The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

_51771601_011584557-1.jpg




_51772040_011584421-2.jpg
 
Nawashangaa watanzania wenye matatizo kibao yasiyo na tiba nashangilia marekani wauaji wakubwa kuipiga Libya!! hana umeme,maji,barabara wala huduma za afya...jue US anataka kuiba mafuta sio kingne chochote
Mkitaka kuona USA wabaya na wanaweza kutushambulia tutangaze kuuza Uranium Iran lazima wahakikishe serikali inapinduliwa na wanazoa uranium yote,
 
wamarekani wanafuata mafuta hapo na hao rebels wanapata support kubwa kutoka magharibi,,,na ni wajinga tu japo wanalipwa watazulumiwa walichohaidiwa wataleta shida kama ya konyi uganda na banyamulenge kule kongo,,,libya itakuwa ya historia marekani watanyonya wese pale hali itakuwa mbaya sana ,,,,ila sawa ishaandikwa MKATAAPEMA PABAYA PANAMWITA,,,,,,:focus:

elekea kule iternational forum kama unadhani unahoja yenye mashiko
 
Huo ndo ukweli Somoche. Wamarekani na washirika wao ugonvi na Ghadafi ni kuyakatalia makampuni yao kujichotea yapendavyo mafuta. Wakati mwingine hata serikali zilizoko madarakani zalazimishwa na makampuni haya kuanzisha vita kwa manufaa yao tu. Hii kuhurumia raia tangu lini Mmarekani ikawa kweli? Mbona Yemen hawajafika na wala Saudi Arabia ambako nako maandamano yapo? Kibaya sana Libya ni kuwa raia wapo wanawaona Mabeberu wa magharibi kwa sura zao halali na wapo wanaohadaika na ghiliba zao. Hapo ndo kuchinjana hakutaisha. Kama walivyo maliza kumiliki mafuta Iraq na kiu isiwaishe, hata na Libya wakiyapata kiu haitaisha. Wanachotaka ni kumiliki kila rasilimali ya maana duniani humu wawageuze wazawa wote watumwa wao. Ni ukoloni katika zama mpya huu.
Katika hali ha Kawaida AU ilipaswa kuhusishwa na kusikilizwa kwa ugonvi wa nchi mwanachama. Imekuwaje wababe hawa waamue na kutekeleza bila kujali ridhaa ya AU kama kweli watafuta kutetea raia? Ivory coast mbona mpaka leo hawajarusha makombora kumuondoa Gbabo kama wasemavyo ndo nia zao?
Hatuko salama jamani Africa tujipange upya
crapppppppppppppppppppp
 
mie hayo ma US na UK...huwa yananiboa kweli kuingilia affairs za nchi nyengine na maguvu yao,mpk leo Iraq inajikongoja kwa sababu ya upuuzi wao na ukiangalia kulikuwa hamna sababu....:hatari:
tanzania hatukupeleka jeshi Comorro?pale tulienda kunywa maji ya madafu sio?kule sio kuingilia mambo ya ndani ya nchi ingine?By that time libya alitoa logistic support kwa vikosi vyetu comorro.
 
_51771593_011585083-1.jpg


Jamaa naona kapiga kabisa magwanda ya Amerika!

_51773112_011584572-1.jpg


Mchizi naona mambo yake poa asapiga mzigo kwa kutegemea kwamba mbele kuna neema



_51773646_011583677-2.jpg

Huyu mchizi anawashangaa wanaomsapoti **** Obama

Mafutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
i hate america forever

I love America 4ever! Ni Kiranja wa dunia, hata kwenye familia lazima awepo Baba na Mama na watoto، wote hamwezi kuwa baba ndiyo maana hata likiwepo suala la misaada husaidia hata kama ni kwa masharti maana hata wewe huwezi kutoa mali yako pasipo masharti. Siku tukijiweza kama China poa،
 
i love and i will love democracy forever
Democracy!, IvoryCoast, Somalia, Afgan, irak,Pirates, Bandids!. Poor Africans!.Poor AU!.

All we have to say is Thank u Americans, bilakuangalia nini wanakifanya na kwa nini na madhara yake??

I doubt!
 
Which is right?

(1) Muammar Qaddafi,
(2) Mo’ammar Gadhafi,
(3) Muammar Kaddafi,
(4) Muammar Qadhafi,
(5) Moammar El Kadhafi,
(6) Muammar Gadafi,
(7) Mu’ammar al-Qadafi,
(8) Moamer El Kazzafi,
(9) Moamar al-Gaddafi,
(10) Mu’ammar Al Qathafi,
(11) Muammar Al Qathafi,
(12) Mo’ammar el-Gadhafi,
(13) Moamar El Kadhafi,
(14) Muammar al-Qadhafi,
(15) Mu’ammar al-Qadhdhafi,
(16) Mu’ammar Qadafi,
(17) Moamar Gaddafi,
(18) Mu’ammar Qadhdhafi,
(19) Muammar Khaddafi,
(20) Muammar al-Khaddafi,
(21) Mu’amar al-Kadafi,
(22) Muammar Ghaddafy,
(23) Muammar Ghadafi,
(24) Muammar Ghaddafi,
(25) Muamar Kaddafi,
(26) Muammar Quathafi,
(27) Muammar Gheddafi,
(28) Muamar Al-Kaddafi,
(29) Moammar Khadafy,
(30) Moammar Qudhafi,
(31) Mu’ammar al-Qaddafi,
(32) Mulazim Awwal Mu’ammar Muhammad Abu Minyar al-Qadhafi.
(33) Muammar Gaddafi

Hata yeye mwenyewe hajasema tamshi halisi la jina lake!
 
Back
Top Bottom