of the deployment of U.S. military forces against Libya, in accordance with the War Powers Act of 1974.

Here is the text of the letter, as provided by the White House.

TEXT OF A LETTER FROM THE PRESIDENT TO THE SPEAKER OF THE HOUSE OF REPRESENTATIVES AND THE PRESIDENT PRO TEMPORE OF THE SENATE

March 21, 2011

Dear Mr. Speaker:

At approximately 3:00 p.m. Eastern Daylight Time, on March 19, 2011, at my direction, U.S. military forces commenced operations to assist an international effort authorized by the United Nations (U.N.) Security Council and undertaken with the support of European allies and Arab partners, to prevent a humanitarian catastrophe and address the threat posed to international peace and security by the crisis in Libya. As part of the multilateral response authorized under U.N. Security Council Resolution 1973, U.S. military forces, under the command of Commander, U.S. Africa Command, began a series of strikes against air defense systems and military airfields for the purposes of preparing a no-fly zone. These strikes will be limited in their nature, duration, and scope. Their purpose is to support an international coalition as it takes all necessary measures to enforce the terms of U.N. Security Council Resolution 1973. These limited U.S. actions will set the stage for further action by other coalition partners.

United Nations Security Council Resolution 1973 authorized Member States, under Chapter VII of the U.N. Charter, to take all necessary measures to protect civilians and civilian populated areas under threat of attack in Libya, including the establishment and enforcement of a "no-fly zone" in the airspace of Libya. United States military efforts are discrete and focused on employing unique U.S. military capabilities to set the conditions for our European allies and Arab partners to carry out the measures authorized by the U.N. Security Council Resolution.

Muammar Qadhafi was provided a very clear message that a cease-fire must be implemented immediately. The international community made clear that all attacks against civilians had to stop; Qadhafi had to stop his forces from advancing on Benghazi; pull them back from Ajdabiya, Misrata, and Zawiya; and establish water, electricity, and gas supplies to all areas. Finally, humanitarian assistance had to be allowed to reach the people of Libya.

Although Qadhafi's Foreign Minister announced an immediate cease-fire, Qadhafi and his forces made no attempt to implement such a cease-fire, and instead continued attacks on Misrata and advanced on Benghazi. Qadhafi's continued attacks and threats against civilians and civilian populated areas are of grave concern to neighboring Arab nations and, as expressly stated in U.N. Security Council Resolution 1973, constitute a threat to the region and to international peace and security. His illegitimate use of force not only is causing the deaths of substantial numbers of civilians among his own people, but also is forcing many others to flee to neighboring countries, thereby destabilizing the peace and security of the region. Left unaddressed, the growing instability in Libya could ignite wider instability in the Middle East, with dangerous consequences to the national security interests of the United States. Qadhafi's defiance of the Arab League, as well as the broader international community moreover, represents a lawless challenge to the authority of the Security Council and its efforts to preserve stability in the region. Qadhafi has forfeited his responsibility to protect his own citizens and created a serious need for immediate humanitarian assistance and protection, with any delay only putting more civilians at risk.

The United States has not deployed ground forces into Libya. United States forces are conducting a limited and well-defined mission in support of international efforts to protect civilians and prevent a humanitarian disaster. Accordingly, U.S. forces have targeted the Qadhafi regime's air defense systems, command and control structures, and other capabilities of Qadhafi's armed forces used to attack civilians and civilian populated areas. We will seek a rapid, but responsible, transition of operations to coalition, regional, or international organizations that are postured to continue activities as may be necessary to realize the objectives of U.N. Security Council Resolutions 1970 and 1973.

For these purposes, I have directed these actions, which are in the national security and foreign policy interests of the United States, pursuant to my constitutional authority to conduct U.S. foreign relations and as Commander in Chief and Chief Executive.

I am providing this report as part of my efforts to keep the Congress fully informed, consistent with the War Powers Resolution. I appreciate the support of the Congress in this action.

BARACK OBAMA

Source:

My take: Gaddafi kajipalia makaa mwenyewe. Washauri wake (kama anao, au anawasikiliza) wamemwingiza pabaya!
 
Duh yani mbali ya kuwapa kipondo raia wa Benghazi jamaa aliwakatia umeme, maji na supply ya gesi? Mzozo mtupu.
 
Back
Top Bottom