Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Mkitaka kuona USA wabaya na wanaweza kutushambulia tutangaze kuuza Uranium Iran lazima wahakikishe serikali inapinduliwa na wanazoa uranium yote,Nawashangaa watanzania wenye matatizo kibao yasiyo na tiba nashangilia marekani wauaji wakubwa kuipiga Libya!! hana umeme,maji,barabara wala huduma za afya...jue US anataka kuiba mafuta sio kingne chochote
Inasemekana kwamba mtoto wa sita wa Kanali Gadafi Khamis 27, amefariki kutokana na mashambulizi ya wekend habari zaidi kongoli hapo chini
Gaddafi son ?killed? - Newsday: Everyday News for Everyday People
wamarekani wanafuata mafuta hapo na hao rebels wanapata support kubwa kutoka magharibi,,,na ni wajinga tu japo wanalipwa watazulumiwa walichohaidiwa wataleta shida kama ya konyi uganda na banyamulenge kule kongo,,,libya itakuwa ya historia marekani watanyonya wese pale hali itakuwa mbaya sana ,,,,ila sawa ishaandikwa MKATAAPEMA PABAYA PANAMWITA,,,,,,:focus:
i love and i will love democracy foreveri hate america forever
crappppppppppppppppppppHuo ndo ukweli Somoche. Wamarekani na washirika wao ugonvi na Ghadafi ni kuyakatalia makampuni yao kujichotea yapendavyo mafuta. Wakati mwingine hata serikali zilizoko madarakani zalazimishwa na makampuni haya kuanzisha vita kwa manufaa yao tu. Hii kuhurumia raia tangu lini Mmarekani ikawa kweli? Mbona Yemen hawajafika na wala Saudi Arabia ambako nako maandamano yapo? Kibaya sana Libya ni kuwa raia wapo wanawaona Mabeberu wa magharibi kwa sura zao halali na wapo wanaohadaika na ghiliba zao. Hapo ndo kuchinjana hakutaisha. Kama walivyo maliza kumiliki mafuta Iraq na kiu isiwaishe, hata na Libya wakiyapata kiu haitaisha. Wanachotaka ni kumiliki kila rasilimali ya maana duniani humu wawageuze wazawa wote watumwa wao. Ni ukoloni katika zama mpya huu.
Katika hali ha Kawaida AU ilipaswa kuhusishwa na kusikilizwa kwa ugonvi wa nchi mwanachama. Imekuwaje wababe hawa waamue na kutekeleza bila kujali ridhaa ya AU kama kweli watafuta kutetea raia? Ivory coast mbona mpaka leo hawajarusha makombora kumuondoa Gbabo kama wasemavyo ndo nia zao?
Hatuko salama jamani Africa tujipange upya
tanzania hatukupeleka jeshi Comorro?pale tulienda kunywa maji ya madafu sio?kule sio kuingilia mambo ya ndani ya nchi ingine?By that time libya alitoa logistic support kwa vikosi vyetu comorro.mie hayo ma US na UK...huwa yananiboa kweli kuingilia affairs za nchi nyengine na maguvu yao,mpk leo Iraq inajikongoja kwa sababu ya upuuzi wao na ukiangalia kulikuwa hamna sababu....:hatari:
Jamaa naona kapiga kabisa magwanda ya Amerika!
Mchizi naona mambo yake poa asapiga mzigo kwa kutegemea kwamba mbele kuna neema
i hate america forever
Democracy!, IvoryCoast, Somalia, Afgan, irak,Pirates, Bandids!. Poor Africans!.Poor AU!.i love and i will love democracy forever